CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimedai kushtukia mchakato wa Katiba Mpya nchini na kubashiri kuwa Katiba hiyo haitakuwa na tija kwani inalenga kuwalinda na kuwanufaisha watawala...
kuna mtu ameniambia leo ni siku ya nne tume ya ukusanyaji wa maoni ya katiba iko jijini Arusha lakini wamekuwa hawa tangazii watu sasa mimi najiuliza usiri huu wa nini nani anafaidika kwa...
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimedai kushtukia mchakato wa Katiba Mpya nchini na kubashiri kuwa Katiba hiyo haitakuwa na tija kwani inalenga kuwalinda na kuwanufaisha watawala...
Katiba inayoandaliwa ni ya watawala
na Tamali Vullu na Betty Kangonga
Tanzania Daima
JUKWAA la Katiba limesisitiza kuwa Katiba mpya haiwezi kupatikana Aprili 26, 2014 na endapo...
Ingawapendekezo la kutaka katiba iseme wazi kuwa wabunge watakaofanya madudu wapigwe bakorailipotolewa haikushabikiwa, ina ukweli kama si suto kwa wakubwa zetu. Jewanajamvi ingekuwa inawezekana...
Written by Zanzibar Moja // 18/12/2012 // Habari // 8 Comments
Na Ismail Jussa
MAONI KWA ZANZIBAR NZIMA:
Ukichukua mwelekeo wa maoni yote yaliyotolewa hadharani katika mikutano yote...
Mbunge wa Jimbo la Maswa Mashariki, Sylvester Mhoja Kasulumbayi (62), akitoa maoni yake juu ya uundwaji wa katiba mpya katika mkutano uliofanyika kwenye kata ya Ipililo iliyopo wilayani Maswa...
KATIBA YA ZANZIBAR.
1. Zanzibar ni Nchi ambayo eneo la mipaka yake ni eneo lote la
Visiwa vya Unguja na Pemba pamoja na Visiwa vidogo vilivyoizunguka
na bahari yake ambayo kabla ya Muungano wa...
WAZANZIBARI wamezidikudhihirisha kuwa muhimukwao kwa sasa ni juu yamadai yao ya kutambuliwakama nchi na dola kamilikwanza na wala sio la ainaya katiba.
Hayo yameendeleakujitokea mbele ya TUMEya...
Monday, December 17, 2012
MKAZI wa Wilaya ya Arumeru, mkoani Arusha, Phillipo Tango (25), amependekeza Katiba Mpya itoe haki na usawa katika suala la ndoa kwa wanawake kuruhusiwa kuchumbia, kutoa...
Ndugu Watanzania na ndugu wana jamvi Tume yetu ya katiba imeanza kupoteza mwelekeo. Hivi majuzi Tume ameandika barua kwenye wizara na Taasisi za serikali ikitaka Wakuu wa Taaisisi hizo wasaidie...
MAONI YA KATIBA MPYA
Kwavile serikali imetambua/inatambua kuwa suala la katiba ni jambo muhimu sana, pia kuwa katiba ina husu wananchi hivyo na wananchi kutoa maoni yao ya katiba wanayo itaka...
Kanisa Katoliki lahoji madaraka ya Rais
LATOA MWONGOZO WA MAONI YA KATIBA, LATAKA ASITEUE MAJAJI, WABUNGE WAKUU WA MIKOA, ASHTAKIWE
KANISA Katoliki Jimbo Kuu la Dar es Salaam, limetoa...
Maofisa wake Z'bar watumia vifaa vya CCM mikutanoni
*Mwenyekiti na Makamishna waduwaa, wapiga stop
WAKATI Tume ya Mabadiliko ya Katiba ipo katika hatua za mwisho kupokea maoni ya wananchi wa...
Akizungumza na NIPASHE jana, Kamishina wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Prof. Mwesiga Baregu, alithibitisha kuvunjika kwa mkutano huo kwa mara ya pili baada ya kutokea vurugu na mabishano makali...
Ndugu zangu Watanzania Tunajua kabisa kuwa hii ni nchi yetu na ni vizuri tukasema tunavyotaka iwe vinginevyo watu wachache watatusemea wanavyotaka iwe, mwisho wa siku tutakuwa tunalamika tu kuwa...
CCM wanaufanya mchakato ni wao, mali yao.
Serikali inawapa uso kutekeleza vitimbi viovu dhidi ya mchakato huo.
Utowaji wa maoni katika wilaya ya Mjini ratiba imepanga vituo vyote vya kutoa...