Mshangao mwingine niliouona katika rasimu hii ya katiba ni misingi ya kijamaa. Misingi inaonekana katika masharti ya viongozi kama wabunge kumiliki mali. Leongo na vipengele hivyo ni kuwafanya...
TANZANIA NA RASIMU YA KATIBA MPYA 2013
Si mbaya kwa watanzania kuwa na maamuzi makubwa ndani ya katiba wanayotaka iitawale nchi kwa sasa.
Ni jambo jema na wengi tumeona Rasimu na kwa mtizamo...
kutokana na rais wa muungano kusimamia nchi mbili nazo nitanganyika na zanzibar.Je tutalazimika kuwa na ikulu mbili?maana nadhani kuwa na ikulu sehemu moja ya muungano sio haki.
angalizo: sisi...
Baada ya kupitia kwa muda mrefu rasimu hii , nimegundua kuwa:
Rasimu ina makosa mengi sana ya kimpangilio kwa maana ya kuwa mambo mengi sana yamechanganywa changanywa katika sura tofauti tofauti...
Kuna vyama vingi wengine huvitambua kama vikundi kama POLISALIO, PKK e.t.c. Ambavyo chimbuko lake ni madai yao ya kuwa wamemezwa au wanaonewa au Wanatawaliwa kimabavu. Suala kama hili si mssamiati...
Naomba msaada kwenye RED hapo. Inamaanisha nini swala kuwa sheria na sio kwenye katiba. Najua hakuna stupid question. Na watu wenye uraia wa Tanzania wa kuzaliwa wakiwa na uraia wa nchi nyingine...
Kwanza, ikiwa umeisoma rasimu YOTE (na siyo sehemu, wala kurukaruka), naomba uanze kwa kusema (andika) NDIYO. Baada ya hapo jaribu kueleza unaionaje.
Tatizo ni kwamba kuna uwezekano mkubwa kwamba...
NCHI TATU TOFAUTI ZINAONGOZWA NA CHAMA KIMOJA CHA SIASA!...Hii inakaaje?
Tanganyika (Tanzania Barani)
Zanzibar (Tanzania Visiwani)
Tanzania Jamhuri (Shirkisho).............kama atumdangi...
Katika Rasimu ya Katiba iliyozinduliwa Juni 03, 2013 Karimjee, Ibara ya kwanza inautangaza Muungano wa Tanzania kuwa Shirikisho la nchi mbili zilizo na mamlaka zake; ambazo moja ina katiba yake na...
KWAMBA, Katiba ya Tanganyika itawezaje
kutengenezwa ndani ya mwaka mmoja (1) mara
baada ya Katiba ya Shirikisho itakayoainisha uwepo
wa serikali tatu (3) kupitishwa 26 Aprili, 2014 halafu...
Kama Tume yako imeandaa Rasimu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wenye kujumuisha zilizokuwa nchi huru,tena Jamhuri, za Tanganyika na Zanzibar,iweje sisi tuitwe Tanzania Bara na wenzetu wabakie...
Najaribu fikiri ni vipi Katiba inaweza kuweka Mahakama ya kadhi bila ,kuicha ktk lawama ambazo serikali na Bakwata wanazipata Leo?
Pamoja na ukweli kuwa hata wakristu nao wanaweza weka Amri 10...
Nimeipitia rasimu ya katiba, haya maisha yalivyo magumu tukiongeza na rais wa tatu itakuaje, maana kuhudumia marais watatu wenye mawaziri kumi natano manaibu waziri 15 makatibu wakuu ,watu wa...
Nanukuu 'Mtumishi wa umma aliye katika ajira ya kudumu hataruhusiwa kuingia katika ajira nyingine ya malipo ya mshahara'.
Ibara hii inaweza kuwa nzuri sana kwa kuwa itajenga mazingira ya watu...
SURA YA NNE
HAKI ZA BINADAMU, WAJIBU WA RAIA NA MAMLAKA ZA NCHI SEHEMU YA KWANZA
HAKI ZA BINADAMU
....
"(5) Ni marufuku kwa mtu, kikundi au taasisi ya dini kutumia uhuru
wa kutangaza dini kwa...
Watanzania tuisome rasimu hii ili tupate katiba safi itakayoleta mwanga mpya wa taifa letu.
Wajumbe wa mabaraza ya katiba pia mtutendee haki.
Wana jf kazi kwetu.​
MFANO MADARAKA YA UTEUZI BILA KUSHIRIKISHA BUNGE
"""""""""MADARAKA YA RAIS
Ndugu Wananchi,
Tume inapendekeza kwamba, Rais abaki na madaraka ya uteuzi wa viongozi wa ngazi za juu. Hata...
Kwa upande wangu nina wasiwasi mkubwa juu ya kuwepo uchaguzi mkuu 2015.kwa sababu zifuatazo:
1.mchakato wa katiba mpya bado na nchi haiwezi kuingia ktk uchaguzi bila katiba.
2.Kama tutafanikiwa...