Katika kipindi cha "Je tutafika" cha channel ten, Kingunge ameonyesha masikitiko yake kwa kitendo cha JK kuridhia kuanzishwa kwa mchakato wa kuandikwa kwa katiba mpya kwa sababu CCM haikuwa...
October 24th 2013
Rais Kikwete akikaribishwa kutembelea Jengo la Bunge mjini Dodoma na Naibu Spika Mhe. Job Ndugai leo Oktoba 24, 2013.
Rais Kikwete akiangalia sehemu ya viti ndani ya...
KWA UFUPI
Hamad alisema mfumo wa urais wa zamu utaipa nafasi Zanzibar badala ya mfumo wa sasa unaotumika ambao
unaonyesha Zanzibar itawachukua muda mrefu kutoa nafasi ya urais wa Muungano baada...
Hivi selikari yetu inaogopa debates au tunadanganywa na media? Tulitangaziwa kuwa katika mdaharo wa leo hapa Serena Hotel watoa mada watakuwa ni pamoja na naibu waziri wa sheria na katiba mh...
Wana jamii naomba mawazo yenu hivi kwanini swala la katiba mpya vyama vya siasa wamechukua zaidi jukumu la tume? Watu wanazunguka nchi nzima sasa sijui kuna maslahi gani binafsi mpaka wenzetu...
Wageni waalikwa ni pamoja na:
1. Tundu Lissu Mnadhimu wa kambi ya upinzani bungeni.
2. Mwanazuoni kutoka Chuo Kikuu cha Zanzibar (SUZA)
Mwendeshaji wa kipindi ni Rosemary Mwakitwange...
Jumapili hii live kupitia ITV, kuanzia saa 9 - 12 jioni EABMTI itakuletea Mdahalo wa Katiba Mpya 'tunakoelekea'. wazunmgumzaji kwenye mdahalo huu watakuwa:
Mh. Angela Kairuki
Naibu Waziri wa...
Kwako Rais wetu mpendwa Jakaya M. K. Kikwete,
Kwanza nakupongeza kwa nia yako ya dhati ya kutupatia Katiba Mpya ya miaka 50 ijayo. Naamini ni nia yako ya dhati baada ya kugundua umuhimu wa suala...
Mwandishi Wetu
23 Oct 2013
RASIMU ya awali ya Katiba Mpya ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambayo imekwishajadiliwa katika Mabaraza ya Katiba na sasa inafanyiwa uchambuzi na Tume ya Mabadiliko...
Rais Kikwete kuna mambo mengi aliyotaka kuyafanya katika uongozi wake kwa dhamira njema lakini kwa sababu ambazo mimi siwezi kuzielewa vizuri hakufanikiwa kabisa. Miongoni mwa mambo hayo ni;
1)...
Kwanini tuwe na mashaka na wasiwasi,
Ambao sisi wenye tunaweza kujiepusha nao?
Ni wakati muafaka sasa vyama vya siasa kujiandaa na serikali ya umoja wa kitaifa!
Ni muhimu sana, coz in both...
Serikali inatarajia kuandaa hati ya dharura ili kuwezesha kufanyika kwa maboresho ya Muswada wa Sheria ya Marekebisho ya Mabadiliko ya Katiba ambayo yatajadiliwa upya katika Mkutano wa Bunge...
Yaani mimi binafsi siungi mkono kabisa rasimu hii. Kwa kuwa ukiisoma rasimu nzima hakuna hata sehemu moja imetambua uwepo wa Mhasibu Mkuu wa serikali. Yaani taaluma hii ya uhasibu haikuguswa...
Wanajamvi
Sura ya kwanza ya Rasimu, Sehemu ya Kwanza Ibara 4 (1) inasomeka, "Lugha ya Taifa ya Jamhuri ya Muungano ni Kiswahili na itatumika katika mawasiliano rasmi ya kitaifa na kiserikali...
Tume ya Mabadiliko ya Katiba imeomba kuongezewa muda wa mwezi mmoja kutokana na ugumu wa kazi ya uchambuzi wa maoni yaliyotolewa na wananchi na asasi mbalimbali.
Tume hiyo inayoongozwa na...