KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Hivi kuna yeyote mwingine kama mimi anayetaka serikali kuu moja tu? Yaani ni serikali moja tu, la sivyo muungano unakufa. Manake ninaowasikia wengi wao ni ama serikali mbili au tatu. Wa...
11 Reactions
42 Replies
3K Views
1. Hataelezea kwanini chama chake kilichoongoza Serikali kwa miaka 50 tangu Muungano na zaidi ya 30 sasa tangu kero za Muungano zianishwe hakijaweza kuzimaliza na kwanini Watanzania waamini kuwa...
4 Reactions
8 Replies
2K Views
Mbwembwe za wazenji kuhusu muungano zimeanza kuzimwa baada ya hotuba ya Warioba. Ninachokihisi ni kwamba wazanzibari wengi hawajatambua umuhimu na fursa zilizoko Tanzania bara! Muda umefika wa...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wakubwa shikamoo, wadogo zangu marahaba. Ndugu napenda kuwajulisha mimi ni mwana CCM tangu 1995 nikiwa form one Geita Secondary hadi leo ni mjumbe wa mkutano mkuu mkoa toka kata.......UVCCM...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Pengo Ngalalekumtwa Ruzoka Mwadhama Pengo jana kuitisha kikao cha waandishi wa habari kutolea ufafanuzi msimamo wa Kanisa katoliki kinyume na maelekezo yaliyo msimamo wa pamoja kuhusu Katiba...
9 Reactions
78 Replies
9K Views
Wote wawili ni Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba.Wote wawili ni Wabunge vijana kabisa tena wenye uelewa mkubwa. Wote wawili ni Wabunge machachari katika kujenga hoja na kutetea mnachokiamini.Wote...
18 Reactions
240 Replies
17K Views
Baada ya kuokewa alihojiwa na kuhusu maoni yake kuhusu rasimu hasa muundo wa serikali tatu. Maalim Seif kuhusu Serikali Tatu "Mfumo huu (Serikali tatu) nao kwa sasa unaonekana bado hautaondoa...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Nimewasikia wajumbe mbalimbali wa CCM akiwemo pia Mwenyekiti Samwel Sita wakijitahidi kutoa tahadhari zenye sura za vitisho kwa wajumbe wanaowahisi watamzomea Mh Rais JK atakapohutubia bunge siku...
5 Reactions
122 Replies
10K Views
Kuna tatizo moja ambalo tunalo sisi Watanzania, akili zetu zinaganda sana kiasi kwamba hatuwezi kupanua mawazo yetu kujifunza kwa wenzetu. Hivi, wanaoogopa serikali tatu, hawajiulizi nchi kama...
0 Reactions
2 Replies
721 Views
Baada ya Mwenyekiti wa Mchakato wa Rasimu ya Katiba Mpya, Jaji Joseph Sinde Waryoba kuwasilisha kwa mbwembwe rasimu ya pili ya Katiba mpya huku akijikita kwenye kipengele kimoja tu cha aina ya...
0 Reactions
29 Replies
2K Views
Dodoma.Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar kutoka Chama cha Mapinduzi (CCM) juzi jioni walipata wakati mgumu katika kikao cha ndani cha wabunge wa chama hicho wakituhumiwa kwa ‘usaliti...
1 Reactions
24 Replies
3K Views
Nimefuatilia maelezo na katiba ya zanzibari na rasimu ya mabadiliko ya katiba ya chama cha mapinduzi nimegundua na kuona kuwa muundo wameuharibu wenyewe na wao wenyewe hawana msimamo mmoja...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Tumesikia kwamba Baraza la Wawakilishi lilipitisha katiba yao October 09, 1984 na kuanzia wakati huo sheria zote zitakazotungwa na Bunge la Jamhuri zikaanza kuwa kwanza zijadiliwe na baraza hilo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Katika hali ya kutia shaka makamu mwenyekiti wa bunge maalum alimpatia nafasi maalun mhe kingunge ngombale kumuuliza swaki ndg amos wako. Badala ya kuuliza swali mhe kingunge akiaanza kuiponda...
2 Reactions
1 Replies
889 Views
rais jk akiweka maandalizi ya hotuba yake kesho akiwa safarini kwenda dodoma leo!
3 Reactions
24 Replies
3K Views
Wengi wetu tunalikumbuka kundi la G55 na harakati zake wakati ule. Kundi hilo liliongozwa na Njeru Kasaka. Jaji Joseph Sinde Warioba alikuwamo. Lengo la kundi hili lilikuwa kama anavyojaribu...
5 Reactions
136 Replies
11K Views
Nijuavyo mimi,wakati muungano unafanyika mwaka 1964 vyama vilivyokuwa vinatawala ni ASP kwa zanzibar na TANU kwa upande Tanganyika.CCM ilizaliwa 1977.Hivi kweli ccm ni waasisi wa muungano?.chanzo...
0 Reactions
0 Replies
908 Views
  • Closed
Akiuliza swali kwenye semina ya Bunge Maalum leo, mwana-CHADEMA, Prof. Abdallah Safari alipenda kujua uzoefu wa Kenya juu ya uwepo wa Mahakama ya Kadhi kwenye Katiba yao na Tanzania ijifunze nini...
4 Reactions
160 Replies
10K Views
Dodoma/Dar: Baadhi ya wasomi na wachambuzi wa masuala ya kisiasa hapa nchini wamesema hotuba ya Mwenyekiti wa Tume ya Mabadilko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba itasaidia kubadilisha msimamo wa...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Kesho Rais atahutubia Bunge Maalumu la Katiba,Ni siku ambayo watanzania wanaisubiri kwa shahuku kubwa sana kumsikia mkuu wa nchi akizungumza. Itakuwa siku ya kihistoria katika Taifa hapo kesho...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Back
Top Bottom