Wana JF
Katika rasimu yetu kuna kipengere cha "Uhuru wa mtu binafsi na Haki ya Faragha". Sura ya 4, sehemu ya kwanza inayozungumzia haki za binadamu, Ibara ya 27 na 28.
Kwa kumbukumbu zangu...
''Jamuhuri ya muungano wa Tanzania ni nchi na shirikisho lenye mamlaka kamili ambalo limetokana na Muungano wa nchi 2 za jamuhuli ya Tanganyika na Zanzibar ambazo kabla ya hati ya makubaliano ya...
Wakati tume ya mabadiliko ya katiba ikiwa imewasilisha rasimu ya pili ya katiba, na kupendekeza muundo wa serikali tatu (Serikali ya jamhuri wa muungano wa Tanzania, Serikali ya jamhuri ya watu wa...
Habari za jioni wana JF,naomba kujua kwa wale walioisoma rasimu ya II ya katiba mpya iliyokabidhiwa kwa Rais hivi karibuni,rasimu hii ya II imependekeza nini kuhusu wakuu wa mikoa na wilaya katika...
Wana Jf,
Kuna tetesi kuwa kati ya makundi yenye malengo yanayofanana limekutana hivi karibuni na kuteua majina ya wajumbe wa Bunge la Katiba.
Kituko kilichojitokeza ni majina ya WAKE pamoja na...
ndugu watanzania ni nafasi iliyoje kwetu sisi kupata nafasi ya kuandaa katiba mpya. Hapa katika jambo hili ndipo tulitakiwa kuwekeza nguvu zetu zote ili kupata sheria mama inayotuelekeza kutatua...
Kwa muono wangu; nimefurahia kupatikana fursa ya Wagombea hivyo viongozi wasiotokana na vyama vya siasa. Huu ni wajibu wetu sasa kuweka mwelekeo wa Taifa ili kila mtu atoe mchango wake kufikia...
Nimeangalia rasimu ya pili ya katiba mpya sijaona popote pale walipozungumzia swala la umiliki wa ardhi. Binasfi ninalichukulia swala la umiliki wa ardhi kama ishu muhimu ambayo ilitakiwa...
Ndugu zangu napenda kuwaomba sana tujipange sawasawa kutoa michango yetu au maamzi yetu yaliyo muhimu na ya msingi kama alivyoelekeza mheheshimiwa Rais JK kwamba tusiburuzwe na makundi yasiyofaa...
Kama hii rasimu itapita itakuwa imezima ndoto zangu za kuwa mbunge Tanga
Maana elimu yangu ni std 7 mkwakwani pale naombe tuki rekebishe hicho kipengele wakuu
nawaomba sana maana nilishaa tumia...
Katiba mpya kurudisha nchi ya Tanganyika ni kukijeri mawazo ya waasisi wa Muungano wazee wetu, Hayati Mwl J.K NYERERE na Hayati ABEID AMAN KARUME. Kwa sababu kama kutakuwa na Tanganyika hakuna...
Dar es Salaam. Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba amesema Katiba ya Tanganyika inaweza kuandikwa ndani ya miezi mitatu tu kwa kuwa maoni mengi yaliyomo katika Rasimu...
Wanajamvi
Maandalizi yanaendelea ktk viwanja vya Ikulu
Niwasihi mvute subira tuwahabarishe na Wanajamvi walioko hapa tukio kubwa katika hatua ya utungaji wa katiba.
Ambapo Tume ya...
Uchaguzi Mkuu wa Tanzania wa mwaka 2015 hautaweza kufanyika mpaka hapo itakapotungwa katiba mpya ya serikali ya Tanganyika, iwapo rasimu ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania itapitishwa na...
Source Majira.
Chama cha mapinduzi kupitia kwa kwa Ombeni Sefue kamaliza dukuduku lililokuwa linashindwa kutamkwa wazi na Mwenezi wa chama hicho bwana Nape Nnauye juu ya rasimu mpya ya katiba...
Kumbuka hii ndiyo bendera yetu tuliyoikosa (miss) kwa kipindi kirefu sana sasa. Nzuri na inapendeza. Mtikira alikuwa akiinadi na hata pale mlimani (saa ya ukombozi ni sasa) aliungwa mkono sana kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.