Hainiingii akilini wanaccm bungeni kukataa ukweli usiopingika,huu mchakato hauna mashiko na wanachi wa kawaida tumeshalijua na sasa wajipange kwani hatuko tayari kwa hili na linaongeza nguvu kwa...
Watanzania tumekuwa watu wa malumbano na taratibu ambazo haziishi! Katiba imegeuka kuwa drama kubwa wakati kila mtu akijua ni kitu gani kinahitajika kufanywa. Je Katiba mpya ya Kenya inakasoro...
JAMANI, MAJAJI watajwe kwenye katiba mpya kwamba wachaguliwe, ili kuwa na independence of judicially nzuri na pia kuwe na discouragement ya rushwa kuliko ilivyo sasa. pia tutapata majaji wenye...
Wanajamvi siku 2 sasa zimepita toka Mwenyekiti wa tume ya mabadiliko ya Katiba atoe tamko mbele ya waandishi wa habari na akisisitiza kauli yenye utata na giza nzito ya kwamba Tume yake itafanya...
Tamko la mwenyekiti wa tume huru ya uundaji wa katiba mpya nchini Tanzania mheshimiwa jaji joseph Warioba ni kuangalia kwa makini sana, katika kujibu hoja mbali mabli za wadau juu ya mashaka na...
1) Bado hakuna MWAfaka wa kitaifa kuhusu mambo muhimu kama MUUNGANO, madaraka ya RAIS nk na iwapo KATIBA itakuja itasababisha mgawanyiko zaidi katika jamii na kuleta utengano --- muda zaidi...
Tunataka katiba mpya itakayookoa pesa za wananchi kutowahudumia wastaafu mpaka kufa kwao na badala yake wapewe pension maalum kwa wakati mmoja pindi wanapostaafu, kama jinsi ilivyo kwa wabunge...
Nimependa hii ya Rais kupendekeza majina ya Mawaziri then kufanyiwa uchunguzi na Bunge, wasiofaa kutupwa, hii inazuia Rais kuwaweka shangazi zake na wapenzi wake,.... Je tutafika huko?
Tume ya mabadiliko ya katiba inawaomba wananchi wote kupitia mwongozo huu uliotolewa na Tume na kuwasilisha maoni/Mapendekezo yao katika kipindi cha wiki mbili (2) baada ya tarehe ya kutolewa...
Kwa kweli viongozi wetu saivi ni mzigo, katiba iruhusu wananchi kuwapigia kura ya kutokuwa na imani endapo tutakusanya saini za watu zakutosha. It is too much rais, waziri mkuu pamoja na baraza la...
Wanajamvi
Wageni waalikwa Mwanaharakati Marcus na Ndugu Rodrick wa haki za binadamu. Wameonyesha wasiwasi wao kwa wanaongoza bunge kwani wamefafanua kanuni ziko wazi na kwanini wabunge...
Ningependa kujua msimamo wa chadema juu ya wajumbe wa mabaraza ya katiba nchini.
Nimesikia kuwa mabaraza haya ya katiba wilayani yataundwa na madiwani wa majimbo husika + wajumbe wengine wa...
Hivi CCM na serikali yao wametumia katiba ipi kupata cheo cha makamu wa kwanza wa rais?
Katika katiba ya Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Ibara ya 47(1) inasema "Kutakuwa na makamu wa Rais ambaye...
Habarini wana jf! Taarifa za uhakika zilizopatikana toka maeneo mengi nchini hasa vijijini wananchi wengi hawajaelimisha au kujulishwa kwa uwazi juu ya nafasi zinazoombwa katika makundi mbalimbali...
tukio lilitokea ijumaa, taarifa wametoa jumatatu tena mabatini wakati pale karibu na ofisi yao kuna polisi maeneo ya gym kana. Cha ajabu wamepeleka barua kwa kinyela yenye rb ambayo ni ya siku ya...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHadema), kimesema hakitashiriki katika mchakato wa Katiba Mpya endapo serikali haitapeleka bungeni Sheria ya Mabadiliko ya Katiba, ili kufuta vifungu mbalimbali...
Ndugu wana JR nimeona mnisaidie kuteguwa kitendawili hiki cha aina gani ya wajumbe wa kamati ya maendeleo ya kata washiriki katika kuchagua mabaraza ya katiba ya wilaya kwa sababu suala la katiba...
Mchakato wa katiba mpya umeingia doa baada ya udini, itikadi za siasa kutawala. Nimejaribu kujiuliza maswali mengi kuhusu utaratibu mzima wa kutoa maoni, kuunda mabaraza na hatimaye bunge la...
Katika mchakato unaoendelea wa uteuzi wa wajumbe wa kamati ya kata ya katiba mpya, tumehamasishwa vya kutosha, na bahati nzuri au mbaya tumechaguliwa katika ngazi za Vijiji kuwa miongoni mwa...