KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe

JF Prefixes:

Makanisa kuchomwa moto, Padre Mushi kuuawa, Padre Mkenda kujeruhiwa kwa risasi, Padre Mwang'amba kumwagiwa tindikali, Ustaadh Soraga kumwagiwa tindikali, Sheikh kuuawa shambani, British volunteers...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Waziri wa Katiba na Sheria,Mathias Chikawe Mchakato wa kupata Katiba mpya umeendelea kupingwa, baada ya wanaharakati kuungana na kutoa tamko la kutaka usiharakishwe huku na Rais Jakaya...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Kuna taarifa za ukweli kuwa kutokana na kuwa na wasiwasi Wa kupitishwa katiba ambayo haiwatambui wabunge Wa viti maalum,pindi chana ameanza kumuundia zengwe Mh Filikunjombe kwa madai kuwa...
0 Reactions
10 Replies
4K Views
Ndugu wanajamiiforum hii leo kupitia channel ten niliona vyama vya upinzani wanalalama kuhusu mchakato mzima wa kuipata katiba mpya. Mimi kama mwanasheria mchanga kabisa, naona dalili za katiba...
0 Reactions
0 Replies
987 Views
Mchungaji wa kanisa la ufufuo na uzima mch joeseph gwajima amesema katika mchakato wa katiba mpya inayokuja serekali tatu haziepukiki gwajima aliyasema hayo juzi jpili wakati wa ibada...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Maoni ya Kambi ya Upinzani Bungeni kuhusu Muswada wa marekebisho ya Sheria ya Mabadiliko ya Katiba 2013li Zanzibar (ZLS), Chama cha Madaktari Tanzania (MAT), Taasisi ya Wahandisi Tanzania (IET)...
2 Reactions
2 Replies
2K Views
...Kabla ya kuileta "SHERIA YA MABADILIKO YA KATIBA" Sura ya 83 (toleo lililorekebiwa la mwaka, 2012) ...kuna haya yaliyowapeleka wapinzani hadi Ikulu wakakutana JK, wakitoa shindikizo...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
" Nilishasema kuwa kuna marekebisho kibao ya rasimu kiasi kwamba hakuna muda wa kuyatatua, na mpangilio unaruhusu Tume kutoyatafakari kwa kina. Kwa kuwa hawana mwingiliano wa ana kwa ana na wadau...
0 Reactions
2 Replies
972 Views
Kamati ya Maridhiano Six: MJUMBE WA KAMATI YA MARIDHIANO, ISMAIL JUSSA; 31/08/2013 - YouTube
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Ni nani alimtuma kiongozi huyu ambaye bungeni anatambulika kama mbunge tu wa jimbo la kitope Zanzibar kuwasemea wazanzibari? Tuanavyojuwa sisi wengine suala la katiba limewekewa utaratibu maalumu...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Muswada wa Marekebisho ya Sheria ya Mabadiliko ya Katiba wa Mwaka 2013 umezidi kuibua mapya, baada ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kudai kwamba, kikao cha Bunge kilichofanya maamuzi...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
KUTOKA MOYONI MWANGU, KUHUSU MIVUTANO YA KATIBA MPYA! Soma kwa makini sana UELEWE! Serikali ya tanganyika ilikuwepo na ikamezwa na muungano, ili kuleta balance hakukuwa na namna zaidi ya...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Ni muhimu kuzingatia muda katika suala zima la elimu kwani inaonekana elimu za kutumia vitendo zinachukua muda mfupi kueleweka zaidi kuliko nadharia mfano Wanafunzi wanaosoma VETA wanachukua muda...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
nashangaa sana kila siku kuwasikia wanaharakati na baadhi ya taasisi binafisi wakisema WANASIASA WASIHODHI MCHAKATO WA KATIBA. wanataka wananchi wahodhi mchakato wa katiba. 1.SWALI:hivi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari wana JF Poleni sana kwa majukumu ya ujenzi wa taifa letu. Kama watanzania hatuna budi kuchukua japo hata mida wetu mchache kupitia na kuelekeza wasiojua mambo ya katiba. Ningeshauri kwa...
0 Reactions
0 Replies
992 Views
Nimekuwa nikifuatilia kauli mbalimbali za viongozi wangu wa CCM na wale wa serikali kupitia mikutano ya hadhara, midahalo na hata kupitia vyombo vya habari kuhusiana na Katiba mpya. Ziko nukuu...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
"CWT yataka serikali tatu" Rais wa CWT, Gratian Mukoba. Chama Cha Walimu Tanzania (CWT) kimependekeza kuwepo kwa Serikali tatu katika Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, pamoja na kuundwa...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wanabodi; Naona imekuwa trend sasa, kila kitu kinachohitajika na watanzania watawala na wanaitwa wasomi wanakizima kwa sababu ya ajabu sana......Gharama...".Hivi hao wanaosema gharama hiyo hela ni...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Mhadhiri wa Chuo Kikukuu cha Dar es Salaam, Profesa Chris Maina, amesema kuna hofu ya kuwa na Katiba yenye mtazamo wa chama kimoja cha siasa kutokana na utaratibu uliowekwa wa wajumbe wanaotakiwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
anaponda katiba na maoni ya wapinzani anadai katiba sio mwarobaini wa matatizo ya watanzania anaendelea kuongea tbc jioni hii
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Back
Top Bottom