Ni dhahiri Tume ya mabadiliko ya katiba inayoongwa na Jaji Joseph S.Warioba imefanya kazi kubwa ya kukusanya,kuyachambua na kuyatoa maoni ya wananchi kupitia rasimu ya katiba mpya...
Ndugu zangu,
Gazeti la Mwananchi leo Jumapili, mbali ya habari nyingine kemkem, libeba habari iliyonivutia kuisoma kwanza;" Dk Mahiga asema Katiba Mpya ni heshima"- ( Mwananchi, Jumapili, Juni 9...
Katiba mpya inamichakato miingi, huu nao wa kila chama kwenda mafichoni kuuchakato nina wasiwasi na kuuchakachua,
Hii katiba ni wananchi sio ya chama chochote, lkn ninamashaka makubwa na namna...
Ndugu zangu wana Jf naomba kuwasilisha hii mada kama mzalendo ktka taifa hili, kwa uoni wangu sioni mantiki ya hii rasimu hasa kipengele cha serikali ya shirikisho (serikali tatu) kwa sababu...
SAFARI YA KUELEKEA MAMLAKA KAMILI IMEPIGA HATUA KUBWA:
Na Ismail Jussa
Mamlaka ambayo tayari Zanzibar itakuwa imeyarejesha kwa kuondolewa kwenye Muungano kupitia Rasimu ilotangazwa leo ni...
Kama kuna mtu yeyote anayejua anisaidie; ni wapi katika Katiba ya sasa ambapo Rais au mtu yeyote yule amepewa madaraka ya kuanzisha mchakato wa kuandika Katiba Mpya? Ikumbukwe kuwa viongozi wote...
KUNA BAADHI YA VIONGOZI wanaona jambo la katiba ni lao wao na wanaweza kuwachagulia watanzania wanachotaka wao eti ndo sauti ya wananchi,Wanatoa kauli mbalimbali kwamba watawaambia wananchi...
Kutokana na rasimu ya katiba mpya ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuruhusu serikali tatu kwa maana ya serikari ya Tanzania bara, Serikali ya muungano na serikali ya mapinduzi ya Zanziba. Rasimu...
Wana JF,
Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema wanawachanganya watanzania kutokana na msimamo wao kwenye suala la Katiba ya nchi, mwanzo walitaka serikali tatu, Tume ya Katiba kwenye rasimu...
(3) Muundo, madaraka na mambo
mengine ya kiutendaji yahusuyo Serikali
yaTanzania Bara na Serikali ya Mapinduzi
ya Zanzibar yataainishwa katika Katiba za
Washirika wa Muungano.
Ina maana hizi...
Kukiwa na serikali 3 means kila bunge litakuwa na jengo lake kujadili mambo yake na hili la Dodoma kwa vyovyote lazima liwe la Tanganyika je la shirikisho litajengwa wapi? Maana la dodoma ni kubwa...
Swala la Serikali tatu limeanza kupigiwa kelele na baadhi ya watu has wakidai ni mzigo kwa taifa. Wengi wa hawa wanaonekana ni wanaccm. Amelisemea Sumaye, Leo Sita naye kalisemea. Swali je, hawa...
Ndugu wana JF,
Sijaelewa vema kuhusiana na mfumo wa serikali tatu uliopendekezwa kwenye rasim ya katiba mpya. Naomba kusaidiwa kwa haya yafuatayo:
1. Kama rasimu ikipitishwa, Nasi Watanganyika...
Na Maggid Mjengwa,
MABADILIKO makubwa yamefanyika katika nchi yetu kwa mujibu wa Rasimu ya Katiba Mpya iliyozinduliwa wiki hii.
Haya ni mabadiliko makubwa kuwahi kufanyika tangu mwaka 1977...
Kwa muujibu wa CD iliyonaswa msikiti wa idrisa na kuandikwa na gzt la tz daima inaonyesha kuwa sera za prof lipumba ni udini na unalenga kupendelea dini hivyo kama katiba itapita itaweka mwanya...
Huu muungano bado hatujaridhishwa nao, kwa maoni yetu tumependekeza muungano wa mkataba, kila upande wa muungano kuwe na mamlaka kamili ya kujiamulia mambo yake, hayo ndo maoni ambayo tulio...
Wabunge wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano, pamoja na mambo mengine..Wataka Umri wa mgombea uraisi upunguzwe tka miaka 40 hadi 35...Wataka Mawaziri wateuliwe nje ya wabunge...Uteuzi wa viongozi wa...
Rasimu ya katiba imeweka 'vizingiti' kwa watakao gombea nafasi fulani fulani kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka 2015.
Vizingiti hivyo ni 'elimu' na 'umri', hii inatokana na umuhimu wa elimu katika...
Kutokana na rasmu ya katiba ya muungano kuja na pendekezo la kuanzishwa serikari ya Tanzania bara na wazo hilo kuonekana kuungwa mkono na watu wengi sana na kuoneka kama limeshakubalika basi ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.