KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
ujio wa serikali ya Tanganyika ni sawa na ujio wa kifo,haukwepeki,kifo kikimwijia mtu hakuna njia ya kukwepa..lazma atakufa. Unaweza kuchelewa kufa lakini mwisho wa siku lazma ufe,kifo...
0 Reactions
0 Replies
739 Views
Tunakupongeza kwa kukamilisha zoezi zima la kutafuta katiba ya nchi yetu ambayo tunaamini itakuwa ni katiba ya " watu" wote. Pia tunakupongeza kwa kuweza kulifanya jambo hili ambalo walokutangulia...
3 Reactions
8 Replies
2K Views
Wana JF, kwa sasa hali ilipofikia sasa huko Dodoma inatia shaka sana kama BMK litaweza kuwapatia Watanzania Katiba mbadala iliyokuwa inatarajiwa. Matumaini hayo yamezidi kufifia baada ya UKAWA...
3 Reactions
24 Replies
4K Views
Ulichokisema kimejaa ujeuri wa hali ya juu,unafaa kupumzika kama wengine ambao walishatangulia kupumzika,na kutulia bungeni.Kwa upeo wangu mdogo na kwa ufinyu wa akili yangu wa kutopembua mambo...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Mrema jana alisema anataka serikali mbili ili kuwadhibiti waisilamu wanaowaua mapadri Zanzibar, wanaochoma makanisa Zanzibar na wanaowamwagia tindikali wageni wakristu. Amesema yeye ni ofisa...
1 Reactions
42 Replies
5K Views
Naanza kwa kuweka msimamo kuwa lengo si Serikali ngapi zinafaa kuundwa nchini Tanzania, hata kama kila mtu awe na Serikali yake ikiwa tafiti za kitaaluma zitatoa majibu hayo. Baada ya azimio la...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kwa sasa hili ni swala la muda tu. yaweza kuwa mwakani au miaka kadhaa baadaye. Kwa hali halisi muungano wetu uko katika mashaka makubwa sana, hasa baada ya Zanzibar kufanya mabadiliko ya kumi...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wajumbe wa 'UKAWA' wa bunge maalum la Katiba wakitoka nje ya ukumbi wakisusia vikao vinavyoendelea baada ya hotuba ya Lupumba iliyoelezea Kikwete na Kukuvi kutishia jeshi kuchukua nchi...
3 Reactions
31 Replies
8K Views
Nilitoa angalizo kwamba kuna mtandao mkubwa ambao umefanikiwa kuwaweka mfukoni viongozi wa dini na wasomi(kama kweli wanafaa kuitwa hivyo)ili watoe matamko,waalike viongozi wa serikali makanisani...
0 Reactions
5 Replies
901 Views
Ndugu zangu watanzania, wazanzibari na watanzania wa makabila yote poleni na makumu ya kila siku, na poleni na kufatilia bunge la katiba ya Tanzania. Binafsi ni mmoja wenu. Wabunge maalum wa...
0 Reactions
0 Replies
970 Views
Wadau; Katika hali ya kuonyesha kuwa ma-Interahamwe - ccm yanazidi kudhoofika kutokana na dhuluma yao kwa kufidhuli maoni na ukweli wa umma, Mwanasheria Mkuu wa Z'bar amewaumbua wanafiki wana-ccm...
14 Reactions
42 Replies
6K Views
Vyama visivyo na wabunge bikiongozwa na Mwenyekiti wa APPT Maendeleo, Peter Kuga Mziray, vimeapa kuitetea CCM na kwamba havitaungana na Ukawa katika kudai Katiba mpya, leo Bungeni.
0 Reactions
26 Replies
2K Views
kwa kweli kama kuwa prof kwa tanzania ndo hivi hatutafika,nimemsikiliza prof assey akisema tume ya rasimu ya katiba ilichukua maoni ya watu ambao umri wao ni chini ya miaaka 17 na hivyo mawazo yao...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Mjumbe wa Bunge la Katiba, Tundu Lissu amesema Tanganyika ilikufa kwa amri iliyotolewa na Mwalimu Julius Nyerere na siyo kwa makubaliano katika hati ya Muungano. Lissu alitoa kauli hiyo jana...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
wao kumbe hawajatoka bungeni ina maana wao wanakubaliana na serikali mbili......au ndyo wanafukuzia hiyo 300, 000 kwa siku...kazi kweli kweli
0 Reactions
2 Replies
665 Views
1.Kundi la wakulima,wavuvi na wafugaji: kundi hili linataka sura mpya ya ardhi iwekwe kwenye rasimu wamesahau kuwa mambo hayo sio ya muungano na hata katiba za sasa za washirika hazijaweka kama ni...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Sina Mengi ya kueleza hapa ila nataka niwakilishe tu, Hoja yangu hii kwamba " UTEUZI WA WAJUMBE WA BUNGE MAALUM LA KATIBA JK AMECHEMKA" Kwanza naomba niulize kwa nini kamati ya katiba alichagua...
0 Reactions
1 Replies
991 Views
Ndugu m/kiti mimi Siyo mweledi sana wala siyo bigwa sana wa uchambuzi ila naomba niwasilishe nilichojifunza kutoka humu "Bangeni/bangini" ambako wengine wanakuita bungeni. nasema bangeni kwa...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wajumbe wa Bunge la Katiba kama walipatikana kwa uhalali na kama wanawakilisha mawazo yetu basi naweza nikasema hii ni nchi inayohitaji kuundwa upya. Misingi iliyopo yaonekana wazi haiwezi kabisa...
0 Reactions
0 Replies
788 Views
Back
Top Bottom