Kwa nini CCM wanawafanya Watanzania woote ni wajinga, kwa nini wanajadili serikali mbili badala ya serikali tatu kama ilivyopendekezwa na tume ya mabadiko ya katiba? Hiyo rasimu yenye serikali...
Nimepitia katika wikipedia kuhusu historia ya Zanzibar kwa mshangao mkubwa kumbe kumetokea genocide Zanzibar wakati wa mapinduzi na watu 20,000.wenye asili ya kiarabu.kwa hio nadharia ya...
Tumeambiwa kuna "Rasimu ya CCM" ambayo wajumbe wa kutoka CCM wanayo. Nani mwenye copy ya hiyo Rasimu ya katiba? Ni vizuri ikawekwa hapa tukaona CCM wanaelekea wapi baada ya kusisitiza serikali...
Kwa sintofahamu juu ya Hati ya Muungano,UN wanapaswa kushtakiwa.
Watanzania tuamke na tuipinge UN kwa kushindwa kusimamia sheria na taratibu zake. Au watueleze ukweli sasa
Mh Samwel Siita napenda kukupongeza maana umejitahidi kuwa rational and fair kwenye mchakato huu wa bunge maalum la katiba kwa kutopendelea upande wa chama chako ila kaza buti hasa hasa kwenye...
Chimbuko la kuibuka hoja ya kuifufua Tanganyika limeletwa kwa kiasi kikubwa na malalamiko na mabadiliko ya katiba ya ZnZ. Hivyo, wanaotaka serikali mbili wasiishie hapo tu, bali wajadili pia namna...
Wanzibar wanataka makamu wa rais awe ni rais wa Zanzibar. Je ikitokea rais wa Tanzania akifa, watanganyika wapo tayari kutawaliwa na rais wa Zanzibar ambaye hawakumchagua? hii haiwezi kuhatarisha...
Ndugu wanajamvi naomba tuangalie hili jambo vizuri.
Kwa mfano Muungano ungalikuwa kama vile TANU NA ASP walivyoungana tusingekuwa na matatizo tuliyonayo leo kwenye muungano.
Walipounganisha vyama...
Mhe JF
Awali ya yote naomba kusema kwamba mie ni MUUMIN WA RAIS MTANGANYIKA ORIGINAL. Kwa namna mjadala unavyoendelea na kwa jinsi CCM na wafuasi wao walivyojipanga uwezekano wa kuendelea kwa...
Wana jamvi, salamu sana na poleni kwa kuchoshwa na propaganda za ccm zinazoendelea katika Bunge maalumu la katiba.
Wahenga walisema "ukitaka kumuuwa mbwa mbatize jina baya" Kwa kipindi cha wiki...
Kikao cha bunge maalum la katiba kinaendelea leo hii, kinachojadiliwa hasa ni sura ya kwanza na sita ya kwenye rasimu ya katiba.
Mh. Mbarouk anaunga muundo wa serikali mbili maana ndo anaamini...
Nimekuwa nafuatilia mjadala unaoendelea ktk Bunge la Katiba. Michango mingi inayotolewa na Wajumbe wa CCM, hasa kung'ang'ania mfumo wa Serikali mbili, imejengwa ktk misingi ya uoga.
Woga huo wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.