KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe

JF Prefixes:

  • Closed
Kama tulivyo shuhudia leo tume ya warioba imekabidhiwa draft 2 ya katiba kwa kwa rais kikwete, kabla ya makabidhiano haya jaji Warioba alitoa ufafanuzi wa mambo kadhaa,katika maelezo yake...
0 Reactions
62 Replies
8K Views
wadau tumeipata Rasimu ya PILI ya katiba yetu ya Tanzania na kama alivyosema Mh Rais mitandao ya kijamii kama JF inaweza kutumika kukusanya maoni na kuwasaidia wale watakaopata nafasi ya...
0 Reactions
0 Replies
952 Views
Ni edward lowasa wazri mkuu aliyejiuzulu kwa kashfa ya umeme wa richmond, sasa yupo nyuma ya pazia la kutopatikana kwa katiba mpya, why? Yeye ametumia zaidi ya tshs 345bilioni kuusaka uraisi wa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Hakika ni hatua njema na vema tujipongeze wananchi tulio wengi ambao tuliungana na vyama vya upinzani kuunga wazo la muundo wa serikali 3. Pia Tanganyika inarudi ili kuleta urari wa kiserikali...
1 Reactions
1 Replies
934 Views
Hakika umezidi kudhihirisha ya kwamba wewe ni rais wa watu,rais wa Watanzania wote bila kujali makundi ya kisiasa yanayojaribu kutaka kuhodhi mchakato wa kupatikana katiba mpya.Umewapasha waziwazi...
1 Reactions
26 Replies
4K Views
Nimepitia rasimu ya pili kwa jicho la haraka naona kama kwa nje ni serikali 3 lakini ukisoma content na context ni serikali moja. Nchi washirika hawana madaraka yoyote ya kiserikali (dola). Tume...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
CCM YAIPONGEZA TUME YA KATIBA : Yasema itatafakari na kuamua ipasavyo hoja za Tume :Yasisitiza mchakato utumike kuwaunganisha Watanzania Chama Cha Mapinduzi kimeipongeza Tume ya Mabadiliko ya...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari za jioni wana JF,Kutokana na hotuba mh.rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania mh.dr.Jakaya Kikwete leo wakati wa kupokea rasimu ya 2 ya katiba mpya,ni wazi amegundua wabunge wengi hasa wa...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
  • Closed
TUME YA MABADILIKO YA KATIBA Hafla ya kukabidhi Rasimu ya Katiba kwa Mhe. RaisTume ya Mabadiliko ya Katiba inapenda kuwafahamisha wananchi na wadau wengine wote kuwa Hafla ya kukabidhi Rasimu ya...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
"...Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete anapenda kutoa mwaliko kwa makundi mbalimbali kwa ajili ya kuwasilisha orodha ya watu wasiopungua wanne na waziozidi...
0 Reactions
51 Replies
4K Views
Mnamo tarehe 9 Desemba 1961, Tanganyika ilipata Uhuru chini ya Waingereza waliokuwa waangalizi wetu tu, Ni nyakati hizo ambapo mataifa ya Afrika yalikuwa kwenye vuguvugu la kupata uhuru wao...
17 Reactions
201 Replies
20K Views
Kwa niaba ya wanachama wa CHADEMA twasema ahsante. Uchambuzi wako ulikuwa ni mzuri na wa Busara kubwa, ushauli wa kujenga. Najua imepita siku nyingi toka uandike ushauli wako; Viongozi wa CHADEMA...
3 Reactions
21 Replies
3K Views
Though Tanzanians are scheduled to hold a referendum on the new Constitution sometime next year, the National Electoral Commission (NEC) has said it is not certain if the Permanent National Voter...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Wengi watashangaa sana nilichoandika ila kwa analyst wazuri watakubalina nami.Wabara hatujui haya.Wazanzibar kwa ujumla wao hawafanani sana na watanganyika kifikra.Values wanazochare na bara ni...
0 Reactions
73 Replies
7K Views
Wanaukumbi. Katibu Mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Dr.Slaa kasema kuwa chama chake hakitashiriki kura ya maoni ya katiba bila daftali la kupigia kura kuboreshwa, wala...
1 Reactions
70 Replies
6K Views
Katiba inayokuja ingeweze kugusia mambo muhimu sita tu Ardhi, Madaraka ya Rais, Madaraka ya wananchi, Ulinzi na usalama Uchumi bora Elimu
0 Reactions
2 Replies
1K Views
....Jamani wana JF mtaniona kama taahira lakini sio hivyo,nina akili zangu timamu,yaani mpaka mda huu sioni nani atakae kua mrithi sahihi wa Jakaya kikwete ndani ya chama changu cha mapinduzi(CCM)...
0 Reactions
24 Replies
2K Views
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), leo kinaanza rasmi kuendesha Mabaraza ya Katiba, ambapo wananchi wote watashirikishwa kujadili na kutoa maoni yao juu ya Rasimu ya Katiba Mpya, kwa...
32 Reactions
112 Replies
15K Views
Ni kama kutakuwa na serikali tatu. Tuwe na bunge la senate badala ya bunge la muungano. Kila mkoa kwa Tanganyika na wilaya kwa upande wa Zanzibar achaguliwe senata mmoja . Bunge la senate liwe...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Huyu jamaa anaongea sana na kapiliza. Unaweza fika sehemu usielewe anataka nini. Chadema hakuna control au ethic committee kudhibiti watu kama hawa? Nadhani wazee wetu Chadema msizidiwe nguvu...
0 Reactions
22 Replies
5K Views
Back
Top Bottom