KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe

JF Prefixes:

Tanzania jinchi kubwaa hata kuendeleza mikoa ilonayo inashindwa kazi kushikilia kijisiwa kidoogo ambacho hata watanganyika wenyewe washasema basi TATIZO CCM INAONGOZA HADI KINA WARIOBA... hili...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Kama rasimu ya katiba itapitishwa kuna umuhimu mkubwa wa mkoa wa Tanga ufanywe kuwa makao makuu ya Tanganyika kwa sababu zifuatazo: 1- Tanga ina historia nzito na nyeti! 2- Tanga ina bandari...
2 Reactions
62 Replies
5K Views
SERIKALI YA SHIRIKISHO TANZANIA 1. RAISI WA SHIRIKISHO MMOJA ASIYE NA MAKAMU 2. WIZARA 4 TU NAZO NI: - i. ULINZI, ii. URAIA NA UHAMIAJI BILA YA JESHI LA POLISI. iii. FEDHA iv. MAMBO YA NJE...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Ni masikio yangu yaliosikia na kwa kua ni muelewa nimeelewa hivi Wakisema kwa kua waliowengi watanganyika hawalitaki jina la Tanganyika na badala yake ni Tanzania bara mara Tanzania. Basi...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
KAMA Watanzania wataridhia rasimu ya katiba mpya ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania iliyozinduliwa wiki iliyopita na Tume ya Mabadiliko ya Katiba bila mabadiliko, itapiga marufuku Rais wa Tanzania...
0 Reactions
0 Replies
851 Views
Serikali tatu yageuka 'mwiba' kwa Warioba NA DANIEL MKATE 8th June 2013 B-pepe Chapa Katibu mstaafu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) mkoani Mara, Luteni mstaafu Hamis Chifupa...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Hii dhambi inawahusu wanabadiliko! CCM wamechakuliwa maoni yao kwenye rasimu ya katiba mpya, hawakuamini kabisa kilichotokea kwenye hii rasimu, bila shaka wanahisi wamechakachuliwa maoni yao...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
kwanza nianze kwa kusema kuwa mimi siyo mwanasheria. haya ni mawazo yangu ya kawaida. nitashukuru wanaoifahamu sheria wakiniweka wazi kwa faida ya watanzania wenzangu. kwanza nampongeza jaji...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Je Unajua: Tume ya "kukusanya" maoni ya Katiba Mpya inayoongozwa na Jaji Warioba haikulazimishwa na sheria kukubali maoni ya wananchi wengi? Yaani, hata kama wananchi wengi zaidi wangependekeza...
5 Reactions
46 Replies
3K Views
Tunapoelekea katika mjadala wa rasimu ya katiba, kuna dalili za wazi kuwa Zanzibar itaibuka kidedea na kuwa kama Cape Verde, na hatimaye kupeperusha bendera yake UN! Tusubiri tuone, yetu macho!
0 Reactions
6 Replies
1K Views
.......na pia wamo "Watanganyika na Watanganzibar!. Mimi shida yangu ni utitiri wa maraisi kwenye hii rasimu ya katiba!...Tunahitaji raisi wa shirikisho halafu hao wengine wawe mawaziri...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Tanzania ni mzee wa miaka 50 aliye m beba kijana wa miaka 18 na kawaacha watoto takriban 30 na wote ni wadogo na wanahitaji kubwebwa Lakini kamshika mtoto mkubwa kwanini? Kuna nini? at any...
0 Reactions
2 Replies
945 Views
Nimekaa kisha nikaona.mwisho wa siku hii katiba itawachanganya wengi. Awali tulikuwa na katiba ya Jamhuri ya Muungano ambayo ilikiwa ni ya serikali mbili; Tanzania bara na Zanzibar. Katiba...
0 Reactions
0 Replies
811 Views
Ndugu wanajf, kuna jambo linanitatiza na yeyote mwenye tafsiri nzuri ya hili asisite kunitafsiria Kwenye rasimu ya katiba ya Mheshimiwa warioba kuhusu chaguzi ndogo majimboni,rasimu hii...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
CCM imeitisha Kikao cha Dharura cha Kamati Kuu kitakachofanyika mjini Dodoma. Lengo hasa la kikao hicho ni kuipitia na kuichambua Rasimu ya Katiba mpya iliyowasilishwa kwa watanzania na Tume ya...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
A) MUHIMILI WA MAHAKAMA UMEWEKWA CHINI YA RAIS: Kuna mahakama 2, mahakama ya juu na mahakama ya rufani: 146.-(1) Bila ya kuathiri masharti yoyote yaliyotangulia katika Sehemu hii, kutakuwa na...
1 Reactions
2 Replies
856 Views
Leo katika gazeti la mwananchi la jumapili Warioba: Ikulu kugawanywa - Kitaifa - mwananchi.co.tz Jaji Warioba amesema ya kua baada ya muundo wa serikali tatu kwa mujibu wa katiba mpya (kama...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Leo, mmoja wa wajumbe wa tume ya katiba mpya Prof. Kabudi.. kwenye kipind cha kipima joto cha ITV.. ambapo pamoja na mambo mengine ameeleza kwa kina tafsir ya mambo makubwa katika rasimu ya katiba...
2 Reactions
29 Replies
2K Views
Nauliza tu maana nina utata. Kama tulikuwa hatuajiriwi Zanzibar kwenye mambo yaliyochini yao je Wazanzibari walioajiliwa kwenye mambo yaliyokuwa ya muungano zamani watarudi kwao? Nisadieni utata huu
0 Reactions
31 Replies
4K Views
Kwa mzanzibari wa kawaida bdo anaihitaji sana TANZANIA inayotokana na MUUNGANO WA ZANZIBAR NA TANGANYIKA. Kwao hawajui habari za wanasiasa na masuala ya utawala. Ila kwa viongozi wao ndo ambao...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Back
Top Bottom