SPIKA wa Bunge, Anne Makinda, amesema kuna hatari ya uchaguzi wa mwaka 2015 kwa Tanzania Bara kutofanyika ikiwa mapendekezo ya mabadiliko ya Katiba yaliyopendekezwa na Tume ya Katiba yatapita kama...
INGAWA si kawaida, lakini naomba nianze makala yangu na hitimisho, badala ya utangulizi. Kwamba pendekezo la mfumo wa Muungano wenye Serikali tatu (Shirikisho), la Tume ya Marekebisho ya Katiba...
Mwendelezo wa Uchambuzi wa Rasimu ya Katiba.
SEHEMU YA SITA
MUUNDO WA SERIKALI YA MUUNGANO
Ibara ya 57(1a-c) na (2a-c).Inazungumzia kuwa Tanzania kutakuwa na serikali tatu(3)yaani ile ya Jamhuri...
SURA YA NNE Ibara ya 39 kifungu kidogo cha 3 yaani ib 39.(3).Inatamka kuwa "Raia wa Jamhuri Muungano hatapelekwa katika nchi ya nje yoyote kujibu mashtaka au kufanyiwa mahojiano ya aina yoyote...
Rasimu Ibara ya 57(1) Muundo wa Jamhuri ya Muungano inasema kama ifuatavyo
'' (1) Jamhuri ya muungano itakuwa na muundo wa Serikali tatu ambazo ni;
(a) Serikali ya jamhuri ya muungano wa Tanzania...
Ndugu wazalendo wananchi wa Tanzania, tumelalamika sana kuhusu mapungufu na uchakachuaji ambao umejitokeza kwenye uundaji wa mabaraza ya katiba kiasi cha kuonesha kukosa imani na mabaraza hayo...
Msimamo wetu kuhusu rasimu ya katiba mpya na mustakabali wa taifa utatolewa leo Jumamosi ya Julai 13, 2013 kwenye mkutano wa hadhara katika viwanja vya Shule ya Ukombozi-Manzese kuanzia saa 8...
na Mwandishi wetu
RAIS Jakaya Kikwete amemgeuka Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba, kwa kuridhia azimio la Chama Cha Mapinduzi (CCM), kutaka uwepo muundo...
Kwa watanganyika wote ni muda muafaka kuanza mchakato wa KATIBA RASMI YA NCHI -REPUBLIC OF TANGANYIKA
Michezo hii ya wanasiasa wanaofaidika kwa Jasho ya Wavuja Jasho wa Tanganyika na...
Pendekezo langu la msingi ni kwamba, kura ya maoni isubiri kukamilishwa kwa rasimu ya katiba ya Tanzania Bara na zote zikajadiliwa na wananchi kwa pamoja. Sina pingamizi kuwa Wajumbe wa Tume wa...
Mbona leo anapinga Zanzibar kujitawala wakati yeye mwaka 2009 aliandika kitabu na kumtetea sana Jumbe kuwa aliondolewa kwa sababu ya hoja ya serikli tatu.
Mbona Shivji na Babu walienda Eritrea ...
Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba ametangaza tarehe rasmi ya kuanza kwa mikutano ya Mabaraza ya Katiba ya wilaya, huku akiwaonya watu wa kada mbalimbali vikiwemo...
Chadema waweka msimamo serikali tatu, mabomu Arusha
Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), imekutana kwa dharura kujadili muundo wa serikali tatu na hatma ya Muungano wa...
Ni kauli yake Dr Shein Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi katika mkutano uliofanyika jana Kibanda maiti akiongea na wanachama pamoja na wapenzi wa chama hicho CCM kwamba...
Katika kauli inayoekelea kumlenga mtangulizi wake katika Ikulu ya Zanzibar, Rais Ali Mohamed Shein, amesema hawezi kumzunguka Rais wa Jamhuri ya Muungano, Jakaya Kikwete kwa kupigia debe Muungano...
(1) kutakuwa na bunge la jamhuri ya muungano,
(2)wajumbe WA bunge watakuwa WA aina zifuatazo:
a)wabunge waliochaguliwa kuwakilisha majimbo ya uchaguzi
b)wabunge watano watakaoteuliwa na raisi...
Chama Cha Mapinduzi kimedhihirisha mikakati yake haramu ya kuhakikisha katiba mpya itabeba MATAKWA yote ya NEC.. Jioni ya leo kuanzia saa 9-11 jioni kulikuwa na kikao kikuu cha wilaya/halmashauri...
HIVI SASA, Ni matangazo ya moja kwa moja (live) kutoka ukumbi wa mikutano wa karimjee yakirushwa na TBC1. mgeni rasmi ni rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania JAKAYA MRISHO KIKWETE... KATIBA...
BAADA ya Tume ya Mabadiliko ya Katiba (CRC) kutangaza rasimu ya mapendekezo yake Juni 3, mwaka huu wadau mbali mbali wanaendelea kuipongeza na kuikosoa Tume hiyo na Brigedia Ramadhan Haji Faki...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.