KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe

JF Prefixes:

ITV Habari Live na Star tv. TOA MAONI YAKO!!!
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Mjadala unaendelea sasa hv star tv wageni ni mkinga na wengine mnaweza kufuatilia mjadala huu sasa.
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Kwa muda sasa tangu Jaji warioba akabidhi rasimu ya pili ya katiba ya muungano kumekuwa na mijadala mingi kuhusu uwepo wa serikali mbili, tatu au moja. Kila upande umekuwa ukivutia upande wake...
2 Reactions
43 Replies
3K Views
Msimamo wa CCM wa kutaka srikali mbili unatarajiwa kuibua mtifuano mkali sana siku chache zijazo. Msimamo wa CCM unatariajia kupata upinzani mkubwa sana ndani na nje ya bunge kutoka katika timu...
2 Reactions
1 Replies
918 Views
1.SHERIA ZISIWE ZINATUNGWA NA WABUNGE ZIWE ZINATUNGA NA WANASHERIA WALIO BOBEA KATIKA SHERIA. 2. WAHITIMU WA VYUO, SERIKALI IWE NA UTARATIBU WA KUWATAFUTIA AJIRA! Ni...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Wanabodi! Nikiwa kama raia mzawa wa Taifa hili ninaguswa moja kwa moja na ninafrahishwa na jinsi mchakato mzima ulivyoendeshwa achilia mbali mizengwe na uzandiki uliofanywa na ambao bado...
0 Reactions
0 Replies
950 Views
Na Jabiri Omari Makame. Mchakato wa katiba mpya ni fursa adhimu na tunu kwa watanzania kuamua aina ya taifa tunalotaka kulijenga kwa kipindi cha miaka zaidi ya 50 ijayo. Ni kufanya maamuzi juu...
1 Reactions
23 Replies
2K Views
Mwenyekiti wa Tume ya Katiba, Jaji Mstaafu Joseph Warioba, katika mahojiano yake na gazeti la Raia Mwema, toleo la 209 la Agosti 26,2011, alinukuliwa akisema ““Suala la Muungano pia liwe katika...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Swala la serikali 3 kwa mtazamo wangu lingejadiliwa miaka 50 iliyopita wakati waasisi wa muungano walipokutana kwaajili ya kuunganisha zanzibar na tanganyika. Lilishajadiliwa na kwa busara zao...
0 Reactions
1 Replies
848 Views
Habari wadau, Mimi naomba kuuliza hivi hawa wana -CCM wanapata wapi kiburi na uhalali wa kusema serikali mbili ndio mfumo sahihi na unaoukabilika na watanzania wengi? Labda niullize ni lini...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Toa mchango wako je mfumo unafaa ni wa serikali moja, mbili, tatu au za majimbo? Serikali moja itapunguza gharama Zanzibar na pemba kuwa mikoa au katiba iseme ili sehemu kuwa mkoa lazima iwe na...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Watu wanaropoka sana kwamba eti wao wamepoteza utaifa wao wa Tanganyika ila hawakupiga kelele wanahoji kwanini sisi hatutaki kuwa na serikali moja tu ya JAMHURI YA MUUNGANO TANZANIA JIBU NI...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Hivi katiba nzuri ni ipi, ile yenye maslahi kwa wananchi au ile ambayo wengi wanaitaka!? Wakati mwingine naona tunachanganya sana kati ya ubora na wingi wa watu katika kuunga katiba hii? Alafu...
0 Reactions
2 Replies
879 Views
• Poll Poll
A.erikali Moja (yaani serikali ya Tanzania. Hapa hakuna cha Zanzibar wala Taganyika) B.Serikali Mbili ( Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar na Serikali ya Jamuhuli ya Muungano ya Tanzania; Hapa...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Rasimu ya pili ya Katiba imetoka hivi karibuni ikipendekeza Muungano wa Serikali tatu – Serikali ya Jamhuri ya Muungano, Serikali ya Mapinduzi Zanzibar na Serikali ya Tanganyika. Mjadala wake...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Walioangalia hiki kipindi wanijuze tafadhali kama kuna jipya aliloongelea, mie niliishiwa LUKU.............
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Written by Ashakh (Kiongozi) // 13/01/2014 // Habari // 3 Comments MWENYEKITI msaidizi wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Augustino Ramadhan, amesema tume hiyo ililazimika kuweka...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Mimi ni mwanaharakati na mchambuzi wa siasa wa siku nyingi tokea nikiwa chuo kikuu cha Dar na sijawahi kuwa na chama chochote cha siasa,ni mmoja kati ya watu waliosimamia ule mgomo uliowezesha...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
weka alama ya asilimia
0 Reactions
2 Replies
869 Views
Rasimu ya Pili ya Katiba imetaja sikukuu za kitaifa

Mapinduzi ya Zanzibar

Uhuru wa Tanganyika

sikukuu nyingine zitakazoainishwa na sheria

hapa Rais...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Back
Top Bottom