KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe

JF Prefixes:

Jinsi mwenendo wa Katiba mpya unavyoenda, kuna uwezekano ikachelewa kukamilika na kuundwa kwa tume huru kwa ajili ya Uchaguzi wa 2015!!!! Mbaya zaidi, Tanzania inakabiliwa na matatizo makubwa...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
MOTO WA MSWADA WA KATIBA WAHAMIA VISIWANI ZANZIBAR Chama cha Wananchi (CUF) kimemtaka Makamu wa Pili wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Balozi Seif Ali Idd, kujiuzulu wadhifa huo kwa...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Kupinga Serikali tatu ni kusaliti Muungano asilia by Mihangwa. Mara baada ya kusoma makala ya Joseph Mihangwa inayosema "Kupinga kupinga serikali tatu ni kusaliti muungano" sehemu ya kwanza hadi...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Watanzania tuwe kitu kimoja katika kusupport katiba tunayoitaka.
0 Reactions
0 Replies
722 Views
Kutokana na moto wa Katiba ambao umewashwa baada ya sheria kupitishwa kinyemela Bungeni , leo uongozi wa CCM ikiwa ni wajumbe wa SEcretariat na Mawaziri wote waliopo chini ya ofisi ya Waziri Mkuu...
16 Reactions
123 Replies
11K Views
- Nimezipokea kwa furaha sana habari za Mkuu wa Jukwaa la Katiba la Tanzania, kwamba jana amerudisha rasmi kadi ya CCM na kwamba sio mwanachama tena wa CCM, saafi saana maana nimekuwa nikjiuliza...
2 Reactions
82 Replies
7K Views
Wazee wa busara walisema , mtu akidanganya mara kwa mara bila uongo huo kukanushwa hadharani, wale wasioujua ukweli watadhani uongo huo ni ukweli. Katika mchakato wa Katiba Mpya, wapinzani ...
0 Reactions
24 Replies
2K Views
Nilisikiliza kwa makini sana matangazo ya Mwema na Lipumba kuhusu kuahirishwa kwa maandamno..nilichosikia kwa mwema, lipumba na Kova ni km nimesikiliza CD moja yenye remix tofauti. CUF na Lipumba...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
KATIBA MPYA IFAFANUE NINI MAANA YA KUKASHIFU DINI. waisilam nhini wametaka katiba ijayo ifafanue kukashifu dini nyingine maana yake ni nini,kupitia kifungu kilichopo katika mapendekezo ya rasim...
0 Reactions
33 Replies
6K Views
Hivi karibuni Bunge la Jamhuri ya Muungano lilifanya mabadiliko ya Sheria ya Tume ya Mabadiliko ya Katiba na kukawa na ususiaji wa Wabunge wa Upinzani na hata kuzusha tafrani kubwa. Wabunge wa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Naomba kuwauliza viongozi wa dini ya kikristo kupitia jumuiya yao mapungufu ya muswada wa sheria ya mabadiliko ya katiba na mchakato mzima unavyokwenda hawayaoni?Kwanini wanashindwa kuunganisha...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Ameongea ktk mkutano wa jangwani na kujifanya kumfagilia mhe Rais kikwete! Na eti anamwomba asisaini mswada wa katiba mpya! He kanisa limemshinda anajaribu kete ya siasa baada ya kushtukiwa na...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Ndugu zangu, Kama Mwanafasihi na mshahiri mahiri Shaaban Robert angelikuwa hai ,basi, kwenye hili la mjadala wa Katiba yumkini angetamka; " Turufu huenda kwa mchezaji...!" Maana...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe ameitangaza siku ya Alhamis ya Oktoba 10, mwaka huu kutafanyika maandamano nchi nzima kwa ajili kudai Katiba Mpya. Mbowe amesema maandamano...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
any body with exipirience for how long the constitution will be ready? but for my side i will be hap if 2015 wl be ready
0 Reactions
0 Replies
886 Views
Mh WASSIRA Jana katika kipindi Cha tuambie Cha TBC1,WASSIRA aliwekawazi juu ya mchakato huu tangu ulivyo anza Mpaka sasa tulipo fikia. Huku akielezea kilicho tokea bungeni na taratibu Za bunge...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hivi kwanini vyama vyote vitatu vinavyopinga kuwa zanzibar hawakushirikishwa kwenye mchakato wa katiba vilikutana na shura ya maimamu peke yao na wakristo wakaachwa solemba hv ni kwanini...
0 Reactions
2 Replies
920 Views
Huu mswada wa katiba cna hakika kama kweli wabunge wetu wanatuwakilisha vyema wananchi kwa mwendo huu cc watanzania kila kitu tuko nyuma kugombana bungeni sio suluhisho la matatizo wazo langu...
0 Reactions
3 Replies
988 Views
~ Adai ndio chanzo cha kupigana bungeni ~ Asema ndizo walizotumia kuzunguka na helkopta nchini. ~ Aeleza yaliyotokea sio bahati mbaya, Chadema waliyapanga ~ Ashukuru bunge kuendelea kuonyeshwa...
3 Reactions
293 Replies
21K Views
* Asema Tanzania itashangaza dunia CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimeendeleza msimamo wake wa kupinga muundo wa Serikali tatu kuingizwa katika Katiba mpya, kikisema kuwa muundo huo ni hatari kwa...
0 Reactions
63 Replies
5K Views
Back
Top Bottom