Na Mussa Juma
Posted Jumanne,Juni4 2013 saa 21:3 PM
KWA UFUPI
Urais ni nafasi ya juu kabisa katika nchi, lazima Rais ajulikane anatoka chama gani, ana sera gani na kundi gani linamuunga...
Kwa hesabu za haraka haraka, ni asilimia mbili tu (2%) ya watanzania wanaishi Tanzania Visiwani (1.3mil), inayojulikana sana kama 'nchi' ya Zanzibar. 98% ya watanzania (zaidi ya mil. 40)...
Wana jf salam !
Tunapoelekea kwenye Uundwaji wa Katiba Mpya
ambayo kwasasa inatuelekeza kwenye Muundo
wa Serikali tatu yaani :-
1. Serikali ya Tanzania Bara
2. Serikali ya...
Kinana: Hatuungi rasimu ya katiba kwa 100%. Hii ni kauli ya Kinana kama ilivyoandikwa na magazeti mengi ikiwemo lile la Nipashe. In fact, ameitisha kikao cha CC kujadili rasimu hii na kutoa...
Kwa Aliyesoma Na Kuielewa Rasmi Ya Katiba Mpya Bila Shaka Anaweza Ungana Nami Ktk Kutoa Maoni Ya Kulitetea Taifa Letu.
Madhalani Naweza Gawa Rasmi Hii Ktk Makundi Mawili (a). Utaifa Na Mfumo Wa...
Ukienda katika rasimu sura ya sita
57.-(1) Jamhuri ya Muungano itakuwa na muundo wa shirikisho lenye serikali tatu ambazo ni:
(a) Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania;
(b) Serikali ya...
Napendekeza aqepo rais mmoja wa Muungano na awe na makamu wawili wa marais mmoja atoke bara na mwingine atoke visuwani. Na rais wa muungano awe anatoka sehemu yoyote ya muungano.
Nawasilisha
Maoni yangu kama ningekuwa karibu na warioba. Naunga mkono serikali tatu ila kuwe na raisi mmoja wa jamhuri wa muungano, kuwe na waziri mkuu wa tz bara na waziri mkuu wa zenji. Raisi wa muungano...
Nimemwona katika luninga, ITV , na kumsoma vizuri Katibu Mkuu wa CCM, juu ya rasimu mpya ya katiba na msimamo wake kichama.
Naona Kinana anajaribu kutembea katika mto wenye mawe ya utelezi...
Nimeipitia rasimu ya Katiba mpya iliyosomwa na Warioba na nimeshangaa kuona kwamba inapendekeza Rushwa na Ufisadi vishughulikiwe na Polisi. Warioba alikuwa mwenyekiti wa tume iliyoitwa kwa jina...
Wandugu
Hebu jioneeni wenyewe hiki kinachoandikwa kwenye Rasimu ya Katiba Mpya. Si maneno yangu.
77.-(1) Katika Uchaguzi wa Rais, kila chama cha siasa
kinachopenda kushiriki katika uchaguzi wa...
wapenda wana JF hii rasimu ya katiba kweli ni nzuri ila kuna mambo kama mabaraza ya katiba yasiporekebisha na ikapita hatimaye ikaleta katiba mpya basi utsatokea mgogoro wa kikatiba
moja kati ya...
Nimefuraishwa na mapendekezo ya majimbo ya uchaguzi kupunguzwa sana.
Faida zake
ghalama za kuendesha serikali kushuka.
2.wajumbe kupata muda wa kutosha kuchangia
3.kupunguza wabunge...
Napata walakini Kuwa Tume ya Warioba haikwenda Zanzibar!!Na kama ilikwenda haikufanya kazi iliyowapeleka!Na kama iliifanya basi haikuwawakilisha mawazo yao kwenye Rasimu hii!!
Kama kweli...
Kutokana na kutokuwa na uzoefu wa mfumo wa nchi kuwa serikali za zenye mamlaka ya ndani na serikali ya Muungayo yenye mamlaka ya juu na kimataifa, pamoja na shaka la namna yakupata nguvu za...
Tume ya Warioba imebeza na kupuuzia kurudisha mfumo wa Majimbo ikidai itajenga ukanda na ubaguzi. Halafu "magenius wetu" hawa wakaamua kupendekeza kuundwa kwa Serikali ya Tanganyika na ya...
wadau hili mnalionaje kama likiwepo kwenye katiba mpya?
Moja wapo ya matatizo yanayoikumba sekta ya elimu ni kutelekezwa na viongozi,watoto wao wanasoma shule za nje ya nchi au shule binafsi za...
Barazani kwa Ahmed Rajabu
Muundo wa Muungano bado hauridhishi
..
Ahmed Rajab
Toleo la 297
5 Jun 2013
..
JAJI mstaafu Joseph Warioba na Tume yake ya Mabadiliko ya Katiba wametamka na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.