KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe

JF Prefixes:

Wanabodi Kuna mengi yanaendelea dodoma. Mwenyekiti wa muda asilimia kubwa anawapendelea wanasiasa tuvktk kuchangia ambapo asilimia kubwa ni ccm. Ccm wana rasmu ya katiba ya kwao tayari na...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Mjumbe wa Bunge Maalumu la Katiba, Joseph Selasini ametishia atakuwa wa kwanza kuondoka bungeni kama CCM watafanikisha kampeni zao za kuwashawishi wajumbe wake kutetea misimamo mbalimbali...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Kila nikikaa najiuliza kama hawa CCM wapo tayari kuipokea habari ya kushindwa ,maana habari ya kushindwa itaanzia kwenye Bunge la katiba na kuendelea kuwa mtiririko hadi kisinyae na kutokujulikana...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
HATIMAYE Prof. Costa Mahalu, mwenyekiti wa Kamati ya Ushauri wa Kanuni zitakazoliongoza Bunge Maalum la Katiba azungumzia mvutano wa wajumbe wa 'kura iwe wazi ama siri'.Asema, anawaachia...
1 Reactions
14 Replies
3K Views
Nimejaribu kuweka baadhi ya wachangiaji ambao mwenyekiti kawakata muda wao na wengine kuongezewa. Ushauri wangu kwa mwenyekiyi ni vizuri kutumia haki pasipo kubagua baadhi ya wajumbe. Labda kama...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mimi nafikiri tumefanya kosa kubwa kuruhusu hawa wajumbe wa Bunge la katiba kuanza mchakato huu ikiwa ni pamoja na kuandaa kanuni za kuendesha Bunge hilo kabla ya kuwapatia semina maalumu juu ya...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Naomba ufafanuzi wa jambo hili
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Akizungumza katika kipindi cha kipima joto kinachorushwa na Itv kamishna wa tume ya katiba Humprey polepole amependekeza kura iwe ni jambo la siri. Amesema ni jambo la kushangaza kwa wale...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kuna mkongwe ameniambia kuwa kipindi kile cha vuguvugu la G55 na Tanganyika,mzee ruksa alituma kikosi kazi kwenda kumuona Mwalimu Nyerere ili atoe ufafanuzi juu ya misingi ya katiba/serikali...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
WanaJF Bunge linaendelea hivi sasa na limeanza kwa kutoa ufafanuzi wa hoja mbalimbali zilizo tolewa na wajumbe wa bunge maalumu la katiba. Kamati iliyokuwa ikiratibu uandaaji wa rasimu ya...
0 Reactions
28 Replies
4K Views
Fuatilia Bunge la katiba live TBC na Star Tv. Leo ni semina ya kanuni kwa wajumbe wa Bunge maalumu la katiba na kwa hivi sasa kinachosubiriwa ni ugawaji wa rasimu za kanuni kwa wajumbe ingawa...
0 Reactions
36 Replies
9K Views
Mwenyekiti wa muda wa Bunge la Katiba,Ndugu Pandu Ameir Kificho, leo ataonja adha ya madaraka aliyonayo atakapowaongoza Wajumbe wa Bunge hilo kupitisha kifungu kwa kifungu Kanuni zitakazoongoza...
2 Reactions
13 Replies
2K Views
"Kwa maana kuna watu waliojiingiza kwa siri, watu walioandikiwa tangu zamani hukumu hii, makafiri, wabadilio neema ya Mungu wetu kuwa ufisadi, nao humkana yeye aliye peke yake Mola, na...
0 Reactions
0 Replies
900 Views
Vipi wadau leo Bungeni hakuna jipya kwa wale wenye umeme,mie niko huku porini.Mtujuze kinachoendelea.
0 Reactions
2 Replies
991 Views
Mh rais wa jamhuru ya muungano ya tanzania nikiwa kama mtanzania ninalo jukumu na deni kwa nchi yangu na watu wake kushiriki kwa namna moja au nyingine kushiriki katika mchakato unaoendelea nchini...
3 Reactions
8 Replies
2K Views
Amenishangaza mama mmoja mjumbe wa bunge la katiba aliposema kuwa nchi ambazo zimekuwa zikipiga kura ya siri kupitisha katiba zao ni nchi za mashoga. Ameyasema hayo leo alipokuwa akipinga upigaji...
0 Reactions
57 Replies
6K Views
Tatizo TBC hawataki ku stream LIVE online (youtube na kwenye website yao) lakini kuna wenzetu wazalendo wameirekodi na kuiweka online ili wengine wapate kuona mijadala inavyooendelea mle ndani...
4 Reactions
2 Replies
1K Views
  • Poll Poll
Kwa nini wajumbe wote walio changia kutaka kura ya WAZI ni CCM, lakini wanao taka kura ya SIRI ni wanatoka makundi mbarimbari? Hawa ni baadhi ya wanaotaka kura ya WAZI 1.Pfr.Anna Tibaijuka...
3 Reactions
29 Replies
2K Views
Maoni yangu tuwe na Serikali moja tu. Maana Ni Jamhuri ya muungano, Tanganyika na Zanzibar ziliungana kutengeneza serikali moja kwa nini ziwe mbili au tatu? Kwa mfano Mme na mke wakiungana...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Written by makame silima // 28/02/2014 // Habari // 2 Comments Mjumbe wa Bunge Maalumu la Katiba, Ester Bulaya akichangia hoja juu kuhusu Kanuni za Bunge, Dodoma jana. Bulaya, ambaye ni...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…