Katika bunge la katiba walio wengi wanaongozwa na hisia za ushabiki na makubaliano kama kundi moja. Kwa mfano husema walio wengi walizaliwa tanzania hivo hawaijui tanganyika. Hawajadili hoja kuwa...
http://youtu.be/G0dqLxJ1TzI
Labda huku ndiko hoja ya UKaWA ilikojikita ..CCM iache Woga, yenyewe ndio mwasisi wa Serikali 2 kamwe haiwezi kushadadia Serikali 3. Kufanya hivyo ni kujivua...
Wale wanaodai serikali mbili naona maji yamefika shingoni na wamezidiwa hoja kwa kila namna yeyote ile. Hakuna hata mtu mmoja namsikia akitoa hoja ya maana ya serikali mbili na ninaona wanaotaka...
AMANI IDUMU KWENU ndugu zangu;;;
Binafsi mara baada ya kulifuatilia bunge la katiba nimegundua kuwa linaweza kuwapa nafasi nzuri chadema,,hii ni kutokana na kutete kilio cha wazanzibari hususani...
Nafikiri alichokifanya leo Sitta ni jambo la kupongezwa! Wakati Tundu Lisu leo asubuhi akiwasilisha ufafanuzi wa wachache toka kamati no3 TBC walitoweka hewani ghafla hivyo kupelekea Sitta...
kama wajumbe wa bmk wataendelea na mtindo huu wa kila kundi kushikilia hoja zake na kuamini ndizo bora na sahihi kuliko za kundi jingine, hakika itakua ni ndoto kupatikana kwa katiba ya wananchi...
Kujua kama serikali 3 zitatuongezea gharama za uendeshaji haihitaji kuwa mwanasiasa au mwanauchumi kwanza ila inahitaji kuwa na akili na uzoefu wa kawaida tu.
Tuache hesabu za kufikiria na...
Ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania iko UN. Wengine wanasema na kudai kuwa iko Dar na ni hatari kuisafirisha kwenda Dodoma katika Bunge la Katiba. Tunaamini Serikali ya Mapinduzi ya...
Waacheni waende, wapeni wanachodai kuwa wanataka uhuru na dola kamili......!!!
Sababu iliyofichika ya wanaodai zibaki serikali mbili ndio zinazosababisha waogope kusema hadharani dhana ya Muungano...
Kwa upande wa Tanganyika inaonekana CCM wanauwezekano wa kupata theluthi mbili bila matatizo ila kwa upande wa Zanzibar hawana theluthi mbili kwani CUF ni kikwazo kwao. Hivyo, kwa namna yoyote CUF...
Wadau hebu jaribuni kutoa mawazo kuwashauri ni hatua zipi wabunge wa BMK wanao wakilisha maoni ya wachache wazichukue ikiwa hali itaendelea kama ilivyo sasa ya walio wengi kulazimisha muundo wa...
Wote tunajua kuwa katiba mpya haikuwa agenda ya ccm lakini sasa wanatumia juhudi na maarifa kutekeleza angenda ambayo haikuwa sehemu ya sera zao. Nini kilitokea mpaka kikabadilisha misimamo yao...
Mpaka sasa mechi inavyoendelea inaonekana wazi kabisa kuwa Chama Cha Mapinduzi kimejimilikisha nchi hii. Kwa msingi huu nionavyo mimi ni kwamba lazima watumie nguvu kukinusuru chini ya mwavuli wa...
Leo mchana wakati nikisikiliza bunge maalum la katiba Tundu Lisu akiwasilisha ripoti ya maoni ya walio wachache matangazo yalikata mara ya kwanza kisha yakarejea tena ila baada ya Mhe. Sitta...
Sasa naona kama kuna kijimzaha hawa wenyeviti wa kamati kwani wanasoma vizuri sana maoni ya wengi katika taarifa zao lakini ikifika sehemu ya maoni ya wachache ni kama vile wanachukulia bora...
Hebu tujikumbushe kidogo maneno ya Tundu Lissu alipowajulisha CCM juu ya matatizo ya Muungano.
Kama wangelimuelewa, basi wangelimfuata na kumuomba alijadili zaidi hili swala. Ila wao wakaishia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.