Wadau, naamini mmeamka salama na akili zimetulia baada ya yale yaliyotokea jana.
Kwa mujibu wa maelezo ya Mwenyekiti wa Bunge Maalum ambayo ameyatoa jana usiku, ni kwamba Bunge litaendelea na...
Orodha ya Wazenje watakoa takiwa kufunga virago baada ya Tanganyika Kurudi na ardhi ambayo watakuwa hawaimiliki kihalali.
1. Aboud Jumbe - Eneo la kigamboni
2. Baharesa - mali za NMC na mashamba...
Wajumbe wa bunge la katiba wanaotokea upande wa CCM wamekuwa wakisingizia kufanya maamuzi kwa niaba ya wananchi. Huu ni upotoshaji na unafiki mkubwa sana.
Suala hili limejitokeza hasa pale CCM...
Bwana David Zachary Kafulila ameamua kutoshiriki vikao vya bunge maalum la katiba kwa makusudi kabisa, hilo ni tusi kwa watanzania.
Toka tarehe 17/02/2014, David Kafulila ameanza kusoma Masters...
Mwenyekiti wa Bunge Maalumu la Katiba, Samuel Sitta, ametofautiana na kauli ya Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba, ambaye amekuwa akikaririwa mara kwa mara akisema...
CCM inataka serikali mbili ziendelee, wanakataa pendekezo la serikali 3. CCM wanatoa sababu nyingi ambazo siyo sababu hasa za kuwafanya CCM kukataa serikali3. SABABU zenyewe ZA CCM kukataa...
Hi
Watu wengi huwa wana jiuliza kwa nini wa Tanganyika hawapendi kuitwa "watanganyika" wanapenda kuitwa wa tanzania bara wakati wa Zanzibari wao wanapenda kuitwa wa Zanzibari wakiwa ndani ya...
Kufuatia sakata la katiba mpya, Mwenyekiti wa tume ya Katiba Jaji Joseph Warioba ameacha kufafanua asilimia mbili za waliotoa maoni juu wa muundo wa muungano wamesemaje. Akifafanua umuhimu wa...
Napenda leo tuangalie dua hii na je; wabunge wetu wanayazingatia maneno haya?
Kanuni ya 31. Dua ya kuiombea nchi yetu na kuliombea Bunge itasomwa na Spika, itakuwa na maneno yafuatayo:-...
Watanzaia wenzangu wana jukwaa poleni na majukumu.
Watanzania wengi pamoja na jukumu la kuusaka mkate lakini macho yetu masikio viko Dodoma, katika ufuatiliaji wetu mitaani na kwenye mitandao...
Ukweli usiopingika kuwa jana, aliekuwa mwenyekiti wa tume ya katiba mpya ndg Jaji Sinde Warioba made an extraordinary presentation ambayo ilikuwa more than just a speech to the member of...
Wakuu
Kwa wale ambao hamkumuona Jaji Warioba jana Live akitema Mawe ya Dhahabu mwaweza kumuona hapa Chini.
#Katiba Bungeni: Warioba aibua mjadala wa serikali tatu - YouTube
Kila yajapo mawazo ya Muungano wa serikali moja neno hilo huibuka kama kwamba ndio jibu sahihi na pekee linalozuia muungano wa serikali moja.
Najiuliza huko kumezwa kutakuwaje? Kwani kama ni...
Badala ya CCM kutaka serikali 2 wangetumia wingi, nguvu, umaarufu na uhodari wao katika kukemea Zanzibar warudishe vidole vyao kwenye mstari. Wazanzibar wakemewe wasifunje katiba ya Muungano na...
Mkanganyiko pekee na uliobakia kwa Watanzania wakiwamo wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba ni viporo kwenye kanuni za 37 na 38, vinginevyo hali ya hewa ndani ya Bunge hilo imetulia.
Wajumbe wa...
Jana Jaji Joseph Sinde Warioba amewasilisha Bungeni Rasimu ya pili ya katiba kwa muda wa masaa manne kwa ustadi na umahiri wa hali ya juu. Amejenga hoja zenye mashiko jajo si lazima kila mtu mtu...
Kwa kuwa tume nyingi za wazawa ziliundwa na kutoa maoni/mapendekezo ya kuwa na serikali tatu lakini wanene ndani ya CCM hawataki, nimeona kumbe mheshimiwa Rais angeteuwa watu toka nje kuunda tume...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.