KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Hivi kulikuwa kuna haja gani kuwachosha wale wazee kuja kuwakalisha pale huku rais mwenyewe anaongea pumba?
0 Reactions
5 Replies
1K Views
"Pwani ya Tanganyika na Zanzibar ya sasa zilikuwa pamoja kwa muda mrefu sana kabla ya kutengwa na Wakoloni Waingereza na Wajerumani. Kama zingebaki zimetengana, kwa "wazalendo" hao hiyo ingekuwa...
0 Reactions
26 Replies
2K Views
Dodoma. Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba amewasilisha Rasimu ya Pili ya Mabadiliko ya Katiba katika Bunge la Katiba Machi 18, mwaka huu. Katika hotuba yake, Jaji...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wadai hotuba ya Rais Jk imetangaza kuvunjika kwa Muungano Wasema hawako tayari kuona mawazo ya wananchi yakichakachuliwa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), unaoundwa na wajumbe wa vyama vya...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Wapemba, tunamtaka Mh Raisi Jakanya Mrisho Kikwete atuombe Razi Wapemba kwa Hutuba yake ya Kibaguzi Zidi yetu siku yakufungua Bunge la Katiba Dodoma Juzi..Maneno ya Mwalimu Nyerere Nyerere na...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Baada ya Rais Kikwete kulihutubia Bunge Maalum la katiba hivi karibuni na kutoa maoni yake kuhusu swala serekali 2 au 3 mbunge wa africa mashariki shy rose bhanji amesema yeye anaunga mukono...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Rais Jakaya Mrisho Kikwete, Rais wa Zanzibar Dkt Mohamed Ali Shein, -Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba Mhe Samuel Sitta-na Makamu -Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba Mhe. Suluhu Samia Hassan...
0 Reactions
24 Replies
9K Views
SIKU moja baada ya Rais Jakaya Kikwete kulifungua Bunge Maalumu la Katiba mjini Dodoma, hotuba hiyo imebezwa na viongozi wa vyama vya wafanyakazi, wakidai amepuuza maoni ya Watanzania. Walisema...
0 Reactions
36 Replies
4K Views
Wapendwa wadau wenzangu ,nimekuwa na wasiwasi mkubwa baada ya kusikia sitta akichomekea kwenye hotuba ya raisi ya kupinga rasimu bila woga, kitu ambacho siyo chakawaida cha kuingilia na...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Baadhi ya wadau wa shera na wapenda maadiliko wamedokeza wazi kusudio la kutaka mvurugano mkubwa aliousababisha Jk ktk 'kuzindua' Bunge la Katiba ambayo hakuifanya na kinyume chake wanasema...
1 Reactions
28 Replies
3K Views
Hapa mjiji Dodoma, Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) ambao unajumuisha wajumbe wa bunge la katiba wenye maslahi ya taifa mbele, leo umefanya mkutano uliokuwa na agenda moja ya kuijadili hotuba...
10 Reactions
180 Replies
15K Views
Wadau Angalieni Star TV kuhusu Mjadala wa muundo wa serikali , labda uenda baada ya kipindi tukaendelea kupata majibu yatakayotutoa njia panda baada ya hotuba ya Mzee warioba na MH; JK. FUATILIA
0 Reactions
42 Replies
4K Views
Uhalali wa Hotuba na Uzito wa Hoja ya Rais Ni jambo la muhimu kutenganisha haya masuala mawili. Mosi, uhalali wa hotuba ya Rais Kikwete ya kuzindua Bunge Maalum la Katiba. Pili, uzito wa hoja...
0 Reactions
0 Replies
838 Views
Dodoma. Siku moja baada ya Rais Jakaya Kikwete kuzindua Bunge na kuponda ripoti ya Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Mwenyekiti wa Tume hiyo Jaji Joseph Warioba amesema jukumu walilopewa kwa mujibu wa...
2 Reactions
63 Replies
7K Views
Mimi nataka serikali mbili sababu ni zile alizozitoa rais wetu. Je wewe unayo sababu unayokufanya utake serikali tatu? Je unahisi uwepo wa serikali tatu si hatari kwa muungano?
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Muadhama Polycarp Kardinali Pengo akiwaonesha waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana, nakala ya gazeti la Mwanachi lililoandika...
1 Reactions
113 Replies
11K Views
Awali ya yote ninapenda kumpongeza Mhe. Rais kwa maelezo aliyotoa wakati wa uzinduzi wa Bunge Maalum la Katiba. Pamoja na mazuri yote ambayo yalikuwemo katika hotuba yake ninapenda kueleza baadhi...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Naangalia TBC 1 sasa kuna msomi mmoja wa UDSM(Bashiru) anatoa povu sana kutetea serikali 2!Swali ninalouliza,alikuwa wapi wakati Wazanzibar wanavunja katiba na kuunda nchi yao?Kwa nini hakutoa...
0 Reactions
3 Replies
781 Views
Kwakua Zanzibar ina bunge lake, linalojadili mambo yasio husu muungano, basi kuhakikisha hakuna "confusion" kwenye mfumo wa muungano, wabunge wote kutoka Zanzibar walio kwenye bunge la Jamhuri ya...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Ukawa tuko pamoja nanyi piganeni kadiri ya uwezo wenu mpaka katiba mpya ya watanzania ipatikane. Lingine swala la kuamua maamuzi ni kura gani itumike, tunawaomba kama mlivyosimama mwanzo iwe kura...
0 Reactions
15 Replies
1K Views
Back
Top Bottom