UTANGULIZI
Sisi watanzania tunakiri kwa mamlaka ya mwenyezi muumba wa viumbe wote;
tuna waheshimu tunawathamini na kuwakumbuka kwa ujasiri wao, Ndugu zetu ambao wamejitahidi kuleta uhuru haki na...
Huu ni mtazamo wangu binafsi
Haya ni mambo muhimu ya kuzingatia wakati wa kuunda katiba mpya
TANZANIA SIO TAIFA LA DINI YOYOTE
Tanzania haitumii Quruani wala Biblia kufanya maamuzi kwa...
Nimefuatilia yanayoendelea Lindi na Mtwara na hoja za Serikali pamoja na wadau mbalimbali nikagundua serikali inataka kupingana na ukweli tu bila sababu. Nimeshindwa kuelewa maana ya kauli ya...
Wanafunzi wakitanzania wamekosa fursa yakueleza fikra zao katika serikali ya jamhuri ya muungano wa Tanzania kutokana na kutokuwepo kwa mwakilishi wa moja kwa moja bungeni. Nadhani ingekuwa jambo...
Kwa kuwa sasa tunaelekea kutoa suala la mafuta na gesi katika orodha ya mambo ya muungano, NI DHAMBI KUBWA NA UTAPELI PAMOJA NA UNYONYAJI KAMA TUTARUHUSU SUALA LA ARDHI LIENDELEE KUWA LA MUUNGANO...
Bado nawaza!
Watanzania watazidi kurubuniwa na sisi wachache mpaka lini?
Hayaa..
Huku kwenye chama tawala tunapeana moyo sana!!
Tunaamini kabisa watanzania watakubali kikatiba tuwe na...
KWA WANAO FAHAMU MH.JAJI JOEPH WARIOBA WAKISIMULIA HISTORIA YAKE YA KUONGOZA WATAKWAMBIA NI TU MAKINI NA MWENYE UTASHI BINAFSI KATIKA KUFANYA MAAMUZI HASA YENYE MASLAHI KWA UMMA; BINAFSI...
Tunahofia nini kurudia uchaguzi wa mabaraza?
TANZANIA ipo kwenye mchakato wa kupata Katiba mpya inayotarajiwa kuwa suluhu ya upungufu wa Katiba ya sasa iliyotuongoza kwa miaka 51 baada ya...
Katika huu mchakato wa katiba mpya kuna mambo hatuyaelewi kabisa imekuwa ni kama desturi wanakuwa kimya kwa mda flani halafu wanakuja kushtukiza jambo na kwa nilivyoona katika mchakato huu...
wadau napendekeza katiba mpya itupe haki sisi watumishi wa serikali tunaoipenda CDM fursa ya kugombea vyeo vya kisiasa kama udiwani na ubunge bila kulazimika kuacha kazi ....wapenda mabadiliko...
Edson Kamukara
CCM haina dhamira na katiba mpya
NAJUA ni maeno ya kuudhi, lakini sina budi kuyasema kuwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) hakina dhamira ya dhati kuwapatia...
Ni vema katiba yetu mpya izingatie Mifumo ya Azimio la Arusha hasa Kipengele cha KUTAIFISHA MALI KUTOKA KWA WATU WASIOWAAMINIFU AMBAO WAMEJILIMBIKIZIA MALI NYINGI ISIVYO HALALI(illegaly Obtained...
Nina maswali yafuatayo kuhusu hadhi au wadhifa wa baba a Taifal
1.Je,wadhifa huu uko katika katiba ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania?
2.Kama haupo sababu ni nini au ni wadhifa usiostahili...
Ndugu wana JF, Nimekuwa nikifuatilia kuhusu mchakato mzima wa upatikanaji wa katiba yetu mpya na sasa tumefikia kwenye hatua ya uundwaji wa mabaraza ya katiba ya kata,.Hapa ndipo napoomba msaada...
inasikitisha sana ila ndio sms zinazosambazwa kwenye mitandao ya simu kuwa shambulizi la leo lililenga kuwapa onyo kali wakristo hususani wakatoliki kutoshiriki katika kura ya maoni ya katiba mpya...
KASORO KWENYE MCHAKATO WA KATIBA: JAJI WARIOBA ATUELEZE UHALALI WA MABARAZA YA KATIBA YALIYOCHAGULIWA
Mwenyekiti wa Tume ya Katiba, Jaji Warioba ametoa tamko lenye utata mkubwa kuhusu uamuzi wa...
Najipanga kwenda kujiunga na jukwaa la katiba katika kata yangu lakini sijajua vizuri kabla ya majadiliano itakuwaje.
-Je tutapewa hiyo rasimu kwanza tusome au nini kukusanya mawazo mapya kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.