Wakuu kamanda Lissu anafanya press, sasa hivi Makao Makuu ya Chadema na haya ndiyo amezungumza;
- Wadau wa Zanzibar hawajashirikishwa hata kidogo na hawakuwepo kwenye ratiba ya Kamati.
- Kamati...
Baada ya mapambano ya muda mrefu kuhusu kuandikwa kwa katiba mpya, sasa Tanzania imeanza kuandika historia mpya kwa kuandika katiba itakayoshirikisha wananchi wote. Lakini pamoja na furaha...
Habari, JF
Yakiwa yamesalia masaa machache watanzania wakiongozwa na muungano wa vyama vitatu vya upinzani nchini (CHADEMA, NCCR-MAGEUZI, NA CUF) Kuandamana nchi nzima kupinga Rais kutia...
Upinzani umeahirisha maandamano ya kupinga Muswanda wa Marekebisho ya Katiba yaliyokuwa yafanyike tarehe 10, mwezi huu.
Sasa kukutana na rais kwanza..!
Kikwete hajaonyesha ukomavu wa kisiasa na kushindwa kujibu hoja badala yake kumshambulia Tundu Lissu kwa lugha za vijiwe kitu kisichokubalika kwa nafasi na heshima yake kama Rais. Lugha hii...
Kwa mujibu wa hotuba ya raisi amesema kuwa kaambiwa kuwa wabunge wa upinzani walitoka nje na kwawaacha wenzao wa ccm wakijadili sheria hiyo,hivyo walikosa fursa ya kujadili na wenzao.
Kama raisi...
Ratiba ya kamati ya bunge ya katiba na sheria haijabainisha ni lini muswada wa sheria ya mabadiliko ya katiba utajadiliwa na kamati hivyo mjadala wa muswada wa sheria hiyo kufa na kutorudishwa...
Mbivu na mbichi kuhusu muswada wa marekebisho ya sheria ya mabadiliko ya Katiba zitajulikana leo wakati Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Katiba, Sheria na Utawala, itakapokutana katika ofisi ndogo za...
Katika hotuba aliyoitoa Rais nilishindwa kujua kwanini kila kitu alikuwa akijiuliza eti kama nikweli? kama taarifa zote akizopewa hakuwa na uhakika nazo!?
By The Citizen Reporter
Posted Sunday, October 6 2013 at 01:00
Dar es Salaam.
Opposition parties yesterday welcomed President Jakaya Kikwetes invitation to hold talks to unlock the...
Inackitisha mwakilishi wa wananchi anasahau majukumu yake yaliyompeleka bungen anayasahau.Katka mikutano nyingi ya bunge tunaona wabunge wetu wanalala,na kuna wabunge tangia wachuguliwe hawajawahi...
Wana jf;
Kuanzia hapo awali wakati wa mchakato wa katiba mpya kuna watu au makundi ya watu ambao walionyesha wazi kabisa kuwa hawakubaliani au hawapendezwi na uundwaji wa katiba mpya na katika...
Hawa maccm wakoje? hivi kilio cha watz kwa miaka mingi tunataka katiba mpya wanajifanya hawakijui,kilio cha watz wengi mchakato hauko sawa wamefumba masikio kwa kisingizio eti wabunge...
Yaani baada ya habari ya ITV kwa mkutano jangwani nikarudi TBC, nimekereka wamekazania habari za watumwa wa CCM vyuoni eti wanampa baraka Mr dhaifu aendelee na kusaini katiba na habari ya kinana...
Ndugu wanabodi,
Kama wengine nimesoma hotuba yote ya Rais wetu juzi, na nimeelewa kwamba Muswada utarudi bungeni.
Lakini sijaelewa kitakachoendelea.
Je, utarudi bungeni kwa sura ipi?
1: Je...
Mwenyekiti wa Tume ya mabadiliko ya katiba Jaji (Mstaafu) Joseph Warioba amekemea vyama vya siasa vinavyoelekea kutafuta Katiba mpya kwa njia ya maandamano na kuwagawa watanzania...
Wanabodi
Baada ya kusikiliza kwa makini maoni ya wanasiasa wa vyama vyote na pande zote mbili za Muungano, nashawishika kuamini kuwa kinachogomba si idadi ya serikali katika Muungano huu. Toka...
- Nimeshitushwa sana na vitisho kutoka kwa Tume ya Katiba kwamba eti watajiuzulu iwapo matakwa yao ya kututengenezea Katiba mpya hayatakubaliwa, well;- nilisema toka siku ya kwanza Tume hiyo...
waziri mkuu Pinda ameyasema hayo mkoani kigoma katika hadhara iyohudhuriwa na wananchi wachache, wengi wao wakiwa watoto. Nakuongeza kwamba tukatae kurudishwa nyuma na watu wanaotaka vurugu na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.