Ataja vifungu sita vilichomekwa
Serikali imekiri kuwa vifungu sita katika muswada wa marekebisho ya sheria ya mabadiliko ya katiba vilivyoongezwa na kuwasilishwa katika Bunge la Jamhuri ya...
USULI: Suala la katiba lilitolewa tahadhari nyingi kabla ya kuanza. Tulionya nia mbaya iliyokuwepo tukizingatia CCM haikuwa tayari kwa mabadiliko. Tukaonya hoja kutekwa nyara na serikali...
Wana JF, greetings to you all. I have been following the current situation in the country and to be precise on matters going around the new constitution and more specifically on the type of the...
Naomba nianze kwa kusema hivi (unapodai haki kwa kuvunja haki za wengine unaweza kupoteza hata hiyo haki unayoidai) kazi ya bunge ni kutunga sheria lakini wabunge ndio wamekua wa kwanza kuvunja...
Ndugu zangu,
Kwenye The Citizen la leo kuna makala ndefu ya Bernard Mapalala. Huyu ni Kaka na mwafamilia mwenzangu kwenye tasnia ya habari.
Mapalala ameanza kujenga hoja yake kwa kuiwekea...
Jeshi la polisi halitakiwi kuhusishwa na siasa,Tanzania tumeliunganisha jeshi la polisi kisiasa kwa namna moja au nyingine,Kisheria wakuu wa mikoa na wa wilaya wao c watendaji bali wao ni...
Katika maandiko ya Biblia neno Tohara limetumika sio kama tendo la kukata sehemu za baadhi ya viungo vya mwili,ila limetumika kuonyesha uwezo wa akili ya mtu!
Biblia inasema kutahiriwa au kuto...
Nimeona kwenye taarifa za ITV Viwanda vya ndani na mawakala wa saruji wanapiga mayowe soko limeingiliwa na saruji toka nje. Wanasingizia ya nje inakwepa kodi. Kwani wawekezaji wao si wageni...
Katiba ni Mwafaka wa Kitaifa. Viongozi zungumzeni
Kwa takribani wiki tatu sasa kumekuwa na sintofahamu kuhusu muswada wa sheria uliopitishwa na Bunge ili kufanya marekebisho ya sheria ya...
Nikiwa kama kijana (21) na ni Mtanzania napenda kuchukua fursa hii kuzungumzia katiba.Kwa wale wenye upeo watakubaliana nami kuwa nchi yetu ipo njia panda kuelekea katika machafuko ya...
Chikawe amesema haya kwenye mkutano wa wanasheria Dodoma.Anasema yeye haoni tatizo lolote katika mswada uliopitishwa wa kuunda bunge maalumu la katiba na kwamba siyo lazima kukubaliana na kila...
sasa serikali imekiri kuwa rasimu ya katiba baadhi ya vipengele havikujadiliwa huko zanzibar ila nitatizo dogo sana halina haja ya kuleta mtafaruku/mkanganyiko..
source : RFA
Muungano wa serikali mbili (muungano na Zan.) bila ya kuwepo kwa Tanganyika ni vigumu kukubalika hasa kwa watu wenye akili njema. Nadhani hata Nyerere hakumaanisha serikali mbili, haikuwa mwisho...
MKUTANO WA HADHARA WA CUF VIWANJA VYA KIBANDA MAITI.
Katibu Mkuu wa CUF ambae pia ni Makamo wa Kwanza wa Rais Maalim. Seif Sharif Hamadi akiwatubia wananchi katika mkutano wa hadhara...
Kwa wanaokumbuka, Kenya ilikuwa na mchakato wa katiba kabla ya uchaguzi mkuu mwaka 2002.
KANU wakitumia wingi wao bungeni walilazimisha kuandikwa kwa rasimu mbovu ambayo ilipingwa na vyama vyote...
TUME ya Mabadiliko ya Katiba inayoongozwa na Waziri Mkuu wa zamani, Jaji Joseph Warioba, sasa inasuburi uamuzi wa mwisho wa serikali kuhusu Muswada wa Sheria ya Marekebisho ya Sheria ya Mabadiliko...
Katika hali ambayo sikutarajia nimemsikia Lipumkba akitamka Peopleees, neno linalotumiwa na CHADEMA. It is a good progressAskofu Zachary Kakobe atokea Jangwani kuungana na watanzania wengine...
Tutumie Muda kiduuchu huu kabla ya 2014 Kuunda TUME Huru ya Uchaguzi. Mambo haya ya KATIBA Na Muungano tutatoana Damu watanzania ivi-ivi.
Tunahitaji kujenga KATIBA Kwa mustakabali wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.