Wana JF,
Nadhani bila shaka mwaka 2016 kutakuwa na Wabunge wengi sana pale Mjengoni watakao ingia kwa tiketi hii ya " Mgombea Binafsi " bila shakaaaa !
Wale wooote watakaozinguliwa na ile...
Wadau, Rasimu ya Katiba mpya ndio imetoka. Binafsi sijaipata ila nimefuatilia kwenye vyombo mbali mbali vya habari na pamoja na kazi nzuri waliyofanya kina Warioba lakini bado kuna mapungufu...
​
IDADI YA MAWAZIRI
Inapendekezwa Rais aunde Serikali ndogo iliyo na Mawaziri wasiozidi kumi na tano na mawaziri hao wasiwe wabunge. Mawaziri hawatahudhuria vikao vya Bunge isipokuwa...
Ndugu wanaJF, Nimeipitia Rasimu ya Katiba mpya kwa haraka haraka na nikagundua kitu kimoja muhimu sana kinakosekana. Rasimu ya Katiba katika utangulizi wake imeshindwa kumtambua muumba wa ardhi...
Habari zenu wa jukwaa, kutokana na matatizo yanayoendelea ndani ya nchi yetu, mimi kwa maoni yangu naona bora katiba mpya izuie kabisa viongozi wa dini kujiingiza kwenye siasa au kushiriki mambo...
1.Kila raia wa Tanzania ana haki ya kupata mkopo wa Elimu bila ubaguzi wala kugawa makundi ya aina yoyote,pasiwe na priority na non priority kwenye masomo na ugawaji wa mikopo,kama masomo fulani...
Wakuu kwanza niipongeze tume kwa kuja na hii rasimu maana tumepata pa kuanzia sasa. Wajumbe wa tume ni wanadamu kwa hiyo mapungufu yanaweza kuwepo japo naamini bado kuna nafasi za marekebisho...
UCHAMBUZI WANGU KUHUSU HOTUBA YA RASIMU YA KATIBA.
1.tanganyika sasa ipo ila hatima yake haipo
2.tume inaposema hili na lile si la muungano,KWANI ILITUMWA KWENDA KUTENGEZA KATIBA YA MUUNGANO NA...
alichokuwa anakisoma makamu wa raisi kiliandaliwa lini, mbona kama walijua kila kitu kilichokuwemo kwenye rasimu. nisaidieni jamani maana alisema anawakilisha aliyomwagiza rais.
Kati ya mambo mengi yaliyoelezwa ni pamoja na 1. IDADI YA MAWAZIRI WASIOZIDI 15. 2. TANZANIA BARA KUWA NAMAJIMBO YA UCHAGUZI 25 TU kila JIMBO WABUNGE (2)WAWLI. 3. BUNGE LA MUUNGANO LIWE NA WABUNGE...
Wadau aliye na softcopy ya rasimu ya katiba mpya hebu aitupie tuisome wote hapa. Nmefungua website ya tume mpaka sasa hawajaiweka sasa nashindwa kuelewa kwanini mpaka sasa bado hawajaiweka.
Tume ya Katiba inayoongozwa na Jaji Joseph Warioba inatarajiwa kutoa Rasimu ya Katiba kuanzia kesho Jumatatu.
Taarifa za uhakika kutoka ndani ya tume hiyo zinasema wajumbe wa tume hiyo wameamua...
Katika Salaam za kukaribishamwaka mpya wa 2013, Rais wetu Mh. Jakaya Mrisho Kikwete alitoa taarifa yamaendeleo ya uundwaji wa Katiba Mpya. Katika maelezo yake alionyesha kuwaifikapo Novemba 2013...
Naomba kuwakilisha ni mtazamo wangu tu kimaono,nimefikia hatua hiyo kutokana na harakati za wanzanzibar mbalimbali mara tu tangia huu muungànò mwaka 1964 kulalamika kuwa wanaonewa na kuanza kuunda...
Watanzania wenzangu hebu tutafakari hili pamoja. Hoja yangu ni kuwa bunge letu kama chombo kilichoainishwa katika katiba yetu kama muhimili wa wananchi wenye dhamana ya kusimamia na kuishauri...
Napenda nitoe maoni yangu hapa na tujadili
1.Tume zipitishwe na Bunge
2.Tume ya uchaguzi iteuliwe na Bunge kuepusha kupendelea chama fulani au kulinda watu fulani
3.Tume ya katiba iteuliwe na...
Huu MUUNGANO tulio nao sielewi kama ni wa danganya toto au nini.
Muungano wa kweli na wenye tija, ni wa serikali moja tu.
Muungano huu ni wa kichekesho tu. Muungano wa baadhi tu ya mambo, maana...
"Rais Kenyatta awataka wabunge kutii sheria"
Rais Wa Kenya Uhuru Kenyatta ametoa kauli kali kupinga hatua ya wabunge wa Kenya kutaka kujiongezea mishahara. Rais Kenyatta amesema kuwa taasisi...