KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe

JF Prefixes:

Jana nilibahatika kuanagalia Bunge kwa muda mchache kabla vipaza sauti hivijapata hitilafu. Bahati mbaya sijapa muswada washeria inayotungwa kuhusu suala la upitishaji wa katiba mpya ambao hasa...
0 Reactions
0 Replies
811 Views
Je swala la kuipata katiba mpya limewezekanaje kupunguzwa kasi? Je ilikuwa tu kasi ya kisiasa kuzunguka kila mkoa kutanganza kuhusu swala la upatikanaji katiba mpya? ni kwanini kila wakati vyama...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
MAONI BINAFSIKUHUSU MUUNGANO NA MAONI JUU YA MUUNDO. Binafsi siamini katika kudumu na kuwepo kwa muungano wa Tanzania katikamfumo wa muungano wa serikali tatu kama...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari gani wana JF mko poa..? Leo nimeona ni vyema tukajulishana na kukumbushana juu ya neno Katiba kwasababu mpaka mda huu kuna baadh ya watu ukiwauliza katiba ni nini bado hafahamu alafu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Selikali isambaze katiba iliyopo ili wananchi wasome kilichomo, naona rasimu ndo inaonekana maeneo kadhaa lkn bado wananchi wengi hawaisomi na kuielewa
0 Reactions
1 Replies
1K Views
WaTz janja ya nyani kwelikweli . Utaona watu wazima wa Bara wakilonga eti wana Serikali 2. Lakini ukiangalia kwa undani ni raia wa Zenj ndiyo wanatawaliwa na Serikali 2, yao na ya Muungano. Bara...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
WaTz janja ya nyani kwelikweli . Utaona watu wazima wa Bara wakilonga eti wana Serikali 2. Lakini ukiangalia kwa undani ni raia wa Zenj ndiyo wanatawaliwa na Serikali 2, yao na ya Muungano. Bara...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
WANAWAKE wa Zanzibar wamesema suala la serikali tatu ni lazima liandikwe kwenye katiba za serikali ya Tanganyika na Zanzibar ili kuweka wazi mambo ambayo hayataingizwa katika Muungano. Wanawake...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
BONYEZA VIDIO VIDEO- MDAHALO ITV - Mzalendo.net
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Bunge lililopita lili review marekebisho ya Sheria ya Mabadiliko ya Katiba ya mwaka 2013 ambayo ilibidi kurudishwa bungeni baada ya Rais JK na vyama vingine kujadiliana. Napenda kuuliza kwa wenye...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Rasimu ya katiba ibara ya 12 sera ya mambo ya nje inaonyesha kwamba nchi yetu inayo majukumu kwenye jumuiya ya kimataifa. Sera hiyo inaongelea kukuza ushirikiano wa kikanda na kimataifa kwenye...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Leo tena wadau wa siasa tupo Serena hotel mdahalo kujadili rasimu ya katiba mpya. Mdahalo karibu utaanza angalia ITV ama fuatilia kwenye jf washiriki Masoud Kombo,raisi wa chama cha wanasheria...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Tumuulize Lukuvi ambaye anasema rais aliongeza watu 35 kwenye ujumbe wa bunge la katiba wakati bajeti haina hao watu, je pesa hizo rais atawalipa kwa pesa zake??? kama ni zetu zile zile sasa hao...
0 Reactions
20 Replies
4K Views
Hatua iliyofikia ya mchakato wa kipata Katiba mpya si hatua ya wananchi kushirikishwa tena bali ni hatua ya kuwakilishwa. Wanasiasa ili kuungwa mkono wanatudangaya tuingie ktk migongano ya...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Na Muhibu Said 23rd October 2013 Mwenyekiti wa NCCR-Mageuzi,James Mbatia Hatimaye vyama vya siasa vilivyo na uwakilishi, kikiwamo Chama Cha Mapinduzi (CCM) na...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wana JF Amani kwenu. Jioni hii spika wa bunge ametangaza kwamba Rais amesaini muswada wa marekebisho ya katiba na kwa hili hakuna mjadala. Mimi najiuliza, kukutana na viongozi wa upinzani...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Salam wanajopo, mimi binafsi siamini kabisa kama tutaipata katiba mpya inayokidhi haja ya watanzania kwa speed hii tuliyonayoo,kwa nini siamini leo hii hakuna mtu anayeelewa ajenda ya siri...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kuna sababu tano zinazofanya nchi zinazoendelea kuongeza maeneo ya kiutawala kama mikoa au wilaya. Kwanza ni kisingizio cha kusogeza huduma karibu na wananchi kitu ambacho si kweli mfano...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
JK awatibulia Wassira, Chikawe • Filikunjombe asema wanapaswa kuwaomba radhi wananchi HATUA ya Rais Jakaya Kikwete kukutana na viongozi wa vyama vya siasa vyenye wabunge na kuridhia muswada wa...
2 Reactions
45 Replies
7K Views
Katiba mpya yafaa kuwa ndio dereva wa maisha yetu watanzania kufikia malengo yetu ya kimaisha. Isitoe mwanya kwa wanasiasa kuwa na nguvu.
0 Reactions
1 Replies
681 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…