KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe

JF Prefixes:

Kuna taarifa zinazo sadikiwa kuwa ni za uhakika kuwa baadhi ya Maprofesa na majaji wanakesha kuichambua rasimu ya pili ya katiba kifungu hadi kingine, ni raisimu iliyo wasilishwa na na mwenyekiti...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Wasalamu ndugu; Mara nyingi huwa natenga muda kuchunguza yanayozungumzwa na viongozi leo kwa kulinganisha na yale waliyonena jana. Kama ilivyo ada kwamba mkubwa ni jalala...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Ningekuwa Na uwezo Wa kuchagua wabunge Wa katiba, ningejitahidi kupata wenye mapenzi ya Tanzania km Huyo mzee alivyoipenda nchi hii.
0 Reactions
0 Replies
903 Views
Công ty Cổ phần đầu tư thương mại và phát triển DVN Là một nhà phân phối cung cấp tất cả các sảm phẩm...
0 Reactions
3 Replies
774 Views
Wana JF, Rasimu ya Katiba mpya ina vipengele muhimu sana kwa nchi yetu.Lakini kuna vifungu ambavyo vinawahusu Wabunge na Mawaziri moja kwa moja. Na wao watakuwepo wakati wa upitishaji au...
0 Reactions
17 Replies
1K Views
Katika kipindi hiki; ni kipindi cha mpito kwa watanzania. Hii ni kwa kuwa watanzania wengi kwa uzalendo wao wamejikita katika kutafuta mustakabari wa taifa hili kwa tashwishi kwa kudhani kuwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu JF, Hivi kama Bunge la Katiba lina Mamlaka ya Kuja na Rasimu Mpya kabisa ya Katiba na kuifuta ile ya Tume ya Warioba hivi kulikuwa kuna uhalali gani wa Kuundwa kwa tume ya Warioba ? Hivi...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Kwa muda mrefu sasa nimekuwa nikifuatilia malumbano yanayoendelea kuhusu Katiba mpya. Malumbano yaliyochukua sehemu kubwa hasa kwa wanasiasa ni kuhusu muundo wa Muungano kati ya nchi mbili za...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kwa muda mrefu sasa nimekuwa nikifuatilia malumbano yanayoendelea kuhusu Katiba mpya. Malumbano yaliyochukua sehemu kubwa hasa kwa wanasiasa ni kuhusu muundo wa Muungano kati ya nchi mbili za...
0 Reactions
0 Replies
886 Views
Mh rais, katika maadhimisho ya chama chake ameisemea chadema kwamba wapo wanachadema wanapenda serikali 2,hilo sina hakika nalo,ila ni kuraghai watu,semea chama chako mheshimiwa
0 Reactions
1 Replies
831 Views
kuliko la sasa la serkali mbili lenye wabunge mianne na ushe hii ni hesabu ndogo ya mtoto wa darasa la kwanza ukimuuliza swali 300 na400 ipi kubwa atakupa jibu haraka mie navyo ona hawa wanaodai...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ndugu zangu wwnajamvi si mara ya kwamza kusikia viongozi wa serikali na ccm yangu wakisema serikali ni ya kiungwana kwa sababu eti ilipopigwa kura za maoni kuona idadi ya watu wanaopinga au...
0 Reactions
0 Replies
826 Views
Wiki hii kuliitishwa Baraza la Katiba la Wasanii ili kujadili na hatimaye kutoa mapendekezo kwa ajili ya Rasimu ya Katiba Mpya. Baraza lilifanyika ofisi za BASATA zilizopo Ilala Dar es Salaam...
3 Reactions
79 Replies
5K Views
Bw. Humphrey Polepole, mjumbe wa Tume ya Katiba, leo ameibua siri ya Tume kushupalia pendekezo la kuundwa kwa serikali tatu. Amesema Wazanzibar walikuja na Katiba Mpya mwaka 2010 yenye mabadiliko...
1 Reactions
10 Replies
4K Views
Wana jf kwa uzoefu wa Bunge la JMT wabunge pamoja na mawaziri wamekuwa hawajudhurii vikao bus Bunge kama insvyotarajiwa. Tukiwa tumebakiza siku chache kabla ya kuanza kikao cha Bunge maalum la...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Watanzania wengi wamezungumzia na wanaendelea kuzungumzia mapendekezo au rasimu ya Katiba kama ilivyowasilishwa na Tume niite Tume ya Jaji Warioba kwa nia nzuri tu. Baadhi ya wachangiaji wa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wanabody kwa wanaojua wanaweza tujuza kama Warioba lihoji pia jamaa wa ulinzi na usalama wa nch ili watujuze kama ni mfumo gani wanauona ni mzuri kwa usalama wa nchi yetu. Nasema hivi kwa kuwa...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Dar es Salaam. Mwanasheria Mkuu mstaafu, Jaji Mark Boman amekitaka Chama cha Mapinduzi (CCM) kuachana na msimamo wake wa muundo wa Serikali mbili na kwamba, wawaachie wananchi waamue. Pia, Jaji...
9 Reactions
62 Replies
9K Views
Ingawa inasemekana kinadharia kuwa Rais ndio anayeteua wabunge watakaoingia kwenye bunge la katiba ukweli ni kwamba mawaziri wawili wa sheria [ wa sasa na aliyeanzisha mchakato] ndio watakaokuwa...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
TAFADHALI USININUKUU Ndugu zangu, Haiyumkini Majaji wetu hawa wazaliwa na wazalendo wa nchi hii wakawa wote wana matatizo katika kufikiri kwao; Jaji Francis Nyalali, Jaji Robert...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Back
Top Bottom