KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe

JF Prefixes:

Kwanza, binafsi sikubaliani na jina la Tanzania bara,jina napendekeza jina la Tanganyika kwa sababu Jina la Tanzania linatokana ja muunano wa Tanganyika na Zanzibar. Hinyo kama mnapendekeza...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Ibara inayohusiana na uhuru wa kuabudu, ina utata mkubwa. Utata huu, unasababishwa na upungufu wa tafsiri. Utata huo utazua mtafaruku mkubwa baina ya makundi ya kiimani na vyombo vya dola, pale...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Wawakilishi wa Baraza la wawakilishi Zanzibar wamedai kufahamishwa mipaka ya Zanzibar kabla ya kujadili Rasimu (Source-ITV Taarifa ya Habari) My take: 1.Je kwa madai haya Wazanzibari WANAJIANDAA...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Akihitimisha hoja zake katika kipindi cha this week in perspective kinachoongozwa na Adam Simbeye (TBC) leo usiku saa 4 tarehe 14/06/2013, Prof. Safari amesema kuna mambo mawili yanayosababisha...
0 Reactions
63 Replies
6K Views
Ndugu wana jf na wale wote wenye mapenzi mema na nchi hii. Napenda kutoa angalizo. Kwa kiasi kikubwa sana muungano umemomonyoka, na unazidi kuendelea kumomonyoka. Kufuatia rasimu mpya ya kaitba...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari wana JF,naombeni leo tuli discuss hili kwa kina na ikiwezekana tupieni refences duniani kokote ilikowahi kutokea NAWAZA TU: Kama sera ya maraisi watatu itatekelezeka na ikIwa raisi mkuu...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Wakubwa naomba kuelimishwa nini umuhimu wa kambi ya Upinzani kwenye vikao vya Bunge..Je ni halali bunge kuendelea na vikao wakati kambi ya upinzani ikiwa haipo bungeni?\ Je ni halali kwa spika wa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
kwa mwenye gari tajwa hapo juu ambalo lipo kwenye hali mzuri na ambaye yupo tayar kuuza ani text kwenye no. 0754833473 bajet ni 5m kwa rav 4 ni 7m. Ningependa magar ya kuanzia 1999 kwenda mbele
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Yawepo na haya kwenye katiba mpya bila kukosa!! ( 1 ) Raia mwema A kalala ni usiku, Wakatokea raia D na G wanagombana karibu na nyumba yake,mpaka mmoja akamuua mwenza wake,halafu muuaji akapotea...
0 Reactions
0 Replies
873 Views
Tanzania tumebahatika kuwa na amani kwa mda mrefu ingawa kwa sasa viashiria vibaya vinaanza kuibuka. mambo ambayo yamekuwa yakivunja amani katika nchi nyingi ni pamoja na siasa za nchi, rasilimali...
0 Reactions
0 Replies
870 Views
Muundo wa Muungano 57.-(1) Jamhuri ya Muungano itakuwa na muundo wa shirikisho lenye serikali tatu ambazo ni: (a) Serikali ya...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
HABARI NDUGU ZANGU WAPENDA MAENDELEO YA NCHI HII, BINAFSI HUWA NAPENDEZWA SANA HASA NINAPOSHUHUDIA VIJANA NA WATANZANIA KWA UJUMLA WANAPOPATA MDA WA KUZUNGUMZIA SIASA YA NCHI YAO, NI LAZIMA...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
"Kila nikiyaangalia haya maoni kwa kweli sioni tofauti yake na tunachokipigania sisi wana UAMSHO!! hapa nasema alhamdulillah! je upo umuhimu wa muungano wa tanganyika na zanzibar hapo?, si na...
2 Reactions
33 Replies
4K Views
Muungano nikama Koti unaweza kulivua ukiona Joto asema Baba wa Taifa la Watu wa Zanzibar. Lula wa Ndali Mwananzela Toleo la 250 18 Jul 2012 TUMEFIKA mahali na wakati ambapo...
2 Reactions
44 Replies
5K Views
Maoni ya Rasimu ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Uhuru na haki ya mazingira safi na salama: Ibara ya 40 (2) · Haki ya kuishi katika mazingira safi, salama na ya kiafya...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
BONYEZA HAPA KUPATA NAKALA YAKO KAMA vile imeshindwa kusoma alama za nyakati, serikali imeamua kuchakachua mchakato wa marekebisho ya katiba mpya kwa kuandaa muswada ambao unapinga yote...
2 Reactions
225 Replies
49K Views
ni declare interest mimi ni mjumbe wa baraza la katiba..according kwa tume ya ndugu warioba kulingana na kalenda yake mabaraza yanaanza kukaa kuanzia tarahe 10 mwezi huu ambayo ni kesho,na kuanza...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kwa muundo wa katiba mpya ijayo serikali yoyote legelege either iwe ya chadema au ccm au chama chochote hatuwezi kuivumilia kama ccm walivyoprove big failure lakini bado wapo madakani ila baada ya...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mabadiliko katika orodha ya mambo ya Muungano yamekuwa yakifanyika kwa kuzingatia Katibana sheria kwa madhumuni ya kuimarisha Muungano wa Tanganyika na Zanzibar. Hayo yalisemwa jana na Waziri wa...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
1. Naomba Tume ya warioba iongezee maneno hapo kwenye Uhuru wa Kwenda Utakako bila bughudha, yaani iongelee kwa undani uhuru wa abiria. Hapa nchini ni tabia iliyojengekeka kwa abiria kutokuwa na...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Back
Top Bottom