KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
kwa mchango wake bungeni leo, Lisu anataka kutujengea hoja kuwa msingi wake tu ni hoja ya kuwa "ZNZ haijawahi kuridhia muungano", je kwanini ameruka hoja kuwa hati haipo? basi aje hapa...
0 Reactions
21 Replies
2K Views
Wadau, naamini kuwa hamjambo na mmeamka salama. Nami pia Namshukuru Mwenyezi Mungu kwa kuniamsha salama. Wale wagonjwa tuwaombee kwa Mwenyezi Mungu awajaalie wapone haraka. Wale waliofikwa na...
14 Reactions
1K Replies
88K Views
Mimi ninavyojua the best Constitution comes out of Constitutional struggle, there's no constitutional struggle in Tanzania hivyo tusitegemee kupata katiba bora tutakachopata ni bora katiba...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Kusema ukweli watanzania tumepitia hatua nyingi kubwa na changamoto lukuki katika miaka hamsini ya muungano,nasema hivyo kwa kwa taswira halisi ya watu wenyewe na muungano wenyewe hasa sisi...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kama hati imetolewa ya muungano ni wakati sasa wa udongo uliochanganywa wa bara na zanzibar nao uletwe hadharani ili tujiridhishe kwa asilimia 100%
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Salaam wandugu, Kichwa cha habari kinajieleza.Kama kuna mwenye nalo ambalo liko kwenye pdf,html,doc au vyovyote vile atupe tujisevie. Shukrani.
0 Reactions
0 Replies
696 Views
Nimefuatilia leo jioni misimamo ya wajumbe wengi walipokuwa wana changia bungeni kuhusu sura ya kwanza na ya sita. Wengi walizungumzia kuunga mkono serikali mbili kasoro dada mmoja sikumpata jina...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Hivi kumbe kutamka neno Tanganyika ni dhambi kwa wengine? Kwani kuna kosa gani Tanganyika ilifanya ambacho ni cha aibu kiasi cha kulionea aibu jina Tanganyika? Utasikia vyombo vya habari na watu...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Wenye akili tiimamu hatuhitaji kuambiwa tunaona wenyewe. Angalia A ya jina la kwanza utajua what I mean. Bravo Ikulu kwa kutuonyesha ' hati ya muungano'
1 Reactions
21 Replies
5K Views
Nimesikia Bw Lameck Mwigulu Nchemba akichangia katika sura ya 1 na 6 za rasimu ya katiba kuwa oooh sasa hivi tunakusanya trilioni 7, kati ya hizo 4 zinatumika kulipa mishahara, hivyo ikija...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Maswali anayoulizwa Warioba juu ya maoni yake ya katiba anayodai ni ya watanzania wote na Dr. Slaa kudai 95% ya watanzania wanaunga mkono maoni hayo, ni maswali ya msingi. Jaji Warioba...
0 Reactions
64 Replies
5K Views
Wameongezewa siku 30(wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba)lakini kwa wakati huu' The Most Dominant Issue' pale mjengoni ni suala la Serikali 3 au mbili,sina uhakika kama Baada ya miezi hiyo miwili...
0 Reactions
0 Replies
924 Views
Kwa kinachoendelea bungen kwa wajumbe kutoka Znz leo ukinita Mzanzibari nachukia, Inakuaje m2 naakili yako ukajibizane na Asha Bakari au Waride. Nasha ngaa Asha bakari mpemba na ana udugu wa...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
- Lissu: Nyerere alitoa amri yaani Decree na watumishi wote na idara zote za Tanganyika ziligeuzwa kuwa za muungano - Lissu anamalizia kwa kusema nchi hii ni haramu!! - Lissu: Tanganyika...
19 Reactions
1K Replies
86K Views
Kama mtanzania ninapata shida kutambua migogoro ya muungano iliyopo na utatuzi wake lakini niliamini wajumbe wangenipatia majibu ya maswali yangu kupitia wale wa hoja ya serikali 3 na wale wa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Msemaji wa sasa hivi sijui ni nani anasema anasema anataka serikali mbili kwa sababu muungano uliletwa na mapinduzi ya Zanzibar. Kwamba bila mapinduzi Tanganyika na Zanzibar zisingeungana. Lakini...
0 Reactions
0 Replies
907 Views
Amekua mmiliki wa vichwa vya habari kutokana na ripoti mbalimbali ambazo zimekua zikimnukuu kwa kudai kutozitaka serikali mbili lakini leo April 15 2014 amezungumza kwenye maonyesho ya miaka 50 ya...
3 Reactions
20 Replies
3K Views
Nikiwa mmoja kati ya watanzania wanaofuatilia mchakato wa kutengeneza katiba mpya ya JMT Mpya, nina maoni kidogo kuchangia. Elimu tunayopat mashuleni ni elimu ya kuaminishwa kutokana na tafiti...
0 Reactions
0 Replies
726 Views
Bwana alitoa Tanganyika, Bwana akatwaa Tanganyika, jina la Bwana lihimidiwe! Hili neno Tanganyika tulishaambiwa lilianzishwa na mkoloni, hivyo ilikuwa sahihi kabisa baada ya kumwondoa mkoloni...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Kwa kweli ingawa inasikitisha kwa Tv ya Taifa kuendelea kufanya utani kwenye mambo ya msingi na ya kuhitaji ufafanuzi kupitia huu wa hu Mkataba wa muungano na TBC kukatisha kipindi hichi bado...
3 Reactions
8 Replies
2K Views
Back
Top Bottom