KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe

JF Prefixes:

Wazanzibar wakati wanadiscus katiba yao hawakutualika. Sasa nashangaa walivojazana bungeni, kujadili katiba yetu wabara. Mchakato wa serikali ngap ukianza, watauana humo
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Dear fellow citizens, currently there is on-going debate sorrounding the power of the Constituent Assembly in the Constitutional Review Process the on-going debate has lead to the raise of...
0 Reactions
0 Replies
874 Views
Akichangia sasa hivi bungeni ameanza kuweka vionjo wa kutugawa kwa kutaka eti tulivyo kaa tukae wabara na visiwani pekee kwa kujitenga lakini shukuru mungu wajumbe wamemwambia ukweli na kumuonya...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Spika wa Baraza la Wawakilishi la Zanzibar Pandu Ameri Kificho Huu ndio waraka utakaomkaanga Spika Kificho Zanzibar BARAZA LA WAWAKILISI LA ZANZIBAR MAONI YA BARAZA LA WAWAKILISHI LA...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Jana wakati akiahirisha bunge spika wa bunge hilo alisema kikao kwa leo kitaanza saa 11 jioni.Maajabu mpaka hivi sasa hakuna kituo cha tv kilichokwishajiunga kunani?
0 Reactions
25 Replies
5K Views
Bunge maalumu mipaka yake inakomea kwenye mamlaka ya wananchi kwa sababu wananchi ndio wenye katiba na ndio wlioto maelekezo kwa Bunge maalum juu ya Katiba waitakayo. Pamoja na ukweli...
0 Reactions
3 Replies
880 Views
Nafuatilia mwenendo wa Bunge la Katiba kwa kweli nasikitishwa na namna wanavyoenenda bila kujali muda. Kwanza wanachelewa kuanza mjadala,lakini pamoja na kuchelewa huko bado wanatumia muda mwingi...
0 Reactions
0 Replies
861 Views
- Nimeshitushwa sana na habari za mzozo wa Kupiga kura huko Dodoma kwenye bunge la Katiba, siamini kwamba leo 2014 Tanzania tuna viongozi watuwazima na akili timamu wanalia lia kama watoto wadogo...
9 Reactions
140 Replies
8K Views
It is totally boring kuona kuwa bunge la katiba linaendeshwa kwa itikadi ya U-CCM versus U-CHADEMA. Haiwezekani kuona hoja ya marekebisho ikitolewa na pande yeyote kati ya hao mafahali wawili...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Nawapongeza kuwa hewani mapema tbc bado wanaduwaa ipi tv ya taifa?tufuatilie bunge kwa pamoja!
1 Reactions
9 Replies
2K Views
ndg zangu niasaidie majnia na idadi ya wajumbe wa kamti ya dr costa ricky mahalu niwajue ili from the start nijiridhishe kinachowasilishwa ni cha aina gani
0 Reactions
1 Replies
883 Views
Ndugu wana JamiiForum Toka kuanza kwa vikao vya Bunge la katiba hadi leo hii tumeshuhudia yale yote aliyokuwa akiyasema Prof SHIVJI wakati nchi ikiwa kwenye maandalizi ya katiba mpyaa. Katika...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Mjumbe wa Bunge Maalumula Katiba, Ezekiah Oluoch, ameuchambua Mchakato wa Mabadiliko ya Katiba nakutaja kitendo cha wajumbe wa Bunge hilo kutokugawiwa hati ya Muungano kuwamoja ya kasoro kubwa...
2 Reactions
13 Replies
2K Views
Mhe Rais wakati unakabidhiwa nchi hii na aliyekutangulia nchi hii ilikuwa moja,katiba ya zanzibar ilitambua zanzibar kama sehemu ya jamuhuri ya muungano wa tanzania. Wewe ulipoingia madarakani...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
Kwakuwa bunge la katiba linaendelea mpaka sasa, na kwa kuwa kundi kubwa la waliomo humo ni wabunge ambao tuliwachagua sisi na kwa kuwa hao wabunge waliapa kulinda katiba ya JMT, na zaidi kwakuwa...
0 Reactions
0 Replies
879 Views
Tangu ameongea hadharani kuhusu Lowassa amekuwa akifuatwa fuatwa na kuzushiwa vitu vya uongo katika bunge linaloendelea la katiba mpya. Tulisikia amepekuliwa Kuwa ameiba simu badae tukasikia iPad...
1 Reactions
35 Replies
3K Views
Ndugai anaposema "Mkileta lugha hizo tutagawana mbao hapa, na hapa ndio mahala pake" Anamaanisha nini huku akitolea mfano wa kauli ya mjumbe kutoka Zanzibar aliyesema Muungano umekuwa...
2 Reactions
84 Replies
9K Views
Wana JF, Nchi yetu inaenda kufanya mabadiliko ya katiba, na kwa sasa baada ya tume ya Jaji Warioba kutoa rasimu ya pili ya Katiba na yatokanayo inatupasa kuendelea kuumiza kichwa kwa kujaribu...
0 Reactions
1 Replies
948 Views
Dar es Salaam. Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki Jimbo kuu la Dar es Salaam, Mwadhama Kardinal Pengo amesema shughuli za mchakato wa Katiba zifanyike kwa amani na kwamba ziwalinde Watanzania katika...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Ukiona kwenye familia baba kashndwa kuongoza familia mama ataingilia kati lakini ukiona kwenye familia mtoto anaongoza familia jua watoto ni yatima amebaki mkubwa kuchunga wadogo zake lakini...
0 Reactions
0 Replies
724 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…