I hope Mods hawataunganisha na Nyingine maana hapa ninataka kuonyesha hakuna Mantiki ya kuendelea na Muungano, hasa baada ya Ujio wa rasimu yetu.
61.-
Kwa mujibu wa Katiba hii, Washirika wa...
Mbinu za ccm za kuharibu mchakato wa upatikanaji wa katiba mpyaa zimeanza kujidhihirishaa wazi.uku wilaya ya moshi vijijini wamewaita wajumbe wote wa mabaraza ya katiba etii ambao ni wanachama wa...
Other things Remain Constant,
Vijana na watoto wetu ndio tunategemewa kuitumia zaidi katiba mpya. Mabaraza yanaanza, kama wadau nawaomba TUISOME RASIMU, TUTAFAKARI, TUJADILI, TUTOE MAONI KWA...
Sio sahihi kwa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuja kabla ya uwepo kwa ukamilifu – kwa Katiba za mataifa mawili yanayounda Jamhuri ya Muungano wa Tanzania – yani Jamhuri ya...
Tumeona katika sehemu ya kwanzakwamba hofu walizo nazo wenzetu kuhusu uwepo wa Serikali tatu ni zakibinafsi na kimaslahi zaidi na hazina mashiko wala ithibati kwa kuwa jambo lenyewe halijaanza na...
Kikao cha kamati kuu ya CCM chini ya mwenyekiti wake rais Jakaya Kikwete kimekaa kwa siri kwa siku mbili mjini Dodoma na kumaliza kikao chake jana na kutoa maadhimio yafuatayo kuhusu rasimu ya...
Prof Ibrahim Lipumba amenukuliwa na vyombo vya habari (Mwananchi) akilalamikia rasimu ya katiba kwamba inaiminya Zanzibar kwa kuwapatia nafasi 20 za wabunge wa bunge la muungano huku Tanganyika...
Leo nimesoma jibu la Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Pereila Ame Silima kwa swali la Mbunge wa Mheza Helbert Mtangi, kuhusu suala la uraia wa nchi mbili, nikaishia kuisikitikia sana...
Amani iwe kwenu,
Wana jf leo nikiwa kanisa katoliki lilipo huku njiro katika misa ya kwanza tumetangaziwa kwamba wasomi wa kanisa katoliki wameipitia na kuichambua kwa umakini rasimu ya kwanza ya...
Nimekuwa na dhamira ya kugombea ubunge tangu nikiwa kidato cha tano,NI takribani miaka Saba(7), Nilibweteka na kufikiri kuwa ninaweza jiandaa na maisha,LA HA SHA,maisha NI haya...
huyu mzee shivji ameichambua rasimu ya katiba leo kuhusu muundo wa serikali tatu na mengine mengi...huyu mzee angekuwa kwenye tume ya katiba angetoa ushauri mzuri na kwa upande mwingine uwenda...
Na Miza Kona-Maelezo Zanzibar
Serikali ya mapinduzi ya Zanzibar imeendelea na msimamo wake wa kuwahahakikishia Wazanzibari kuwa itasimamia na kuyatekeleza matakwa yao watayokubaliana katika...
Ndugu wana jamii forum habari nlizonazo na za kuaminika ni kuwa baraza la katiba Halmashari ya Moshi linaanza kukutana rasmi tarehe 20 mpaka 22 mwezi huu wa July 2013 katika ukumbi wa Umoja...
Mwenzenu nasikitishwa na tume hii ya katiba inayoongozwa na mzee wetu walioba kukusanya maoni kwa watanzania juu ya katiba mpya huku watanzania wengi wakiwa hawaijui hata ya zamani inasemaje? kwa...
Kama hukubahatika kumsikiliza Prof Shivji katika muhadhara alioutoa pale UDSM kuhusu katiba Mpya na uchambuzi wake Mfuatilie sasa kupitia ITV
Anazungumzia
Mtazamo wake (Perspective)
Udhani wake...
Ndugu wanajamii, mimi naona Jaji Warioba na tume yake wametuchanganya zaidi kuliko kutuongoza.
Kwa kupendekeza tu serikali TATU wameleta balaa kubwa kuliko suruhu.
Kwanza hii katiba yao ni ya...
Warioba anazungumza kana kwamba msimamo wake na mawazo yake ndiyo sahihi na kwenda kinyume nayo ni hatari kwa taifa. Wamependekeza serikali tatu na inaonekana wamependekeza kwa sababu tu wanataka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.