Jeshi la Polisi, Usalama wa Taifa, Benki Kuu, vyama vya siasa na Uhamiaji ni miongoni mwa mambo yapendekezwa kuondolewa katika Rasimu ya Katiba mpya.
Mapendekezo hayo yamo katika kijitabu cha...
Inaelekea draft ya katiba imetupotosha na kusahau jambo la msingi kuliko yote. Moja ya mambo ambayo yalifanya vyama vya upinzani kutaka kugomea process ya katiba mpya ni kubadilishwa kwa sheria...
Ndugu zangu, tukiwa tunajiandaa na serikali tatu, nashauri watanganyika tuanze kujianda na yafuatayo:-
1. Tuwaambie kabisa wapenzi wa muungano huu, waanze kuanda ikulu yao atakayeishi rais...
Nimejiuliza sana kabla yakuja hapa jf. Hawa ccm ni kina nani? Hadi wanataka kutuharibia katiba. Tume imezunguka nchi nzima imetumia pesa yetu nyingi. Imekusanya maoni ya wananchi wa tanzania...
:mad:Sasa ni wazi, CC ya CCM imeamua kuendeleza ubabe kwa kupinga uwezekano wa kuanzishwa serikali ya Tanganyika, Nilidhani wameridhia hiyo hoja maana Rasimu ilitakiwa iwe imepitiwa na wakulu na...
Kila nikiungalia muungano mwenzenu sipati jibu, kwa mfano Muungano unapingwa sana na Wazanzibar kuliko Watanganyika, lapili ni kuwa Viongozi wanaung'ang'ania sana! Kwa nini muungano uvunjike? Na...
Kile kipengele cha kutaka kila jimbo kuwe na mwanamke,siungi mkono,kigezo kiwe uwezo sio JINSI,mambo Jinsia katika nafasi za ubunge sioni,wakitaka waweke katika makamu wa Rais au Mawaziri
Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara), Philip Mangula
MWELEKEO wa Chama cha Mapinduzi (CCM) katika mabadiliko ya muundo mpya wa Serikali ya Muungano, ni wa kuwa na Serikali moja, yenye Rais mmoja...
Ndugu zangu,
Mimi naamini, kuwa Mfumo wa Serikali Tatu hautavunja Muungano, yumkini utauimarisha. Kama kweli tuna dhamira ya dhati ya kutoka kwenye tope la kero za Muungano tulilonasa, basi...
Ndugu wanajamvi napenda kushirikiana na nyinyi kwenye hili suala la katiba mpya, kwa jinsi ninavyoona hawa CCM wanavyolazimisha kuhodhi mchakato wa katiba mpya ambayo haikuwa kwenye ilani yao...
Katika waandishi wa habari/makala mzee huyu siwezi kulala bila kumaliza makala yake. Tatizo la baadhi ya sisi Watanzania ni WAVIVU mno kusoma ndio maana tunabishana kuhusu muundo wa muungano wetu...
Wana JF.. Salam..
Kwanza natoa pole kwa wana JF woote, wanaoumiza vichwa humu kuwaelimisha wafia chama CCM..
Nije kwenye MADA.
Kuna jambo ambalo limekua linapotoshwa na CCM kuhusu suala la...
Kamati kuu imesema ccm haitaki muundo wa serikali tatu bali mbili hayo yamesemwa kwenye kikao kule dodoma hivyo katiba shakani kupita kwani ccm itakua na wabunge wengi katika bunge la katiba...
Dodoma. Kikao cha Kamati Kuu ya CCM, kimemalizika mjini Dodoma huku kukiwa na taarifa kuwa chama hicho kimeweka msimamo wa kutaka kuwepo kwa mfumo wa Serikali mbili katika Katiba ya Jamhuri ya...
Rasimu ya Katiba Mpya inaendelea kuibua mambo na hisia mpya. Safari hii aliyevunja ukimya ni Mhadhiri mstaafu na mwanasheria maarufu nchini, Profesa Isaa Shivji.
Profesa Shivji anazungumzia...
Nguli wa sheria afrika Prof. Issa Shivji amesema kuunda serikali tatu hapa tz ni kuvunja muungano. Amesema si wakati muafaka sasa kulumbana kuhusu idadi ya serikali bali tulumbane kuhusu maendeleo...
Endapo rasimu ya katiba mpya itapitishwa na wananchi na hivyo kuwepo kwa serikali tatu basi kitakachoiua serikali ya muungano ni rasilimali fedha!
Bajeti ya Tanzania bara ni takribani trilioni 16...
Monday, June 24, 2013
MWENYEKITI UVCCM TAIFA

Mwenyekiti wa UVCCM Taifa, Sadifa Juma Hamisi (katikati) akiwa na mwenyekiti wa UVCCM kilimanjaro, Fredrick Mushi (kulia) na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.