kijamii kama za afya(mawasiliano mazuri) picha na Dinna Maningo
Na Fredy Azzah
Posted Alhamisi,Novemba22 2012 saa 8:28 AM
Kwa ufupi
"Katiba ikubali kuwa waumini wachinje wanyama wao...
Najiuliza hv mdudu accountability amepotelea wapi? Serikali ilishasema payday ni tar 23 lkn kila siku tunasikia sbb za mitaani juu ya ucheleweshwaji, mara epicol mara utumbo gani sijui, kwakweli...
Wednesday, November 28, 2012
Mwenyekiti wa Tume ya Marekebisho ya Katiba Tanzania Mhe. Joseph Sinde Warioba, akitowa maelezo kwa Wananchi kuhusu kuchangia Katiba ya Tanzania wakati wa Mkutano...
JOHN MNYIKA - Mbunge wa Wananchi wa Ubungo.
Shime tujitokeze kutoa maoni yetu kupata Katiba Mpya
Rejeeni mikutano ya hadhara na vikao mbalimbali ndani ya jimbo letu la Ubungo katika kata...
Na B. OLE,
Baada ya kufuatilia kwa makini maoni na ya tume ya katiba inayoongozwa na Jaji Warioba kuhusu mchakato wa katiba mpya inayotegemewa ifikapo hapo mwaka 2014 ,nimepatwa na wasi wasi juu...
MCHAKATO wa kutoa maoni kwa ajili ya Katiba mpya mkoani Dar es Salaam, umeanza kwa kasi ya aina yake, baada ya jana suala la ugaidi kuibuka. Katika mkutano huo, waumini wa dini ya Kiislamu...
wadau katika hii katiba mpya naona ni vyema iwapo ibara za 108(2) na 109(1)(8)(9)(10)(11)zikasawazishwa, kana kwamba, raisi asiwe wa kuchagua principle judges wala commitee ya majaji.....either...
Jaji Agostino Ramadhani
Makamu Mwenyekiti wa Tume ya Katiba, Jaji Agostino Ramadhani akizungumzia mwelekeo wa utoaji maoni kuhusu Katiba Mpya unavyoendelea Zanzibar amekaririwa na gazeti la...
Nikiwa MTZ, ninaomba katiba ijayo irejeshe nchi na serikali mikononi mwa wananchi, katiba iseme wazi namna tunavyoweza mtoa rais kwa kupitia bunge na kupitia wananchi bila kutumia nguvu au vurugu...
Kama kwenye katiba wataweza kupunguza serikali kujihusisha na biashara ambazo ambazo zinatakiwa kuachiwa wananchi Tanzania itaendelea sana. Sababu kubwa ya Tanzania kuwa masikini ni kwa kutokuwa...
MWONGOZO KUHUSU UTARATIBU WA WATANZANIA WANAOISHI UGHAIBUNI KUSHIRIKI KUTOA MAONI YAO KUHUSU UPATIKANAJI WA KATIBA MPYA _________________________ Kwa kuwa mchakato wa kupata Katiba Mpya ni...
Mwenyekiti wa mkutano wa kuchangia maoni ya Katiba ya Tanzania, Profesa Mwesiga Baregu, akiwa na wajumbe wezake Mhe Fatma Said Ali na Mhe.Ali Saleh, wakifuatilia maoni ya Wananchi wa Shehia ya...
ITV leo imemwonesha m/kiti wa Jukwaa la Katiba Bw.Deus Kibamba akidai kuwa kamwe kwa hali iliyopo hatutaipata katiba mpya 2014. Na kuwa utawala haujaliweka bayana hilo. MADHARA YAKE NI VITA IWAPO...
Kanisa katoliki katika jimbo la arusha parokia ya Roho mt ngarenaro limetoa ujumbe mzito kuhusiana na katiba mypya. Ujumbe huo umetolewa huku kukiuzwa picha za madhehebu ya dini ambazo zinaupinga...
Watanzania suala la kutunga katiba mpya ni jambo la msingi sana.
Jambo la kwanza la kuangalia majukumu ya Rais kwa ujumla katika katiba hii iliyopo ni makubwa sana. Mfano wa kuteua wakuu wa...
Jaji Joseph Warioba
Awamu ya nne, ambayo ni ya mwisho ya kukusanya maoni binafsi ya wananchi kuhusu Katiba Mpya, kunakofanywa na Tume ya Mabadiliko ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa...
Profesa Shivji
Mimi nilidhani kwamba kabla ya kuanza kwa mchakato wa kuunda Katiba Mpya kungekuwa na dira ya mpango wa maendeleo ili kujua tunataka Katiba ya aina gani,alisema Profesa Shivji...
Wadau eeeh,hv mnaonaje kwenye mapendekezo ya Katiba yetu hii mpya tunayoitarajia,kwa nini kusiwe na dirisha dogo la uchaguzi hasa kwa Raisi ili kuwapa nafasi wananchi kupima kama wana Haja ya...
Katika uchaguzi 2010 Tanzania
tulishuhudia CCM wakiikimbia midahalo
iliyokuwa inaendeshwa TBC na hata
kuwakataza wagombea wao kushiriki.
Midahalo hii ni fursa muhimu kwa
wananchi na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.