Watanzania wenzangu, tangu tume ya Warioba kutangaza rasimu ya katiba wengi wamekuwa wakilalamika kuwa maoni yao hayakuwa ya kweli kuhusu aina ya Muungano. baada ya kuona hilo nimefikiria nikaona...
KAULI ZA WANASIASA JUU YA RASIMU YA PILI YA KATIBA.
Nimetafakari kidogo kauli za wanasiasa juu ya mapendkezo yaliyomo katika rasimu ya pili ya katiba, Nimeona ni kama vile Rasimu ina ibara moja...
Mimi bado najiuliza, mathalani kipindi kile huyu mzee mwenye kifimbo bado yupo. Halafu huyu jamaa aliyejishika kiuno kushoto angepewa kazi kama aliyopewa karibuni ya kukusanya maoni ya rasimu ya...
Wadau,
Rasimu ya pili ya katiba mpya imejikita kwenye katiba ya serikali ya Muungano kama muundo wa serikali utakuwa wa serikali tatu.
Je ikitokea muundo wa serikali tatu ukakataliwa, nini...
Habari zenu wakuu;
Maoni yangu ktk katiba mpya ni kwamba naomba katiba yetu ijayo imtambue second lady,third lady au fourth, fifthy lady e.t.c kama watakuwepo ili imani inaporuhusu kuwa na...
SABABU TANO ZA EDWARD LOWASSA
KUWA RAISI 2015, HIZI NDIZO SIFA
ZAKE
Niliwahi kutoa ahadi kuwa nitaweka
sababu nzito Tano ambazo mimi binafsi
naziona zinafaa sana kumtathmini Edward Lowasa...
Mwenyekiti wa Chama cha Demokratic (DP), Mchungaji Christopher Mtikila anatarajia kufungua kesi Mahakama Kuu ya Tanzania kupinga kuendelea kwa mchakato wa mabadiliko ya Katiba Mpya...
Baada yakufanya utafiti na kuchambua mazingira yaliyosababisha Tanganyika na Zanzibarkuungana, hasa kutokana na mvutano wa ukomunisti na ubepari katika enzi za vitabaridi, ambapo Zanzibar iliitwa...
Na Salim Said Salim
NINAKUMBUKA nilipokuwa mdogo kila tulipokuwa na mchezo wa kandanda na timu nyingine ya mtaani, uwe wa kugombea kikombe au wa kirafiki, tulikuwa tunalishana yamini (kula...
Mbunge wa jimbo la uchaguzi Bukoba Vijijini amesema CCM watapambana kuhakikisha kuwa hakuna atakayefurukuta kupenda kuleta serikali tatu. Serikali mbili zinaepusha vita kama izilivyo nchi...
Habari wana jopo!
Ni furaha yangu kuwapo tena ndani ya jamvi hili la wafikirio chanya kwa mda mrefu kuliko wafikirio hasi..baada ya kupitia majarida,na maandiko tofauti katika vyombo tofauti...
Wazanzibar ni watu walalamikaj sana kuhusu muungano huu wa serikali mbili nashangaa kusikia sasa wakianza kupaza sauti kukataa mapendekezo ya serikal tatu na kutaka kubak na serikali mbili .
Watu...
Mheshimiwa Asharose Migilo katika ahadi zake za kutekeleza akiwa waziri wa sheria na katiba amesema atahakikisha katiba inapatikana kama ilivopendekezwa na wananchi wengi, hilo halina ubishi kwani...
Leo hii katika kipindi cha ITV cha malumbano ya hoja,wanajadili hoja inayouliza, mfumo wa muungano wa serikali tatu.Je,ni kuimarisha au kuudhoofisha muungano?
Cha kushangaza, karibu asilimia 99...
Baada yakufanya utafiti na kuchambua mazingira yaliyosababisha Tanganyika na Zanzibarkuungana, hasa kutokana na mvutano wa ukomunisti na ubepari katika enzi za vitabaridi, ambapo Zanzibar iliitwa...
nionavyo mimi wazenji wanataka haki ya kujitawala na kujisimamia katika mambo yao na ustawi wao kwa ujumla, nadhani hili ndilo lililopelekea mpaka sasa kuunda tume za kushughulikia mambo ya muundo...
Kadiri ya nilivyosoma mpaka Sura ya Nane, nimeona kuna Ibara kadhaa zinapaswa kufanyiwa marekebisho ili kuwezesha utekelezaji bora wa Katiba, na mustakabali bora kwa Watanzania.
20.Utekelezaji...
Wanajamii,
Watu wamekuwa wakitoa mawazo yao kuhusu aina ya serikali itakayotuongoza kwa miaka kadhaa ijayo. Watu wametoa maoni ya serikali moja (Tanzania bila ya bara au Zanzibar), mbili (Kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.