Bunge Maalum la Katiba limegeuka kituko. Bungeni kuna kelele,ubabe,misimamo na zomeazomea. Bunge halifanyi linachotakiwa kufanya.Linafanya kinume na matarajio ya watanzania. Kila mmoja wetu aweza...
Ndugu zangu tunapozungumzia utaifa hembu tuweke ushabiki wa vyama pembeni na kuuvaa uzalendo jamani siku zoote mbinguni na duniani inajulikana chaguzi salama na zahaki huwa zinafanyika kwa siri...
Prof Costa Mahalu, Chairman of the technical committee
The technical and consensus committees of the Constituent Assembly (CA) have again failed to resolve the tricky sections of the standing...
WanaJF, mnisamehe kama hili suala limeshaulizwa na kupatiwa ufumbuzi kwani kwa upande wangu katika kupitia humu sijaiona!
Nauliza hivi, kama Bunge maalumu la Katiba litapitisha katiba mpya...
Wana jamvi namshauri ndugu zitto agombee nafasi ya uspika wa bunge maalum la katiba ili ajipime kama ana ushawishi wa kugombea urais mwakani kama alivyo tia nia katika majukwaa,lakini pia atakua...
Swali kwa Wanaotaka Kura ya Siri: Hoja kubwa inayotolewa na wale wanaotaka kura ya siri kwenye Bunge la Katiba ni kuwa hawataki watu wajioneshe wanapigia kura wapi kwa sababu inawapa shinikizo...
Ni maswali mengi sana kuhusu mchakato huu wa katiba unaoendelea ambayo yananichanganya lakini leo naomba kuanza na wanaopendekeza serikali tatu wanisaidie kujibu baadhi ya maswali plz:
1...
Jusa ambaye alipewa nafasi ya kipekee na Mwenyekiti wa Muda wa Bunge Maalum la Katiba Mh. Pandu Kificho kutoa mchango wake kuunga mkono hoja ya Rasmi ya Kanuni alisema; Kwa namna ya pekee...
Wadau, amani iwe nanyi.
Kama kawaida yetu tutaendelea kuwaletea mtiririko wa mijadala Bungeni Dodoma. Kwa sasa Bunge lipo kwenye mchakato wa kukamilisha kupitisha vifungu vya Kanuni za Bunge...
Wa Tanzania wenzangu,
Sipendi kuamini hata kidogo, kwa mamlaka aliyopewa Sipika wa muda kuongoza hili bunge katika kuunda kanuni anashindwa kutumia mamlaka aliyo nayo. Nguvu ya kiti cha bunge ni...
Jamani kwenye inchi liyotarabika na kwa nafasi walizonazo wa wajumbe wa bunge la katiba sikutegemea lugha na kauli zinazotolewa kwa sasa ! linavyoendelea tunaweza kushuhudia mapingano au kung'oana...
Nilisikiliza mjadala TBC juzi ,ukiendeshwa na shaaban Kisu na wageni wakiwa Serukamba na Shibuda..nilichogundua ni kwamba Serukamba, hana taswira ya serikali 3, alichokua akiongea huku akionekana...
Nimechoka kustahamili na kauli zako Christopher ole -Sendeka na kikundi chako chenye mtizamo kama wako hivi karibuni uli tamka na kusema Zanzibari ni lazima tu wa Restrain pamoja na huo Uisilamu...
Habari wajumbe,
Siungi mkono hoja ya katiba mpya kugeuzwa kama hoja ya ccm au chadema mana Katiba mpya ni kwa ajili ya nchi nzima na sio kichama na sio Chama kimoja kiwashawish watu wachague...
Ndivyo nilivyomsikia mwenyekiti wa kamati hiyo ya Siri na Uwazi katika taarifa ya habari akisema pande zote 2 zimetoa hoja za msingi na za kidemokrasia na kushindwa kutoa maamuzi na Usiri huo na...
Wajumbe wawili wa Bunge Maalum la Katiba, ambao ni wabunge wa CCM, Abdul Marombwa (Kibiti) na Christopher Ole Sendeka (Simanjiro) kwa nyakati tofauti wamempongeza Tundu Lissu, kwa kujibu maswali...
Kwako Mbunge wa Simanjiro.
Nakusalimu sana kwa Jina la Yesu Kristu na Mwokozi wetu.
Nimeamua kukuandikia ukiwa hapo Dodoma kwenye Bunge la Katiba baada ya kusikia habari za kusikitisha na kuudhi...
Wapimzani wanaburuzwa na mwenyekiti wa Bunge pamoja na wana-CCM kwasababu wameonyesha udhaifu mkubwa!Kila siku mnaburuzwa na nyie mpo tu bila kuchukua hatua zozote.
Nawaonya msipobadilika na kuwa...
Aliyasema hao Mhe Steven Wassira katika kipindi cha Jambo cha TBC kwamba kinataka kufichwa nini wakati wananchi, jamii au kundi unaowawakilisha wana haki ya kufahamu kuwa walichotutuma ndicho...
Mambo mengine yanashangaza na mengine yanachukiza. Wapo watu miongoni mwetu ambao wanakasarishwa na wengine wanakerwa kwelikweli kuona CCM inatumia wingi wake Bunge la Katiba kushinikiza misimamo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.