Habari Wadau.
Nmesoma hoja nyingi sana za wanaopinga serikali tatu na "to be honest they are very weak" kutokana na sababu zifuatazo:
1.Hoja ya gharama
Ukimsikiliza mwenyekiti wa tume...
Mjadala wa katiba mpya una mambo mengi yenye kufikirisha.
Muundo wa serikali tatu nao uangaliwe vizuri isije siku moja watu wakajuta!
Zanzibar wanapodai uwiano wa 50/50 kwenye madaraka na vyeo...
• Makundi ya urais yachochea maandamano kupinga serikali tatu
na Mwandishi wetu
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimeweka mkakati wa kuipinga rasimu ya Katiba mpya, hususan pendekezo la muundo...
Rasimu ya katiba mpya inaonekana kuitesa sana Ccm kwa kuhofia ndo mwiba kwao,wameahidi kutoipitisha kwa 100%.nadhan kwa katiba hi endapo vurugu itatokea basi ni ccm watakuwa ndo waanzilishi...
Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe amesema chama chake kinaunga mkono rasimu ya Katiba mpya iliyotolewa na Jaji Joseph Warioba.
Mwenyekiti huyo alikuwa akihutubia maelfu kwa maelfu ya wananchi...
Baraza la wanawake chadema(bawacha) limewataka watanzania kukataa serikali tatu kwani ni gharama kubwa kuiendesha, wakikaliliwa mbunge mariam msabaha na mbunge wa morogoro viti maalum wametaka...
Mzee Warioba, Nakuangalia mzee wangu ITV...
Mmmmmhhhhhh..........kaaaaaazi kweli kweli......itikadi ya vyama iendane na dira ya nchi......how do the Katiba enforce this? Freeman, Kinana...
Ni wakati wa CCM to provide leadership. Lazima mfumo wa sasa ubaki ili kuunusuru muungano. Mengine ni ukorofi tu! Dola inaweza kuwadhibiti wahuni wanaotaka kuvunja nchi. Ni kosa la uhaini...
Unitary system of governance inamazuri yake na mabaya yake lakini tuki balance the books federal system will do best kwamfano hakutakuwa na serekari tatu kila regions zita act kama states...
Wanajamvi nawaza tu hadharani huenda wakatokea wenye maono wakanisaidia: Nafanya some permutation ya marais wetu watatu
najua kuna wagombea huru/binafsi, ccm, chadema, cuf
tanganyika (binafsi)...
Hivi Katika Muungano tuliona nao sasa tukipunguza hayo mambo ya muungano na kuwa 7 kutoka kwenye 22+ ya sasa kama ilivyopendekezwa na tume ya Warioba na kubaki na Serikali mbili... Hii iko je...
Tanzania hatutapata tena "GOLDEN CHANCE" kama hii iliyotokea ya kupata katiba mpya na kuachana na hili "DUDU" linaloitwa MUUNGANO.
Kudai muungano usiwepo kwenye katiba ijayo 2014 kwa sasa siyo...
Nimesoma Rasimu ya Katiba Mpya- 2013 hasa katika vipengele vya sifa za atakayekuwa Rais, Makamu wa Rais, Waziri na Naibu waziri nikajiuliza nafasi ya Dr. Slaa, Mbowe, Mnyika na Sugu katika...
Wote tunafahamu kwamba, Katika kipindi cha miaka zaidi ya ishirini iliyopita chama cha Mapinduzi hakikuwahi kuwa na agenda ya kutengeneza katiba Mpya.
Lakini mara tu baada ya uchaguzi mkuu wa...
rasimu imetoka ikiwa na mapendekezo juu ya serikali 3 tu, hakuna njia nyingine ya kupinga zaidi ya kuikataa rasimu yote or kuunga mkono serikali tatu na kuziboresha zaidi i.e hizi serikali za...
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI: 09/06/2013 MAONI YA AWALI YA MWENYEKITI WA CUF KUHUSU RASIMU YA KATIBA MPYA UTANGULIZI; Kwanza naipongeza Tume ya Jaji Warioba kwa kazi kubwa waliofanya ya...
1. Serikali ya shirikisho - salim ahmed salim
2. Serikali ya tanganyika - dr. Mwakyembe / dr. Magufuli
3. Zanzibar - nawaachia wenyewe waseme
nawachieni wana jf mzungumze zaidi...
Ni huu mwenendo wa kuangalia maslahi ya watu binafsi na vyama vyao badala ya ku focus kwenye mustakabali wa nchi,utaona mtu anatoa povu kisa rasimu imemgusa pabaya,inahusu? .......mara oh kwenye...
Nimeisoma Rasimu ya Katiba, nimepata simtofahamu juu ya hasa Rasimu hii ni ya nchi gani.
Nasema hivyo kwa kuwa, Rasimu inayaongeleea mambo ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, huku ikisema ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.