Mzalendo imeipokea taarifa ifuatayo amabyo imetolewa na Kurugenzi ya Uenezi ya Chama cha Wananchi (CUF) kwa vyombo vya habari. Hapa tunaishapisha kama ilivyo kwa manufaa ya mjadala wa umma...
Written by Stonetown (Kiongozi) // 10/12/2012 // Habari // 6 Comments
Mzalendo imeipokea taarifa ifuatayo amabyo imetolewa na Kurugenzi ya Uenezi ya Chama cha Wananchi (CUF) kwa vyombo vya...
Kilichotokea kwenye kukusanya maoni Zanzibar kwa jicho la aliyeshuhudiaPosted by khelef on Monday, December 10, 2012 · Leave a Comment
Hii ni simulizi ya Ahmed Omar, ambaye ni mfuatiliaji wa...
Mon, Dec 10th, 2012
Tanzania |
By In2EastAfrica Reporter
Some people who contribute opinions to enrich the proposed new constitution are concerned that religious differences and Union...
Nimekaa na kuwaza mambo mbali mbali kuhusu Mstakabali wa Nchi Yetu Tanzania. Nimetumia Three Phases: Tanzania Ilikotoka, Tnanzania Iliko sasa hivi, na Tanzania Ijayo.
Nimetafakari na kuyakumbuka...
Jaji warioba katiba yake hasa kwa upande wa muungano huenda ukawa kama misri sababu watu wenye kutaka muungano wa mkataba huwa hoji vipi itaendeshwa nchi kwani yeye hajuwi jinsi ya muungano wa...
Jana nilishuhudia mkutano kati ya wananchi wa shehiya ya chukwani, wilaya ya makharibi Zanzibar wakitoa maoni yao kuhusu muundo wa katiba mpya. walihudhuria watu wa maeneo mengi hadi watu wabara...
Naomba kuwashawishi wanajanvi kujitokeza kwa wingi na kutoa maoni kwenye tume ya maoni ya katiba mpya na kupendekeza kuwa ili kuziimarisha Serikali za mitaa ambazo ndizo hasa ziko karibu zaidi na...
Kutokana na ratiba ya tume ya kukusanya maoni ya katiba ,leo ijumaa tume ipo jiji la arusha pale katika viwanja vya ngarenaro sekondari ,wananchi wa arusha fikeni mtoe maoni yenu juu ya katiba...
Kwa wana jamvi mliopo Arusha mjini, kama kuna mwenye taarifa kamili na ratiba ya hii tume ya kukusanya maoni ya katiba tafadhali atuwekee hapa. Nimejaribu kupitia mbao za matangazo sijaona chochote.
Thursday, December 6, 2012
Wafuasi na wapenzi wa CUF wakimsikiliza Katibu Mkuu wa Chama hicho Maalim Seif Sharif Hamad wakati akiwahutubia katika mkutano wa hadhara uliofanyika viwanja vya...
Maoni leo asubuhi WELEZO: Waliotaka Zanzibar iwe na mamlaka kamili kitaifa na kimataifa na kisha kuwa na Muungano wa Mkataba kati yake na Tanganyika ni 49; Waliotaka muundo wa sasa wa Muungano wa...
Ndugu watanzania wakatitulionao ni wakati mzurisana wakufanyamarekebisho ya katiba ya nchi yetu, lakini vilele unawezekana ukawa wakati mbaya sana kama hatutautumia vyema ipasavyo, Maoni yakatiba...
Wadau nimetuma maoni haya ktk tume ya katiba,nanyi ni ruksa kutuma yenu usikopi yangu,nimeweka hapa kuwapa hamasa tu kuwa kumbe inawezekana.
1.KUSIWE NA VYEO VYA WAKUU WA WILAYA
2.MAWAZIRI...
1. Napenda kuiomba tume hii ya jaji Warioba kwanza kuchukua na kuheshimu mapendekezo yote yahusuyo muungano wa Zanzibar na Tanganyika kama ilivopendekezwa na tume za majaji NYALALI na KISANDA.
Mie...
Juzi juzi tu hivi niliandika makala moja ndeefuuuu!!!! Iliyohusu umuhimu wa mabadiliko ya kisiasa hapa tz. Najua watu wengi iliwachosha sana na nilijua hivyo ndio maana nilianza na mkwara kidogo...
Kuondoka kwa Mwalimu Nyerere kumeacha Tanzania bila matumaini! Watu wazima lakini hawaoni/hawajui hata wanalolifanya. Mmeng'ang'ania kukusanya mawazo ya wanavijiji kuhusu Katiba mpya wakati hata...
Serikali ya wanafunzi Chuo Kikuu cha St. Augustine Mwanza (SAUTSO) kwa kushirikiana na Asasi ya National Social Transformational (NASOT) wameandaa kongamano kubwa la Katiba jumamosi ijayo...
mikataba mipya na haswa ya madini,mafuta na geasi iridhiwe na Bunge na sii baraza la mawaziri.Pamoja na mikataba yote mibovu ipelekwe bungeni na kujadiliwa upya na kuwawajibisha wale wote...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.