Katika rasimu iliyozinduliwa Juni 03,2013 ili wananchi tuijadili na kutoa maoni kwa njia ya Mabaraza ya Katiba; kuna suala la Muundo wa serikali tatu. Mosi; nimejuiliza kwa nini Tume ilipendekeza...
Ukumbi na Nkrumah tarehe 21 juni 2013 saa 8:00 mchanampaka 12:00 jioni, muhubiri ni Prof. Issa Shivji wa Kigoda Cha Taaluma Cha Mwalimu Nyerere - Chuo Kikuu Cha Dar es salaam
Siasa za Tanzania zimekaa kisanii sana,kila mtu anayejiona ana uwezo wa kulaghai hujitafutia tiketi ya kuingia Ikulu ama Bungeni.Hakuna sheria yoyote kwa ajili ya hawa watu hasa inapotokea...
JAJI BOMANI AUNGANA NA WARIOBA KUTAKA SERIKALI TATU
Na Chalila Kibuda
SIKU moja baada ya Kamati Kuu (CC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kushindwa kutoa msimamo juu ya mapendekezo ya rasimu ya...
Chama tawala nchini Tanzania, CCM bado kinaonekana kuendeleleza sera yake ya kupinga muundo wa serikali tatu ambao hivi sasa unapendekezwa pia katika rasimu ya Katiba Mpya iliyowasilishwa mwanzoni...
Takribani wiki mbili sasa, tangu tume ya katiba, chini ya uenyekiti wa jaji mstaafu WARIOBA, watangaze rasimu ya kwanza ya katiba mpya.
Tume hii imekuja na mapendekezo kadhaa ambayo yanahitaji...
Ni dhahiri kuwa CCM imeparaganyika kutokana na rasimu ya katiba iliyotolewa na Warioba! CCM sasa wameadhimia kutumia mabaraza ya wilaya ambayo wana wajumbe wengi na mabaraza ya kitaasisi...
Toka Rasimu ya katiba itolewe kuna swali nimekuwa najiuliza sana.....''' Je ni kwa kiasi gani watanzania wamekuwa wakihamasihwa kuisoma ili waweze kuchangia vizuri matahalani kuikosoa au kushauri...
Tangu jana hapa Ofisi Ndogo za CCM,Lumumba kuna furaha. Furaha ya kichama inahusu sarakasi zilizoanzishwa nasi juu ya Rasimu ya Katiba na wengine kuziiga. Makada waandamizi wa chama hapa Lumumba...
Ni wazi wazanzibar hawakubali serikal 3, wanataka muungano wa mkataba. Warioba kila cku anasisitiza serikal tatu hata kabla ya mchakato wa katiba mpya akipewa support na sengondo mvungi. Jaman...
Mojawapo ya mambo yanalalamikiwa kwenye katiba ya sasa na sheria zake ni pamoja na swala la umiliki wa ardhi;
1. Swala la Raisi kuwa na mamlaka na ardhi yote
2. Swala la wageni kumiliki ardhi
3...
Tume ya warioba inajaribu kufurahisha Watanzania zaidi ya kutatua matatizo muhimu ya kiuchumi, kisiasa na hata kiutamaduni. Katiba inatakiwa kujibu swali mmoja tu ambalo ni " Je tutafanya nini ili...
Wababodi ktk pitapita zangu ktk wikipedia na page nyingine nimegundua kuwa Tanzania inaweza kuwa Tan kutoka Tanganyika na ~zania kutoka Azania .Azania ya zamani ambayo ilibeba visiwa vingi na...
Kufuatia kukamilika kwa Rasimu ya kwanza ya Katiba ya Muungano wa Tanzania, mambo kadhaa yanaendelea kujitokeza ambayo yanahitaji kutolewa ufafanuzi. Moja ambalo mimi naliona ni kwamba kama...
Wadau naombeni kwa waliotafiti kwanini kuna nakala mbili za rasimu ya katiba. Moja ni kopi halisi ya tume ingne haijulikani imetoka wapi je?? yaweza kuwa tume waliandaa kisha wakaitupilia mbali...
Kama rasimu ilivyopendekeza kutakuwa na wagombea binafsi kwa nafasi zote,
swali: nini kitanyika endapo watajitokeza wagombea 70 kwa nafasi ya urais na 70 kwa ubunge? je wataruhusiwa wote...
Wapendwa kwanza mimi ni new member hapa so naomba mnikaribishe.
Jaman mimi hli swala la serikali tatu mimi naona bdo complicated xana! Cjui kama litawezekana! Hebu 2ache ushabk, let us thnk it...
Mihimili mitatu ya dola inaingiliana katika rasimu ya katiba mpya.mfano Rais kuondolewa uwezo wa kufanya uteuzi wa watu anaoona wanafaa na badala yake yeye kupokea mapendekezo ni kumnyang'anya...
Nimepitia Rasimu nzima, sijaona popote ambapo swala la Afya limetajwa.
Access to quality health services is fundamental right. Mbona halijitokezi kwenye rasimu?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.