Naomba kwenye kikao cha leo jioni mpendekeze kwamba,wabunge wanaotaka kura ya wazi wakae upande wao na wale wanaotaka kura ya siri wakae upande wao, ili sisi wananchi tuwaone alafu wakati wa...
===>Baada ya Jimbo la Crimea kujiunga na Rusia sasa kuna chokochoko zimeanza kwenye jimbo la Alaska nchini Marekani kutaka kujiunga au kurudi kwenye nchi yake ya zamani ya urusi
While Alaska has...
Kwa hali ya mambo ilivyo kwa uchambuzi wangu mambo mawili makubwa yatatokea:
(i) Kuna uwezekano mkubwa kuwa katiba itapita bungeni na hii itaviunganisha vyama vya CUF na CHADEMA kwenda kupinga...
Jana katika taarifa ya habari ITV nilimsikia huyu kijana akizungumza baada ya bunge kusitisha shughuli zake baada ya vurugu kuwa NANUKUU, KUNA WATU WASIOTAKA KATIBA MPYA.mwisho wa kunukuu...
Jamani tutambue mchakato wa kupata katiba mpya ni kwa maslahi ya wananchi wote,wabara na wazanzibar.Hii ni kwa sababu katiba ya awali ina mapungufu na viraka vingi.
Cha kushangaza ni kuwa...
Wasalam ndugu,
Suala hili linaniumiza kichwa sana tangu harakati za awali za kutafuta namna ya kutatua kero za muungano mpaka hatua ya kuandika katiba mpya...
Kauli hii yenye kimantiki ilijitokeza ndani ya Bunge la katiba baada baadhi ya wajumbe kudai eti kura ya wazi upigwa kwa mambo mazito yanayowagusa watanzania.
Swali la kujiuliza kuna mikataba...
Inasikitisha sana kwa wajumbe wa Bunge la Katiba kuendelea kupoteza muda mwingi bila kufikia muafaka kwenye suala la kura ya Ipi itumike kwenye maamuzi.
Sababu kubwa ya utata huo imeletwa na...
WanaJF naomba kuuliza, hivi hakuna ratiba maalum kwa vikao vya bunge hili?
Maana vikao vingine vya bunge mfano bunge la bajeti huwa linaanza saa tatu asubuhi hadi saa saba then wanarudi tena...
Napata shida sana juu ya weledi na hekima ya wawakilishi wetu wa bunge la katiba katika achanganuzi juu ya matokeo ya wanachokipigania(impact assessment "IA") ya KURA YA WAZI .
Kulingana na hali...
Kwa kuwa kikwete alisema sababu ya kuwa na muungano wa serikali mbili ni kwa vile wapemba wanamiliki mashamba ya vitunguu dodoma.Maalim Seifu kamjibu kuwa hivyo vitisho havisaidii kwani znz inayo...
Huu ndio ukweli CCM na Rais wao walijiandaa vya kutosha kushinda vita hii ya kupitisha katiba yao!
Hawa wanaoitwa wajumbe kutok amakundi mbal2 ,wengi wao wamechaguliwa kutekeleza matakwa ya...
CA MP, I am proud of being a person of memory than most (possibly all) of you wabunge. I have several examples to make you get extra lessons. Read the following segment to be part of your brain...
Hii ndo Taarifa iliyosambazwa na Nape kwa vyombo vya habari:
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Juzi tarehe 18/03/2014 Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba nchini Jaji Joseph Sinde...
Nasikitika sana kuendelea kwa mabishano ya kupitisha kanuni kuhusu KURA IWE SIRI au WAZI wakati ndani ya bunge kuna viongozi wa kiroho.
Kwa nini nimeamua kuyasema haya ndugu zangu kama viongozi...
Habari za asubuhi wadau. Asubuhi ya Leo Nimesikia taarifa maalumu ya mtu anayeitwa PJ, wa Clouds FM, akiitoa kuhusu vikao vya bunge maalumu huko Dodoma. Taarifa ile ilikuwa ikiwaambia wananchi...
Kwanza niseme sisi wananchi tulionyuma yenu tunawapongeza kwa kuwa jicho letu makini katika huo mchakato wa kutengeneza katiba mpya.
Pili tunawapongeza kwa kusimama kidete kupinga mapendekezo...
Viongozi wetu wanatakiwa kujua ni lini, wapi na nini unachosema. Werema aliwahi kusema wanaodai katiba mpya wanabwabwaja kama bata! Ukiachilia mbali vijembe vyenye maudhi kwa wenzake bungeni kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.