KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe

JF Prefixes:

Hainiingii akilini wanaccm bungeni kukataa ukweli usiopingika,huu mchakato hauna mashiko na wanachi wa kawaida tumeshalijua na sasa wajipange kwani hatuko tayari kwa hili na linaongeza nguvu kwa...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Watanzania tumekuwa watu wa malumbano na taratibu ambazo haziishi! Katiba imegeuka kuwa drama kubwa wakati kila mtu akijua ni kitu gani kinahitajika kufanywa. Je Katiba mpya ya Kenya inakasoro...
0 Reactions
1 Replies
855 Views
JAMANI, MAJAJI watajwe kwenye katiba mpya kwamba wachaguliwe, ili kuwa na independence of judicially nzuri na pia kuwe na discouragement ya rushwa kuliko ilivyo sasa. pia tutapata majaji wenye...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wanajamvi siku 2 sasa zimepita toka Mwenyekiti wa tume ya mabadiliko ya Katiba atoe tamko mbele ya waandishi wa habari na akisisitiza kauli yenye utata na giza nzito ya kwamba Tume yake itafanya...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Tamko la mwenyekiti wa tume huru ya uundaji wa katiba mpya nchini Tanzania mheshimiwa jaji joseph Warioba ni kuangalia kwa makini sana, katika kujibu hoja mbali mabli za wadau juu ya mashaka na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
1) Bado hakuna MWAfaka wa kitaifa kuhusu mambo muhimu kama MUUNGANO, madaraka ya RAIS nk na iwapo KATIBA itakuja itasababisha mgawanyiko zaidi katika jamii na kuleta utengano --- muda zaidi...
0 Reactions
0 Replies
927 Views
Tunataka katiba mpya itakayookoa pesa za wananchi kutowahudumia wastaafu mpaka kufa kwao na badala yake wapewe pension maalum kwa wakati mmoja pindi wanapostaafu, kama jinsi ilivyo kwa wabunge...
0 Reactions
0 Replies
999 Views
Iwekwe katiba kuwa rais au kiongoz yeyote anashtakiwa kama anamakosa na yeyote anaye sadikika kala rushwa kunyongwa au kufungwa maisha
0 Reactions
0 Replies
889 Views
Nimependa hii ya Rais kupendekeza majina ya Mawaziri then kufanyiwa uchunguzi na Bunge, wasiofaa kutupwa, hii inazuia Rais kuwaweka shangazi zake na wapenzi wake,.... Je tutafika huko?
0 Reactions
0 Replies
830 Views
Tume ya mabadiliko ya katiba inawaomba wananchi wote kupitia mwongozo huu uliotolewa na Tume na kuwasilisha maoni/Mapendekezo yao katika kipindi cha wiki mbili (2) baada ya tarehe ya kutolewa...
1 Reactions
12 Replies
9K Views
Kwa kweli viongozi wetu saivi ni mzigo, katiba iruhusu wananchi kuwapigia kura ya kutokuwa na imani endapo tutakusanya saini za watu zakutosha. It is too much rais, waziri mkuu pamoja na baraza la...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wanajamvi Wageni waalikwa Mwanaharakati Marcus na Ndugu Rodrick wa haki za binadamu. Wameonyesha wasiwasi wao kwa wanaongoza bunge kwani wamefafanua kanuni ziko wazi na kwanini wabunge...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Ningependa kujua msimamo wa chadema juu ya wajumbe wa mabaraza ya katiba nchini. Nimesikia kuwa mabaraza haya ya katiba wilayani yataundwa na madiwani wa majimbo husika + wajumbe wengine wa...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Hivi CCM na serikali yao wametumia katiba ipi kupata cheo cha makamu wa kwanza wa rais? Katika katiba ya Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Ibara ya 47(1) inasema "Kutakuwa na makamu wa Rais ambaye...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habarini wana jf! Taarifa za uhakika zilizopatikana toka maeneo mengi nchini hasa vijijini wananchi wengi hawajaelimisha au kujulishwa kwa uwazi juu ya nafasi zinazoombwa katika makundi mbalimbali...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
tukio lilitokea ijumaa, taarifa wametoa jumatatu tena mabatini wakati pale karibu na ofisi yao kuna polisi maeneo ya gym kana. Cha ajabu wamepeleka barua kwa kinyela yenye rb ambayo ni ya siku ya...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHadema), kimesema hakitashiriki katika mchakato wa Katiba Mpya endapo serikali haitapeleka bungeni Sheria ya Mabadiliko ya Katiba, ili kufuta vifungu mbalimbali...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Ndugu wana JR nimeona mnisaidie kuteguwa kitendawili hiki cha aina gani ya wajumbe wa kamati ya maendeleo ya kata washiriki katika kuchagua mabaraza ya katiba ya wilaya kwa sababu suala la katiba...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mchakato wa katiba mpya umeingia doa baada ya udini, itikadi za siasa kutawala. Nimejaribu kujiuliza maswali mengi kuhusu utaratibu mzima wa kutoa maoni, kuunda mabaraza na hatimaye bunge la...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Katika mchakato unaoendelea wa uteuzi wa wajumbe wa kamati ya kata ya katiba mpya, tumehamasishwa vya kutosha, na bahati nzuri au mbaya tumechaguliwa katika ngazi za Vijiji kuwa miongoni mwa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Back
Top Bottom