KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Sikiliza maneno ya Maalim Seif Sharifu hamad mwenyewe... Bofya Download kusikiliza Kikwete Usitutishe Maalim Seif - Free Mp3 Download
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Salamu wana Bodi Naona giza kuu lililotanda kwenye hili bunge. Muda walioketi huko mjengoni hakuna kilichotendeka zaidi ya kuchagua mwenyekiti na kuamua kura ya mseto. Wameomba muda wa...
0 Reactions
0 Replies
864 Views
Wadau, Inasikitisha, lakini ndiyo ukweli wenyewe kwamba tangu awali mchakato wa Katiba ulikosewa. Ulikosewa tangu pale Rais Kikwete alipotangaza rasmi kuanza kwa shughuli hiyo kwa shinikizo tu...
1 Reactions
0 Replies
865 Views
Kwa kuwa Samweli Sita amewatenga viongozi wa Dini wanaotaka serikali tatu nawashauri UKAWA fanya jitihada za kuwa kusanya viongozi wa dini wote pamoja na hao aliokutana nao sitta fanya...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Wana jamvi muungano wa serikali 2 kuutetea kunahitaji moyo wa mgumu na uvivu wa kufikiri,maana mfumo wa serikali 2 una bakiza mawaziri na manaibu zaidi ya 50,wabunge zaidi ya 350 ambapo...
0 Reactions
1 Replies
773 Views
Rais Jakaya Kikwete Jumuiya ya Wazanzibari Waishio Tanganyika imekuja juu ikipinga vikali mikakati ya kuwabagua inayolenga kuwatisha ili kuwarudisha nyuma wasiendelee kudai mamlaka kamili ya...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Lembeli baada ya kuweka bayana kuwa yeye ni Mtanganyika na anaheshimu kuwepo kwa serikali ya Tanganyika, Chama chake Mkoani shinyanga wanataka kumtia kitanzi eti kavunja maadili ya chama.
0 Reactions
9 Replies
2K Views
CHADEMAna wanachadema wengi wana amini mfumo wa Serikali 3 utawanufaisha kisiasa. Wengine wamefika hata hatu ya kusema Serikali 3 zikipita ndo utakuwa mwisho wa CCM. Najaribu kutafakari ni kwa...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Mapendekezo ya kuboresha nafasi ya viumbe, uendelevu wa uumbaji na Muumbaji Mwenyezi Mungu katika Rasimu ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
0 Reactions
0 Replies
753 Views
Nimetafakari sana na kupitia hoja za warioba,hoja za kamati ya maridhiano zanzibar,maoni tume ya nyalali,tume ya mark bomani na maoni ya wananchi nimegundua kuwa mfumo wa serikali 3 uliopendekeza...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Nawakilisha tu:- Mtu yeyote atakayehusika kupindisha au kushiriki uingizwaji wa katiba itakayoenda tofauti na UKWELI ikigandamiza wananchi kwa maslahi ya wachache yafuatayo yatatokea:- 1...
2 Reactions
10 Replies
3K Views
Wanakwetu... Ngumu sana kukataa mawazo unayowaza lakini usiogope mawazo yangu hata wewe una uhuru wa kuwaza, taifa hili bado tunajilazimisha kuamini-amini kwamba ni letu sote ingawa wenyenalo...
1 Reactions
3 Replies
945 Views
Ufuatao ni utabiri wangu kwa zanzibar iwapo Muungano ukivunjika. Machafuko makubwa yatatokea Zanzibar. 1. Vita ya kwanza itakuwa ni Pemba kujitenga na Unguja. Hiyo inajulikana tangu zamani...
1 Reactions
47 Replies
4K Views
Juma Duni Haji V/S Mwigulu aloo Juma ni kiboko ,Msekwa apendelea serikali Tatu .Ila CCM kama ni kujadiliwa serikali tatu wameapa watoke kwenye bunge ,
3 Reactions
13 Replies
3K Views
Nimesikia sikia kuwa eti ubunge sasa utahitaji mtu mwenye shahada, ikiwa hivyo nadhani mbunge wangu Mnyika na wengi wa chama nishabikiacho, bila kuwa mwanachama, wanaweza poteza ubunge. Kumbe sio...
1 Reactions
67 Replies
6K Views
Hodi hodi jamani! Nimekuwa nikitafakari na kujiuliza swali ila nakosa majibu sasa naomba msaada. Tukiwa na serikali ya Zanzibar ofisi zake zitakuwa zanzbar na tukiwa tanganyika ofisi zake ztakuwa...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
#NaTanzaniaKwanza Taifa letu lina idadi kubwa ya vijana kuliko kundi lingine lolote. Sensa ya mwaka 2002, vijana walikuwa ni 35% ya watanzania wote na Sera ya Taifa ya Maendeleo ya Vijana ya...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Imekuwa tabia ya muda mrefu sasa kwa wanasiasa kutusemea,utasikia ooh watanzania wanataka hivi mara vile bila hata ya kutuuliza wala kufanyana utafiti.Na mfano mzuri ni sasa ktk mchakato wa katiba...
0 Reactions
1 Replies
677 Views
:A S 465:WASOMI MBONA MMEMWACHIA ISSA SHIVJI PEKE YAKE KULIOKOA TAIFA?:A S 465: Ni dhariri kwamba Wasomi wanatambua wazi kuwa Serikali mbili ndiyo muundo pekee wa serikali unaoweza kudumisha...
1 Reactions
52 Replies
4K Views
Mwl Nyerere alipigania uhuru wetu tukaupata kutoka kwa wakoloni, then akaifuta Tanganyika kwa kivuli cha muungano feki ambao hata rais wa Zanzibar kwa wakati huo hakusaini hati ya muungano. Mwl...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom