wadau amani iwe juu yenu.
nimekuwa nikijiuliza kuwa since ikulu ya magogoni ndio ilikuwa makao ya serikali yetu tukufu ya TANGANYIKA (najivunia TANGANYIKA kurudi tena) sasa swali kuu ni...
Wazanzibari wengi wamesikika wakiiponda Rasimu ya Katiba Mpya iliyozinduliwa jana na Makamu wa Rais,Dr.Mohamed Gharib Bilal. Sehemu kuuw aliyoilenga ni ya uwepo wa Serikali tatu: Serikali ya...
Dar es Salaam/Dodoma: Mapendekezo yaliyotolewa katika Rasimu ya Katiba Mpya na Tume ya Marekebisho ya Katiba yamewavuruga wanasiasa ambao tayari walikuwa wamejipanga kwa ajili ya kuwania urais...
Barazani kwa Ahmed Rajabu
Ahmed Rajab
Toleo la 297
5 Jun 2013
JAJI mstaafu Joseph Warioba na Tume yake ya Mabadiliko ya Katiba wametamka na wananchi wamewasikia...
nimeisoma na kuielewa vizuri rasimu mpya ya katiba ni nzuri lakini katika hili inabidi tulitazame tena lakini kama haiwezekani iachwe kwa sababu mtoto akilia wembe......
1. Suala la serikali tatu...
Wandugu mimi ni mjumbe wa baraza la katiba la wilaya ila hadi sasa hamna clue yoyote kwa tarehe halisi ya kuanza mabaraza hayo japo tuliambiwa yanaanza mwezi huu wa sita na wiki imeshakatika. Kuna...
Wakuu JF great Thinkers Asalam Aleikuum,
Nipende ku express Feeling zangu kuwa kwa Hali ninayoiona kuna uwezekano Rasimu ya Katiba kipengele cha Serikali 3 Kisipite. Kikwazo kikuu cha Kupita...
Kwa namna muundo wa katiba mpya ulivyo itakua ngumu kuendelea na madaraka kwani kila kitu kitabadilika na tume ya uchaguzi itabadilika na ivo wazee wa kuiba kura kuwa katika wakati mgumu
Roho yangu ni ngumu kuliko ninavyoweza kuielezea. haswa kwa masuala yanayohusu nchi yangu Tanzania. couse nilijua siku njingi kuwa tanzania ndiye mama yangu mpendwa, na sikupenda abadan kuikosea...
IBARA 180 (3) (e)
(3) Ili kutekeleza masharti ya Ibara ndogo ya (1) na (2), mamlaka ya nchi itaweka utaratibu wa sheria utakaowezesha:
(e) kuweka utaratibu wa kuandikisha raia wa Jamhuri ya...
Wenzangu wanabodi, hususan wale waliberali, turudini kwenye ile hoja nyingine, maana mntaka kutumia 'kombora' la uliberali kama exit ya zile tuhuma nyeti zinazowakabili CUF na hasa mwenyekiti wenu...
Nimeipenda sana. Kuna baadhi ya vipengele vimenikosha zaidi.
Hebu cheki:
15.-(1) Zawadi au kitu chochote kitakachotolewa kwa
mtumishi wa umma katika shughuli za kiserikali ni zawadi kwa
Jamhuri...
SOURCE; MWANANCHI
Ibara ya 122 ya rasimu hiyo inazungumzia vitu vinavyoweza kuwafanya wananchi kmngoa mbunge.
Inasema wananchi watakuwa na haki ya kumwondoa mbunge wao madarakani kama atafanya...
Wadau,
Nimeisoma ibara ya 113(kama ilivyonukuliwa hapa chini) na nikarudia tena na tena lakini sijaielewa. Aliyeielewa tafadhali anitoe kizani.
Utaratibu
wa
kutunga
sheria
kuhusu
mambo
ya...
Leo,umeanza upotoshaji kuwa eti Marais wa zamani wa Tanzania,Ali Hassan Mwinyi na Benjamini Mkapa,kwa mujibu wa Rasimu ya Katiba mpya ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,wataruhusiwa kugombea urais...
NAFASI ya Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano na naibu wake imefutwa katika Katipa Mpya ijayo badala yake Spika wa Bunge na Naibu wake hataruhusiwa kuwa Mbunge wala mwanachama wa Chama chochote...
Juzi Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba Jaji(rtd)Joseph Sinde Warioba alitangaza uzinduzi wa Rasimu ya Katiba mpya kwa mbwembwe nyingi na hakika imepokelewa kwa mikono 2 na Watanzania...
1. Mamalaka ya rais kuteuwa viongozi wa juu yaishie ktk ibara zifuatazo tu:
Ibara ya 69(2)(e): kuteua wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama
Ibara ya 69(3)(c)-(e):kuteua mawaziri na manaibu...
Na Waandishi Wetu, Mwananchi
Posted Jumatano,Juni5 2013 saa 19:53 PM
KWA UFUPI
"Ukiangalia kwa haraka, hivi Serikali ya Tanganyika itakuwaje? Bunge la Tanganyika litakuwa la namna gani na...
Imefahamika kutoka kwa baadhi ya wajumbe wa Tume ya katiba kuwa kiongozi wa Serikali ya Tanganyika atajulikana kama Waziri Mkuu, vile vile kiongozi wa Serikali ya Zanzibar atajulikana kama Waziri...