KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe

JF Prefixes:

Kutokana na madudu yanayofanywa na baadhi ya viongozi waandamizi selikalini,katiba mpya inayoendelea na mchakato wam kuandaliwa ingeruhusu kukodisha viongozi toka nchi za nje viongozi kama...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Napendekeza kuwa Katiba mpya iwe na kifungu cha kujisimamia kama Katiba ili kutoa adhabu kwa viongozi na watawala wanaounja katiba waziwazi na hili liwezekane kuunda jopo la Katiba kutoka Kanda...
0 Reactions
0 Replies
871 Views
Wazee hao wanadhani Raisi hasikilizwi an watendaji wake
0 Reactions
12 Replies
1K Views
nivema sasa jeshi la police ligeuzwa mfumu nakuwa huduma za police .kwani kwa kufanya hivyo .kutaliondoa kuwa jeshi na kuwa chini ya amiri jeshi mkuu ambaye ni raisi wa nchi.na hivyo kutowezesha...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Toa maoni yako juu ya katiba mpya kupitia mtandaoni kwa kubonyeza hapa: http://www.katiba.go.tz/index.php/toa-maoni-yako/wanaoishi-ndani-ya-nchi
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Nimeangalia CD iliyorikodiwa sijui na nani wakati wawakilishi wa baraza kama watu binafsi wakitowa maoni juu ya katiba mpya waitakayo kama sehemu ya wananchi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Wakati wa Utawala wa Mkapa suala la kuandika katiba mpya lilikuwa ni chungu kuliko hata uchungu wa mwarobaini. Nilimsikiliza Mkapa akijibu matokeo ya Tume yake Mwenyewe juu ya katiba. Ali-fume...
0 Reactions
0 Replies
911 Views
Kinachonishangaza kura za maoni marumbano ni Uislamu na Ukristo, Waislamu wanataka kadhi kana kwamba kuna aliyewazuia kuwa nao, Madai Mpaka iingie kwenye katiba, wakristo nao wana hofu ya madai...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ndugu zangu hii sasa inasikitisha sana. Wakati wa nyerere waziri yoyote akiboronga anastaafishwa kwa manufaa ya umma, leo waziri akiborongo wizara hii anahamishiwa wizara nyingine. Kwa nini...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
* Waislam wataka wimbo wa Taifa ubadilishwe kwani ni wa Kikristo na pia siku za mapumziko zibadilishwe ! * Wakristo nao hawataki mahakama ya kadhi, OIC na uvaaji wa hijab mashuleni. Source: Habari...
0 Reactions
30 Replies
3K Views
Wadau tunajadli katiba mpya kipindi hii ila naomba kuwasilisha hoja ja kuona ile nembo ya taifa nayo kama inahitaji mjadala naona kama haiendani na karne hii, naomba kuwasilisha!:embarassed2:
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Kuwe na mdahalo wa wa wagombea wa urais ili wananchi waweze elewa nani anauwezo wa kuwaongoza na nani yupo kwa sababu kawekwa na rafiki zake. Tupendekeze midahalo mitatu kabla ya uchaguzi na...
0 Reactions
4 Replies
997 Views
Katiba itamuke wazi kuwe na taasisi maalumu za kuteua jaji mkuu na majaji wa mahakama kuu,kueua makatibu wakuu wa wizara,mkuu wa majeshi,polisi,magereza,wasiteuliwe na raisi,vilevile wenyeviti wa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
naomba dini zitengwe na siasa kiukweli. WAnasiasa wasiruhusiwe kuongoza harambee makanisani au misikitini. wasiruhusiwe kuongea kwenye makongamano ya kidini. wasiwe wachungaji wala mashehe.haya...
1 Reactions
0 Replies
892 Views
Naomba mnijuze Rais wetu mikataba anayo saini sasa uko omani hivi ina usu nini? je? ni vibaya ikiwekwa wazi
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Heshima kwenu wana JF. Nimepata kufatilia mijadala inayoendelea kuelekea uchaguzi mkuu wa Marekani kwa bahati nzuri nikashawishika kutambua yafuatayo Huwezi kuwa Rais wa Marekani kirahisi kama...
1 Reactions
20 Replies
2K Views
Kwa mwendo huu wa tume na mambo ambayo watanzania wa kiu ya kuyasema kuhusu huu muungano tunatengeneza tanzania ingine ya kusadikika.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kama mtanzania ninaomba kuwasilisha maoni yangu kwenye mchakato wa kupata katiba mpya kama ifuatavyo. 1.Katiba mpya ianishe mipaka ya Tanzania na nchi jirani na siyo kuishia kuitangaza TANZANIA...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Uraia wa Tanzania utamkwe pasina kuweka mashaka. Sina tatizo na aina zote za 'uraia' tulizonazo...ila ningependa ule wa kuandikishwa kigezo kimoja kiwe mwombaji awe na moja ya sifa kuwa...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Hivi ni sahihi kweli kwa ccm kuwaelekeza wanachama wake namna ya kutoa maoni kuhusu katiba mpya? ktk pitapita zangu nilikutana na viongozi fulani wa chama hicho wakiwa na fomu fulani yenye maoni...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom