KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
je ni mpango wa ccm na kiongozi wake kikwete au nini? wanapinga riport yake kama walikalishwa kikao na ccm! wadau tujadili kwanini?
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Tangu bunge maalumu limeanza wajumbe walio wengi (yaani wengi kutoka CCM) pamoja na matusi ya waziwazi, vitisho, dharau, vijembe, ubaguzi na mbwembwe wamekuwa wakisema waziwazi kuwa rasimu...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Nipo Chako ni Chako Dodoma. Muda huu na wajumbe. 2 wa kundi 201. Ukweli ni huu kwanza CCM WALIDUWAA, KUONA UJASIRI ambapo hautawahi kutokea kwao. joini hii wanna wasi wasi RAis atawakemea...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Napenda kutoa pongezi kwa Tume ya Jaji Warioba na wajumbe wote walio shiriki katika mchakato wa kukusanya maoni ya marekebisho au uandwaaji wa Katiba mpya. Mategemeo yetu ni kuwa Tungepata Katiba...
1 Reactions
0 Replies
743 Views
Kama ccm wanasema mchakato wa ukusanyaji wa maoni ya wananchi haukuwa wakilishi, inakuwaje wasipendekeze kurudiwa ukusanyaji wa maoni na badala yake wanataka watengeneze rasimu yao? Kwanini...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Ccm tunataka mchezo mzuri utakaozaa katiba mpya. Huu mchezo wa sasa ni katiba ipi mnatengeneza ya ccm au ya Tanzania?
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Sharti la kwanza mjumbe asiwe kiongozi kutoka serikali iliyopo madarakani na awe ajakuwa kiongozi kwa muda wasi chini ya miaka 3 na sharti la pili kwakukubali kugombea ujumbe wa bunge la kutunga...
1 Reactions
0 Replies
705 Views
baada ya kushuhudia jinsi wanasiasa walivyopambana kwa kukashfuana,kutukanana na kutishana, hadi kufikia baadhi ya wajumbe kususa na kutoka nje ya ukumbi. Ni wakati muafaka kwa Serikali kuamua...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wakuu katika hoja nayoisikia mara nyingi sana toka CCM ni kwamba mfumo wa serikali mbili unafaa na mapungufu yake yanatibika!Lakini pamoja na kuwa mtazamaji mzuri wa bunge sijapata kusikia yeyote...
0 Reactions
0 Replies
636 Views
Mie siku zote huwa sipendi unafiki na uviziaji wa hoja kama walivyofanya UKAWA leo, wamegundua kabisa imebaki siku moja tu ili bunge lisitishe shughuli zake kupisha pasaka, ikiwa hawajachukua...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
"....akiongea na waumini wa dini ya kikristo alipoalikwa kanisani jumapili kwa niaba ya Mh Pinda, Mh Lukuvi alisema CCM imeandaa rasimu ya Serikali mbili kwa sababu serikali 3 zitavunja muungano...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Tumeisikia michango mingi inayotolewa na Wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba wa kichangia na kutoa vielelezo na ushahidi ya takwimu zilizo kosewa. Tunakubaliana bila ya shaka yeyote ile kuwa...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Wanabodi, Aliyekuwa Katibu wa Bunge, wakati wa Muungano ile 1964, Bw. Pius Msekwa, leo asubuhi, amekomelea msumari wa mwisho, lile jeneza la sintofahamu ya mahali zilipo Hati Halisi za Muungano...
17 Reactions
39 Replies
4K Views
Nilisema mapema kama bunge hili litamalizika ni bahati na leo yametimia wanasiasa wametimiza hujuma kwa tume ya Warioba,wako waliolihujumu direct na walioihujumu indirect kwa matakwa yao ya...
2 Reactions
16 Replies
2K Views
Kwa maoni yangu raisi anastahili lawama zote kuhusiana na mchakato wa kupata katiba mpya. Yeye aliruhusu kuanza kwa Jambo hili, yeye ndiye aliyeteua wajumbe wa tume, ndiye aliyepokea rasimu na...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Hii mipasho hata bara hakuna,ni balaa tupu. Mtu asiyekunywa gongo hawezi kuja hapa na kumsema mwanaume kuwa hajaoa. Huyu mama anasema Jussa hajaoa tumefanya utafiti tukagundua kumbe hata yeye...
1 Reactions
35 Replies
5K Views
CCM wanajua wazi kabisa kwamba Tanganyika iliungana na Zanzibar ndo tukawa na Tanzania. Pia wanajua kwamba Tanganyika ikiwa nchi basi lazima Zanzibar nayo iwe nchi ili hapo juu pawe na federal...
2 Reactions
1 Replies
898 Views
Kwa mujibu wa taarifa mbalimbali zinaonesha kwamba Tanganyika kulikuwa na Mtu mmoja alieitwa J.K.Nyerere na Zanzibar kulikuwa na Mtu mmoja alieitwa A.A.Karume idadi yao inakuwa ni watu wawili...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
..katika hotuba yake ya kufungua bunge la Katiba Raisi alimtaja kwa jina mkuu wa majeshi Gen.Davis Mwamunyange. ..Raisi akaeleze hofu zake kwamba huenda jeshi likapindua nchi ikiwa bunge...
6 Reactions
35 Replies
4K Views
Comrades, Ninamshukuru Mungu kwamba angalau sasa wapo watu ambao wameanza kuyaona yale yaliyo kuwa yamejificha!! Nimesema maranyingi juu ya athari za utanganyika na siasa zetu za kimihemko...
2 Reactions
24 Replies
3K Views
Back
Top Bottom