Wana JF nawasalimu kwa heshima tele.
Leo nimekuja na swali juu ya jambo muhimu kwa watanganyika wote na wazanzibari pia.
Hili jambo ni kuhusu baba wa taifa wa Tanganyika mpya.
Kama Tanganyika...
Wakuu kuna tetesi kutoka Lumumba kuwa Benard Membe amepewa amri na wakuu wa kambi yake kuwa awe kimya na asizungumze lolote juu ya muundo wa serikali na katiba kwa ujumla. Inasemekana ni mbinu ya...
Wana JF nafikiri kila mmoja wetu amepata fursa ya kumsikiliza Mwanasheria nguli Ndugu Tundu Lisu katika taarifa yake aliyoiwasilisha bungeni wiki iliyopita kwa kutoa reference mbali mbali, ambapo...
Naomba Ibara moja tu ndani ya Rasimu ya Katiba Mpya itakayoibana Zanzibar na hata Tanganyika zisikiuke Katiba ya Muungano, na endapo zikikiuka Katiba hiyo zitafanywa nini kwa mujibu wa Rasimu...
Watawala-CCM: Watasikia yote na hamna rangi hawataona, lakini hawatabadilika hata wakishikiwa 'bastola kichwani' (Mh.Sitta akimjibu Mh.Mnyika kuhusu Hati ya Muungano alimwambia '...huwezi kuidai...
Swali la Kwanza
Tundu A.M.Lissu: Hati ya Muungano ipo?
Serikali: (kimatendo) Ipo. Ya kwanza iliwasilishwa Bungeni Dodoma wakati wa majadiliano ya Kamati juu ya Ibara za Kwanza na Sita za...
Tujaalie Rais Kikwete kabakiwa na muhula mmoja katika uongozi wake. Na baada ya kusikia hotuba yake ile, jee angeweza kupata tena kura za Watanganyika walio wengi ? Kwa Zanzibar angepata 5 tu.
Ama kwa hakika kwa wale wanaofuatilia bunge la katiba watakubali ni kama filamu ndefu au tamthilia na episodes zake nyengine zinatamanisha sana kuendelea kufuatilia mfano ni hii Jumatatu ijayo...
Wadau niko naangalia Bunge, nashindwa kuamini kuwa wazanzibar wakiinuka kuchangia wanapingana wao kwa wao. Mmoja ameonesha kwa jinsi gani muungano umesaidia kutatua tatizo la umeme pemba kwa kuwa...
Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Y.Sefue,yuko moja kwa moja akizungumzia masuala mbalimbali yaliyojitokeza katika Bunge Maalum hasa yahusuyo Muungano. Ni vyema mkamtazama na kumsikiliza
Kama ilivyo kwa wazanzibari wanavyopenda kujibainisha kwa uislam wao, ni hisia zangu kuwa endapo kama muungano huu utavunjika ni dhahiri shahiri dini ya kikristo na kuenea kwake kutahatarishwa...
UKAWA leo wamechanganyikiwa baada ya Ummy Mwalimu, Mwenyekiti wa Kamati Namba Moja kumwaga nondo za kutetea muundo wa serikali Mbili na kuuponda muundo wa Serikali tatu.
- Juma Duni Haji...
Walisema unaweza kudanganya watu fulani kwa muda fulani, lakini huwezi kudanganya watu wote kwa muda wote. Muungano haujawahi kuwapo ilikuwa ni AMRI ya Baba wa Taifa.
Mzee Msekwa asubuhi hii ndani ya kipindi cha jambo Tanzania amehojiwa kuhusu zilipo hati za muungano, na ametoa ufafanuzi kuwa aliziona zikisaniwa ila mahali zilipo hawezi kufahamu, ila waulizwe...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu na Bunge), William Lukuvi
by Danson Kaijage 14/04/2014
SERIKALI imeendelea kuibeza rasimu ya pili ya katiba iliyowasilishwa bungeni na...
Kukifananiza cheti cha ndoa na mkataba wa mungano ni sawa?. Kwenye uislam ata muish miaka mia ikiwa hakuna ushahid wa ndoa munahesabhwa munazin na km muna watoto wote ni wa haram.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.