Katiba ya Tanzania - Ibara ya 13.
Ibara ndogo ya (1),
Watu wote ni sawa mbele ya sheria, na wanayo haki, bila ya ubaguzi wowote, kulindwa na kupata haki sawa kwa mujibu wa sheria ya Nchi.
(a)...
98.-(1) Bunge laweza kutunga Sheria kwa ajili ya kubadilisha
masharti yoyote ya Katiba hii kwa kufuata Kanuni zifuatazo:-
(a) Muswada wa Sheria kwa ajili ya kubadilisha masharti
yoyote ya...
Wiki iliyopita niliandika makala iliyokuwa inachambua ni nini iwe njia ya kupita kufikia kukamilisha mchakato wa kukamilisha ‘sheria ya marekebisho ya sheria ya mabadiliko ya Katiba ya mwaka...
"Ningekuwa mshauri wa Raisi Jakaya Kikwete kuhusu muswada wa sheria ya mabadiliko ya katiba,ningemshauri asisaini sheria hiyo iliyopitishwa na Bunge mwezi uliopita"
"ushauri wangu unazingatia...
Tujiulize, Katiba tiba ya maadili yetu?
Na January Makamba
Posted Jumatatu,Oktoba14 2013 saa 12:54 PM. Tujiulize, Katiba tiba ya maadili yetu? - Habari - mwananchi.co.tz
Mwaka 1986...
Matatizo yanayotukabili watanzania kwa kiasi kikubwa ni zao la katiba mbovu tuliyonayo. Katiba hii inawapa mamlaka makubwa na kinga kubwa sana watawala wetu kiasi wanakuwa kama miungu mbele ya...
Jumanne ijayo, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Kikwete atakutana na viongozi wa vyama vikuu vya upinzani nchini kujadili kuhusiana na muswada wa katiba mpya.
Viongozi hao wa vyama...
Ndugu wana JF,
Kauli ya Waziri Wasira kama ilivyoandikwa na gazeti la RAI inaniongezea maswali lukuki kuhusu mchakato mzima wa katiba na umakini wa viongozi wetu. Kwa alichokisema ni kwamba hadi...
Jaji Joseph Sinde Warioba ndio wakulaumiwa katika matatizo yanayojitokeza katika Rasimu ya Katiba. Uhalisia wa tatizo nikua, Jaji joseph Sinde Warioba, ameamua kufuata nyayo za Mwalimu Nyerere, za...
Kama mtoto mchanga ajifunzavyo tabia za watu hususani wazazi wake kwa kuwaangalia sura zao, kuwasikiliza sauti zao huku wakilinganisha na matendo sambamba na sauti zao, ndivyo nilivyo ng'amua nia...
There are two things involved to this issue of new constitution its either they give us constitution we nid or we giv them constitution we need by our own means over no more no less....!!!
Nimekutana na habari gazeti habari leo ya wanasheria waompinga Tindu Lissu juu ya mswada wa katiba mpya nikaona niilete hapa ili wenye uelewa zaidi wa sheria wanisaidie.
***Wanasheria hao...
Gazeti la Rai wiki hii limekuja na majina mengi lakini kati ya hayo mimi naona mwenye sifa ya kuongozi Bunge hilo la katiba kama tutaweka itikadi za kisiasa pembeni Jaji mkuu mstaafu Barnabas...
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi CCM Abdallah Bulembo amemshambulia kwa maneno makali Mkiti wa Tume ya Katiba Jaji Joseph Warioba.
Akihutubia mkutano wa CCM Tanga Bulembo amesema Warioba hana...
Sarakasi walizofanya kwenye mabaraza na lawama na matusi yanayoelelezwa kwa Warioba kana kwamba yeye ndiye anayeamua nini kiwepo na nini kisiwepo katika katiba mpya ni mbinu za CCM kumtisha...
Mwenyekiti wa tume ya mabadiliko ya katiba amesema kuwa maridhiano ya kitaifa ndio yatakayoipa hii nchi katiba bora. Amesema lazima tofauto zote zipatikane kwenye meza ya mazungumzo. Kasema katiba...
Ni kwa mujibu wa Taarifa toka Ikulu:
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Leo, Jumatatu, Oktoba 7, 2013, zimetungwa habari, zikaingizwa kwenye Mitandao ya Kijamii na kusambazwa sana zikidai kuwa Rais...