KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Wadau; Kumekuwa na changamoto, vyuoni, mitaani na maeneo ya kazi (maofisini), hususan dhima kuu ni ktk kutoa maoni na ushauri mbalimbali kwa jinsi Umoja wa Katiba ya Wananchi wanaojitambulisha...
1 Reactions
36 Replies
4K Views
Akihutubia Bunge la Katiba na kutoa Maoni yake (kuna watu wanasema alikuwa anazindua Bunge) Mwenyekiti wa CCM, Rais Kikwete alionesha kupinga katukatu maoni ya wananchi yanayotaka kuwepo na ukomo...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
Wadau, amani iwe nanyi, Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Sammuel Sitta amesema kuwa analo jibu la matumizi ya Kura ya Siri na Wazi katika kufanya maamuzi ndani ya vikao vya Bunge Maalum la...
0 Reactions
69 Replies
9K Views
Nasema kuvunjwa kwa bunge ni jambo la msingi sana hasa wale wote wanaoipenda mema nchi yetu kwa kuwa hakuna jipya bungeni kwa kuwa CCM imeteka mchakato mzima wa kupata katiba, bunge la katiba, na...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Mimi maoni yangu napendekeza serikali 3.sababu ni kwamba tayari tuna serikali mbili ya Zanzibar na ya Muungano,hii ya Zanzibar ni kwa ajili ya wazanzibar tu,na kama kuna wazanzibar hawa watu...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Viongozi wa UKAWA mnatakiwa kumfaham adui yenu, silaha alizonazo, idadi then mjilinganishe na ninyi pamoja na uwezo wenu, mkiona haiwezekani kumshida either muungane naye or achaneni naye afanye...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wana JF Binafsi nilifanikiwa kuhudhuria mkutano mmoja wa tume ya katiba kukusanya maoni ya wananchi. Mkutano ule uliongozwa na maofisa kadhaa wa tume akiwepo mama Mwantumu Malale. Kulikuwepo na...
19 Reactions
59 Replies
4K Views
Kwa wale wanaosema kwamba wanataka uwazi wa kura naomba watueleze kwanini huku wanapiga za siri na huku wanataka za wazi ni kwa nini wanaogopa kuonekana na mtu mmoja yuko upande gani asiwaogope...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Hakuna tafakari jadidi itakayohitimisha mawazo yetu na uwezo wetu wa kufikiri tukiopngozwa na serikali yetu ya muungano. Walioenda Dodoma kujadili mawazo ya watanzania na kile kinachoendelea...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nimeguswa na kushangazwa na hotuba ya Jaji Warioba aliyoitoa katika Bunge la Katiba tarehe 18/03/2014 Dodoma kuhusiana na mustakabali wa taifa letu katika muungano wa nchi mbili (Tanganyika na...
5 Reactions
72 Replies
5K Views
Ndugu Waheshimiwa wa Bunge Maalumu la Katiba, salaam. Kamati zote za Bunge; Kamati Namba Mbili na Kamati Namba kumi na tatu Ni matumaini yangu mnafanya kazi mliyoaminiwa na wa Tanzania wote...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mwenyekiti wa mkutano wa bunge maalum la katiba anatangaza majina ya wenyeviti na makamu wenyeviti wa kamati kumi na mbili zilizoundwa. Je, kuna umuhimu wa kuunda kamati kwa kila jambo? ====...
3 Reactions
117 Replies
12K Views
Hbr wana jamii forum, nimejaribu xana kufuatilia mgongano wa mawazo au mitizamo ya watu wengi juu ya aina ya muungano tulionao kwa ss, imeonekana mitizamo ya kila aina kwa watu. katika watu...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Kutokana na malalamiko yanayozidi kuongezeka, wajumbe watakajiridhisha kwa vielelezo dhabiti, basi wapeleke hoja maalumu ya kutaka reformation, au wajiuzuru vikao vya bunge wakawaelimishe wananchi...
0 Reactions
3 Replies
787 Views
Kaika hatua hii ya bunge la katiba ni wazi kwamba mchakato unatia shaka kuhusu hatima yake kwa mantiki kwamba: huwezi kuwa na serikali tatu bila hatari ya kusambaratika muungano. huwezi kuwa na...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
BUNGE MAALUM LA KATIBA; TUMETOKA WAPI, TUKO WAPI NA TUNAKWENDA WAPI. 1. Wajumbe wengi(asilimia 81) kati ya wale 201 walioteuliwa na Rais Kikwete ni viongozi na wanachama waandamizi wa CCM...
2 Reactions
20 Replies
2K Views
- Baada ya kushi nje kwa miaka takribani 30, nilirudi bongo moja kwa moja Miaka miwili na nusu iliyopita nikiwa nje nilikuwa kila siku ninaambiwa na kusoma kwamba Tanzania imebadilika sasa imekuwa...
27 Reactions
92 Replies
8K Views
Wadau heshima kwenu! Kama Mtanzania nimesikitishwa sana na fitna zilizofanywa na CCM kushindwa kutengeneza mazingira ya Viongozi wa Kamati za Wajumbe wa bunge maalumu la katiba watokane pia na...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Tangu bunge la katiba lianze shughuli zake,upinzani wamefanikiwa kwa kiwango kidogo sana kupenyeza hoja zao na kukubaliwa. Dalili zilizopo kwa namna yoyote watakapoanza vikao vya maamuzi kila...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Wadau, salaaam kwenu. Kama kawaida yangu huwa ninaingia humu jukwaani ninapokuwa na jambo moja tu nalo ni kuwatonya. Hakika mtonyaji haulizwi maswali wala halaumiwi. Mimi ni kama Messenger tu...
4 Reactions
116 Replies
11K Views
Back
Top Bottom