KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
BUNGE LA KATIBA Uwasilishaji wa maoni ya Kamati mbalimbali kuhusu Rasimu ya Pili ya Katiba iliyoandaliwa na Tume ya Warioba unaendelea. Leo ni siku ya pili na ya mwisho kwa kamati kuwasilisha...
2 Reactions
1 Replies
725 Views
David Kafulila namuona akiwa katika kiwango cha juu cha weledi.Synovate ni kampuni ya tano dunianimkwa ukubwa,inajihusisha na kufanyamtafiti.Wanatumia sampuli ya watafitiwa 2700 kuwakilisha maoni...
8 Reactions
33 Replies
5K Views
Rasimu ya Katiba mpya inayojadiliwa sasa Dodoma haina jipya kuhusu uwepo wa Serikali tatu.Nakubaliana na Mzee Nassoro Moyo wa Zanzibar anayedai kuwa Serikali tatu zilikuwepo tangu mwanzo wa...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Jana, Profesa Ted Maliyamkono na wasomi wenzake walimkabidhi Makamu Mwenyekiti wa Bunge la Katiba, Samia Sululu kitabu kinachochambua hoja kuhusu mjadala unaoendela kutokana na Rawsimu ya Katiba...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Ndugu zangu hasa watanganyika, nimesikiliza watu mbalimbaliakiwemo Rais Kikwete na wajumbe mbalimbali wa katiba juu ya hoja za Muungano. Ainaya Muungano, idadi ya serikali n.k lakini bado nina...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Mie naona walio wachache wana mawazo mazuri hata kuliko walio wengi. Kwa maana hiyo bunge la katiba lije na rasmi mbili kwa ajili ya kupigiwa kura na wananchi, rasmi ya UKAWA, na rasmi ya CCM au...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Katika mfumo wa serikali mbili, Tanganyika inaongozwa na Viongozi wa Muungano. Inapotokea Rais wa Muungano ni Mzanzibar na akaamua kuteua most wasaidizi wake kutoka visiwani, je atakuwa na...
0 Reactions
1 Replies
585 Views
KAKA KAFULILA,ATA HILI LIMEKUSHINDA? Nimekusikia na kukuona jana ukijenga hoja,eti kwanini wanaosema kuwa waliotoa maoni watu elfu kumi na saba ni wa chache, je watu mia ambao ni wajumbe wa...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Kuna usemi unaosema ndugu yako ni yule anaye kusaidia na sio uliezaliwa nae. Pia kwakufafanua nitasema ndigu yako ni mtu unaeshirikiana nae kwashida na raha. Sasa mimi nimezaliwa na kukulia...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Nimefuatilia maoni yanayosomwa na Wenyeviti wa kamati za Bunge Maalumu wakizungumzia maoni ya walio wengi kwa makini. Ajabu niliyoona ni kuwa taarifa zao zinafanana zote kama vile zimeandaliwa...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Wadau, ni matumaini yangu kuwa hamjambo. Nami pia sijambo na nipo tayari kuwaletea kinachojiri Bungeni Dodoma leo Leo sina mengi zaidi ya kuwaomba muendelee kufuatilia mtandao huu wa JF ili...
1 Reactions
552 Replies
41K Views
Hao walotoa maoni ya wachache wametukosha nyoo zetu je bado majembe mengine kama ismail JUSA, mchungaji MTIKILA, tundu LISU, peter MNYIKA ..... Jamn kama wajumbe waCCM hawajabadilika nyoyo zao...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Kutokana na kazi kubwa iliyofanywa na timu ya jaji Warioba kuwa mezani kwa sasa ikijadiliwa na bunge maalumu la katiba. Je, unafikiri ilikuwa ni busara kwa rais kuivunja kamati hiyo wakati kuna...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
A TEAM of dons led by the Chief Executive Officer of the Eastern and Southern African Universities Research Project (ESAURP), Prof Teddy Malyamkono, handed over a book titled ‘100 Academics in...
0 Reactions
43 Replies
5K Views
Salaam wanajamvi, inaniwia vigumu sana kumtambua mtu msomi na asie msomi ndani ya bunge la katiba.Nasema hivyo kwa sababu kuna watu ni mawaziri na wengine manaibu waziri na cha ziada ni pale...
0 Reactions
0 Replies
753 Views
Dodoma. Baadhi ya wenyeviti wa Kamati za Bunge la Katiba wamezikataa taarifa za wajumbe walio wachache ambazo wanapaswa kuzisoma leo bungeni, hivyo kuwataka waziandike upya kwa madai kuwa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Ndugu zangu kama mchakato wa katiba unaendelea bungeni hautafikia hatua ya kuirudisha tanganyika kwenye uhai wake kama tulivyo pata uhuru mwaka 1961 basi nita hamia znz kwenye nchi ile iliyo linda...
0 Reactions
3 Replies
756 Views
Walioongea wa kwanza pichani ni Mjumbe Mstaafu wa Tume ya Marekebisho ya Katiba, Awadh Ali Said, Picha ya pili Mzee Hassan Nassor Moyo, akifuatiwa na Mjumbe wa Tume ya Marekebisho ya Katiba...
2 Reactions
51 Replies
7K Views
BONYEZA VIDIO KAMATI YA MARIDHIANO SIX 10 APRIL 2014 PART 1/4 KAMATI ZAWASILISHA RIPOTI ZILIZOJADILIWA - YouTube KAMATI YA MARIDHIANO SIX 10 APRIL 2014 PART 2/4 KAMATI ZAWASILISHA RIPOTI...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwa uwasilishaji wa leo kwenye Bunge la katiba kuhusu Suala la Muungano. Tumejikuta watu tukirukaruka na kushangilia hotuba ya Kafulila. Kila aliyekuwepo pale kaona na kuamini kuwa kuishi kwa...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Back
Top Bottom