Kabudi Ni kati ya waasisi wa Kituo cha sheria na haki za binadamu LHRC na ndio wadau wa kwanza wa kudai mabadiliko ya katiba miaka 25 iliyopita since 1995 kilipo anzishwa na kuwa mjumbe wa bodi...
Mwana JF,
Hebu fikiria hili. Katiba yetu inasema Tume ya Uchaguzi ikishamtangaza mtu hakuna mtu anaruhusiwa kupinga matokeo mahakamani. Ulishafikiria siku mwenyekiti wa tume akimtangaza mtu...
Hii ni kwa wale vijana waliokuwa wadogo, nao ni vyema wangepata ABC za kuvunjika kwa mchakato wa katiba mpya mwaka 2014.
Ieleweke pia, mswaada wa katiba mpya uliishandikwa na wajumbe wakiongozwa...
Wakati wa Mchakato wa KATIBA MPYA mwaka 2011, Bwana Humphrey Polepole na Bw. Kabudi Walikuwa Miongoni ya Wajumbe wa ile Tume ya Warioba. Watu hawa Walikuwa Mstari wa mbele sana kuhakikisha...
Sheikh Mselem Ali, mmoja kati ya Masheikh wa Uamsho ambao wametoka Gerezani amesema mihadhara yao ilikuwa na nia ya kuwaamsha watu kudai Katiba Mpya.
Amesema kwa kipindi kile walifanya hivyo kwa...
Watanzania kutoka maeneo mbalimbali wamefurahishwa na hatua ya Mhe. Rais wa Samia Suluhu Hassan, juu ya jitihada zake za kuhakikisha anainua uchumi wa Watanzania na akisisitiza suala la Katiba...
Mimi nawashauri viongozi wa vyama vya CHADEMA,NCCR na CUF wasiwe na matumaini kwamba Raisi Kikwete atawasikiliza na kwamba hatasaini muswada wa sheria ya mabadiliko ya katiba.
Raisi Kikwete...
Kamanda Asiyechoka huwa naona mbali sana.
CCM wanajua fika taifa letu tukipata katiba mpya basi huo ndio mwisho wao
Tume huru itakuwepo na hapo tutawakaba.
Mgombea binafsi atakuwepo na hapo...
Habari Tanzania!
Kwakuwa taifa tunakwenda kutengeneza mifumo mizuri na sio watu au chama imara katika nchi. Nashawishika kwa kutoa wazo la umri wa Rais uwe kuanzia miaka 30 na kuendelea kwasababu...
Kikwazo kikuu cha kupatikana kwa katiba mpya hapa nchini Tanzania ni mnyukano wa wanasiasa. Wapinzani wanaitaka katiba mpya kama chombo cha kuwasaidia kuitoa ccm madarakani. Ikiwa mantiki iko...
Wasomi tunavyoendelea kukaa kimya kwenye swala la Katiba mpya haya ndio matokeo yake.
Sasa kila mtu anawaza kuwa Rais au first lady, hata watu ambao hawana vigezo wala maadili ya kugombea hata...
Katiba Iliyopo ina mapungufu mengi yasiyoweza kuvumilika zaidi.
Ni wazi kuwa anayebeza jitihada zozote za kuanzishwa tena kwa mchakato wa kupata katiba mpya kiporo uliobakia, ni kwa sababu tu ya...
Wakili msomi bwana Peter Kibatala leo katika 360 ya clouds TV amefunguka kisomi kuhusiana na katiba mpya.
"Katiba mpya ni hitajio la watanzania wengi. Wanaopinga, ni kwa sababu tu ya...
"Hoja ya katiba mpya pamoja na sababu nyingine nyingi, inalenga kupunguza au kuondoa mgongano wa hatari kati ya ukuu wa katiba na ukuu wa Rais. Kwa hali ilivyo, Rais na katiba wako vitani" Askofu...
Mhe, Rais, Mhe. Palagamamba M.A. Kabudi waziri mwandamizi katika serikali yako mwaka 2012/13 katika viunga vya Nkurumah Hall chuo kikuu cha Dar Es Salaam, alitoa ushauri huu juu ya katiba Mpya...
Nanukuu
Askofu Dkt. Benson Bagonza anasema.
"Hoja ya katiba mpya pamoja na sababu nyingine nyingi, inalenga kupunguza au kuondoa mgongano wa hatari kati ya ukuu wa katiba na ukuu wa Rais. Kwa...
Freema Mbowe, Mwenyekiti wa Chadema
Mbowe hajabainisha hoja ya kumwonesha Rais Samia kwamba kuna uharaka wa Katiba Mpya
Kazi mojawapo ya Kurasa za Mama Amon ni kutathmini siasa za kitaifa kwa...
Mnakuja msumbua mama bure. Mchakato wa Katiba ilikuaje ukasitishwa? Ni nani alifanya uharibifu ule wa pesa?
Je Rais aliyepo Madarakani alihusikaje katika mchakato wa Katiba?
Mnataka mchakato...
Hii ni mada fikirishi, Kuna wakati watu walitaka kukusanyika kwa ajili ya kumuombea Tundu lissu lakini wakaambiwa marufuku na ni uchochezi, Aliyesema haya bado yupo, Mbona kimya sana.
Akiwa...
"Katibu tuliyonayo ni Bora sana. Hata kama ina mapungufu, basi madogo madogo sana. Na hayo yanaweza kusubiri kwa Kweli. Mzee Kikwete alisikia kilio cha wadai Katiba Mpya akaanzisha mchakato ili...