ni bahati mbaya lakini imeshatokea kuwa tume ya katiba kwa kujua au kutojua inawahujumu wakatoliki kwa kuweka siku z kupigia kura ya kuwateua wajumbe wa mabaraza ya katiba ya wilaya katika siku...
Tumeshuhudia kuwa karume day ni siku ya viongozi wakuu kuvaa kanzu kufanya dua na kuwaalika viongozi wa madhehebu mengine kufanya ibada kama waalikwa.
Napendekeza Nyerere day ifanyike ibada ya...
Ndg wana JF, kumekuwa na mkanganyiko mkubwa juu ya uteuzi wa wajumbe wa tume ya mabadiliko ngazi ya kata kuwa wajumbe wanaostahili kupiga kura ni kina nani? Wataalamu hawaruhusiwi kupiga kura, je...
kwa hali inavyoonesha mchakato wa katiba mpya huenda usifanikiwe kutokana na baadhi ya watu kutuhumiwa kuuingilia kati kinyume na utaratibu uliowekwa na tume ya mabadiliko ya katiba
Jaji warioba amedhihirisha dhahiri shahiri kuendelea kutowatendea haki wazanzibari kwa hali yeyote ile, hilo lilianza kuonekana mapema nini madhumuni yake katika kuikandamiza sauti ya...
Kwa mujibu wa mwongozo uliotolewa na tume ya mabadiliko ya katiba, mabaraza ya wilaya ngazi ya mamlaka ya serikali za mitaa wajumbe wake watachaguliwa na wananchi kila Mtaa/Kijiji kisha majina yao...
Tume ya Kuratibu Maoni ya Katiba mpya iliyo chini ya Jaji Joseph Sinde Warioba,imekaribisha maombi ya wananchi wanaohitaji kuwa Wajumbe wa Mabaraza ya Katiba ya Wilaya. Tume ikatoa pia utaratibu...
Ndugu zangu,
"Na hakika, kwa kutanguliza ubinafsi wetu, tunawaandalia watoto na wajukuu wetu, mazingira magumu ya kuishi kwa amani katika nchi yao.
Katiba Mpya ijayo, iwe ni kwa Tanzania ya...
Warioba assists Kahama
The Chairman of the Constitutional Review Commission
(CRC), retired Judge Joseph Warioba (right), assists veteran
politician, Sir George Kahama, walk down the stairs of...
MABARAZA YA KATIBA YA WILAYA YAWE HIVI
Tume ya mabadiliko ya katiba imetoa mwongozo wa jinsi ya uundwaji wa mabaraza ya katiba ya wilaya. Mie sina shida sana na uendeshaji wake, bali nina...
Rasimu ya Katiba mpya inayoandaliwa na Tume ya Katiba iliyo chini ya Jaji Joseph Sinde Warioba imeijumuisha Serikali ya Mseto. Mjumbe mmoja wa Tume hiyo ambaye ni Wakili maarufu na Mhadhiri wa...
Wakuu,
Wiki kadhaa zilizopita mtu moja alinipa mwongozo wa ccm kuhusu katiba mpya ulioandaliwa Dodoma na wajumbe waliotajwa hapo chini; Nimescan, kisha nikajaribu ku upload nimekwama, japokuwa...
Kumekuwako taarifa zinazozagaa kwa kasi ya ajabu kuwa makarani wa tume ya katiba wanaodaiwa kuiwa ni wengi wa dini ya kiislamu wamekuwa wakichakachua maoni ya wanachi hasa wakristo wanaopinga...
Ktk tukio linaloendelea wakti huu la kuwaaga wahitimu wa kidato cha sita, Naibu Waziri wa Ardhi , Ole Medeye amejikuta kwenye wakati mgumu pale wageni na wazazi walipoanza kuguna na kumpigia...
Rais Mstaafu wa Zanzibar, Baba wa Maridhiano ya wazanzibari na Serikali ya Umoja wa Kitaifa ambae ni mtoto wa Rais wa kwanza wa Jamhuri ya watu wa Zanzibar, Mhe Amani Abeid Amani Karume leo...
habari wapendwa?
mimi ni kati ya watu ambao kimsingi nachukizwa sana na watu wachache ambao wanatumia maliasili kua sehemu za kujinufaisha wao na familia zao lakini wanasahau yakua watanzania...
Kulingana na matokeo ya utafiti uliofanywa na REPOA imeonekana kuwa 84 % ya watanzania wanahitaji katiba mpya.
Ikumbukwe kuwa mojawapo ya ahadi za chadema kwa wananchi katika uchaguzi wa 2010...
JUKWAA la Katiba Tanzania (JUKITA) limesema kuwa katika muongozo wa Tume juu ya muundo na utaratibu wa kupata wajumbe wa mabaraza ya Katiba ya Wilaya na Asasi unamapungufu katika baadhi ya...