Hapa tumeonesha ni jinsi gani sisi Waznz tuliowengi chaguo letu ni "mkataba" huu ambao unaweza kutuvuusha kwenye hii katiba mpya, nadhani hili kwa vingozi wetu wa serikali ya CCM wanaliona ni zito...
Inafurahisha na kutia moyo sasa kuona kwamba ndugu zetu wa Bara kwa mujibu wa Rasimu hii ya 2 wamefumbua macho na kufahamu identity yao kurudi katika jina lao la awali TANGANYIKA badala ya...
wakati mwenyekiti Jaji Warioba akikabidhi rasimu ya katiba kwa mh Rais kikwete jana na kuonekana wazi kuwa asilimia kubwa ya wananchi wa Tanzania wakitaka serikali tatu,leo baadhi ya wenyeviti na...
Vipo vitu vichache ambavo sijavipenda katika rasimu ya pili ya katiba mpya lakini kwa zaidi ya 75% iko vizuri, moja kati ya vitu nilivyovipenda ni kwamba kama ikipita basi angalau tunaweza kupata...
Mchanganuo wa takwimu hizi unaonyesha kuwa kwa upande waTanzania Bara, 13% walipendelea Serikali moja, 24% walipendekeza Serikali mbili na 61% walipendekeza Serikali tatu. Kwa...
Tayari rasimu ya pili ya katiba imesha toka na Rais amesha kabidhiwa tayari,kwa ajili ya kuandaa bunge la katiba mapema katikati ya mwezi huu lakini tayari vyama vya siasa vimeshaanza kuuteka...
katika sehemu ya sita, Masharti ya Mpito ya rasimu ya katiba, Inasema kutakuwa na muda wa mpito utakaoisha tarehe 31/12/2018.Katika muda huo kutafanyika maandalizi muhimu ya utekelezaji wa katiba...
Naomba wanajamii niwasilishe mada hakika kunamambo yananikera sana hadi hii leo lakini kwa waliopitia rasimu wanaweza nisaidia pia ktk hili
Tanzania inahitaji mabadiliko ktk kila nyanja hususani...
Ndugu wanajamvi nimeipitia Rasimu hii karibu kurasa zote sioni kifungu wala ibara ya inayomruhusu mshirika wa JMT kujitoa kwenye muungano iwapo ataamua kujitoa kwa sababu zao?
Nisaidieni ndugu.,
Ukatili uliofanyika kwenye operation tokomeza ni mbinu iliyosukwa kiufundi na mtandao waa majangili. Mbinu hii wamesuka kiufundi wakiwatumia viongozi wa operesheni hiyo. Na kati ya mbinu...
Hii Rasimu ya katiba imejaa ubaguzi kwanini mtu wa darasa la saba asigombee ubunge
Warioba kama jaji unasimamiaje maamuzi ya kubagua watu ubunge nikazi ya kisiasa haihitaji taaluma
Tuungane...
Kuna vuguvugu kubwa la kisiasa linaloendelea nchini ambalo lengo lake ni kuhakikisha kuwa bunge la katiba halipitishi rasimu ya katiba! Ili rasimu ya katiba ipitishwe kunahitajika theluthi mbili...
RASIMU YA KATIBA YA JAMHURI YA MUUNGANO
WA TANZANIA
________
YALIYOMO
______
Ibara Kichwa cha Habari
UTANGULIZI
SURA YA KWANZA
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA...
Hii ni taarifa ya Ikulu ya hivi Punde
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Taasisi mbali mbali za kijamii, vyama vya kitaaluma na vyama vya siasa vipatavyo 50 hadi leo, Jumanne, Desemba 31, 2013...
ukipitia vipengele vyote
zanzibar inatambulika kama jamhuri ya watu wa zanzibar
tanganyika inatambulika kama jamhuri ya tanganyika
swali ni kwamba mbona tanganyika aijitambulishi kama...
Mwenyekiti wa Jukwaa la Katiba,bwana Deusi Kibamba amesema kuna njama zinafanywa ili Bunge la Katiba lisionyeshwe "live" kwa wananchi.
Bwana Kibamba amesema jambo hilo halikubaliki...
Rais amekuwa akisisitiza sana kama katiba mpya haitapatikana basi ya zamani itaendelea, tunajua wapo watu wengi ndani ya utawala hawataki katiba mpya wanaweza kutuletea kitu cha hovyo ili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.